Search results

  1. E

    Spika Anne Makinda apigwa laana misikitini Unguja - Annur

    hilo zoezi walilofanya halikua jema na hata nyie mnaochangia suala la udini halikutakiwa kuhusishwa hapa. Tusishabikie udini jamani,hatutaweza kuhimili madhara yake siku zijazo.
  2. E

    Sherehe kubwa ya Dk Slaa; Nilidhani CHADEMA ni watu wenye utu...

    yani sijajua bado baadhi ya watu wanafikiria kwa kutumia nini lakini mtoa mada nahisi hayuko katika hali timamu kiafya.
  3. E

    Uranium at Selous just a tip of ice

    nina mashaka makubwa kama wakazi wa Namtumbo,Songea watanufaika na mradi huu.
  4. E

    Mbowe, mashambulizi dhidi ya Mwigulu Nchemba kwa memo hii kulikoni?

    kama sms zenyewe ndio hizo, sina haja ya kuhofu tena kwa chama changu. Huko ni kutapatapa kwa mfa maji na sote tunajua ninammaanisha nani.
  5. E

    Upi ujinga kati ya haya

    kusoma thread ya kijinga na kukomenti. Nasi pia ni wajinga
  6. E

    Wana Gangilonga mpo?

    nimesoma Gangilonga toka 1998 mpaka 2003.. Yeyote aliyekuwa katika kipindi hicho na mimi tutafutane.
  7. E

    Udsm yageuka danguro wakuu

    Jamani taratibu,msijemuua mtoa thread bure. Jamaa kapotoka so msameheni bure
  8. E

    Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

    kafulila, kilugha hicho kumaanisha KAFULIA.
  9. E

    Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

    Back on track once again,stil giving a lot ov support kwa fellow world player,DIAMOD. Thts hw playerz we do our things.. HATERS COPY N PASTE THAT
  10. E

    Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

    Wema kazoea kuchezewa so asituletee pozi kuwa anaonewa.. She is the same bitch everyday
  11. E

    Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

    Ha ha ha ha ha!! Ndugu umenenaaa
  12. E

    Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

    hawezi shindana na kina Bakhresa ila kwa level yake atawaliza sana dada zenu. Go Diamond
  13. E

    Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

    kaenda mapumziko south africa wiki nzima, vp alitumia mawe? Nauliza
  14. E

    Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

    wakati Wema anachezwa na wanaume tuliona poa vp kwa Diamond? Endelea kaka,play them all na kila atakayejipitisha mbele yako. You got money,what else do you need? Av funny bro.
  15. E

    MDAHALO: Tundu Lissu vs Job Ndugai kama ilivyoonyeshwa na Star TV

    ndugai kama akili hazimtoshi vile,au wenzangu mnaonaje?
  16. E

    MDAHALO: Tundu Lissu vs Job Ndugai kama ilivyoonyeshwa na Star TV

    namuonea huruma Ndugai, yani anakaribia kulia.. Halahala asije akakimbia
  17. E

    Mbowe, Kunahitajika mkakati wa haraka Bungeni

    wanaosema bunge la sasa hivi limekosa heshima lazima wana maslahi binafsi na CCM na kwa hali hiyo wanataka kuwapumbaza watanzania ili tuichukie CHADEMA.Nasi kwa moyo mmoja twasema,hatutarudi nyuma ng'oo.
  18. E

    Mbowe, Kunahitajika mkakati wa haraka Bungeni

    lusinde hana proper thoughts just like Simbachawene alietoka kuongea sasa hivi. Lakini wajue kuwa wa tanzania tumeamka na tuko nyuma ya CHADEMA kwa asilimia mia moja.
Back
Top Bottom