swali lako c geni kichwani mwangu,labda niwafahamishe wana jf kwamba mbali na malaria,ukimwi na umaskini ugonjwa mwingine unaokula taifa ni KUKOSA UZALENDO.wadau wa elimu lazma tujenge mbinu za kukuza uzalendo ndani ya vichwa vvy watoto wetu ili wawe viongozi bora kesho.PAMOJA TUNAWEZA
Iko hivi, binadamu anauwezo wa kuongeza kufikiri kwa mfano uwezo wa mtu anayesoma vitabu vingi na asiyesoma ni tofauti,jifunze bila kikomo itapanua uwezo wa kufikiri pia jitahidi kutengeneza hoja za kwako mwenyewe wakati wa majadiliano na jifunze kuzitetea.
hongera sana kaka kwa kuibua suala la msingi,imefika wakati jamii kuingia barabarani kwa masuala yanayotuathiri wote, wanachuo,walimu,wafanyabiashara,wakulima na walipa kodi wote kuandamana kutokomeza tatizo hili.kama senegal!!! pamoja tunaweza
Da! umenigusa mtazamaji,kinachotakiwa kufanywa na majeshi ya nchi maskini kama sisi ni kushiriki katika shughuli zote za kiuchumi na kijamii maana hatuna vita sisi.tunahitaji mchango chanya kutoka kwa majeshi yetu na wataalam wa jeshini watumike kuleta maendeleo
Habari za fikra sahihi
mada yangu inalenga kufahamu vigezo vinavyotumika kupima umaskini,ila nitahadharishe kwamba, katika kuchangia tusiegemee vigezo vya uchumi na vile ulivyofundishwa darasani tu, tujaribu kushirikisha fikra sahihi juu ya hii mada.
KARIBUNI....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.