Search results

  1. 1

    Gharama ya kuweka mfumo wa umeme

    Fundi huyu huyu pia ndio amesema bei inategemea na mwenye nyumba ana gari aina gari. Kwakweli hili sikutegemea kutoka kwa mtu anayesema anapata wateja humu, Muonekano kumbe ndio unapanga bei , alafu utakuta same person analalamika sehemu zingine kuwa watanzania wezi
  2. 1

    Gharama ya kuweka mfumo wa umeme

    Nimesoma contents, jamaa ambaye sio fundi katoa taarifa za kueleweka, fundi kaombwa atoe aina ya matumizi ya nyumba inayotumia 10mm wire anadai hana kibali cha kutoa elimu, kama huna kibali kwanini pages za mwanzo umetoa elimu Naomba kuuliza kama kuna aliyefanya kazi na jamaa aje atupe...
  3. 1

    Gari Inavuma kuanzia speed ya 80, Msaada wana JF

    Gari kama ina turbo,ni inavujisha upepo hiyo,kagua exhaust au pipe ya boost Gari ina km ngapi? Usikute ulibadili oil ya gearbox wewe ukaweka za bongo na za specifications tofauti, Angalia kuvujisha upepo au oil kama uli change
  4. 1

    Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Uchaguzi wa mwaka huu ni kama wa mwaka 1995 ila mwaka huu mgombea wa CHADEMA ameingizwa chaka

    Acheni siasa kwenye uchumi, nani kasema bidhaa ikiuzwa nje nchi inakosa mapato, kila nchi ya dunia hii inajaribu kubalance books of payment, huwezi kuagiza bidhaa nje kama huuzi nje, na kumbuka kila kitu tunaagiza kwa asilimia kubwa. Nimeongelea huo upotoshaji mengine sihusiki nayo na sina comment
  5. 1

    INAUZWA Blender aina ya Kenwood heavy duty zinauzwa bei poa

    Ni feki, original manufacturer hawezi kukosea maandishi ya box kizembe hivyo, ukiwa unakagua bidhaa kitu cha muhimu ni uandishi, ukiona makosa jua bidhaa feki
  6. 1

    Toyota IST: Too stiff suspension and bumpy ride. Je kuna softer/ luxurious Springs & Shock-ups for IST?

    Kaweke soft springs, msimbazi ziko nyingi, kama hela ipo weka na kyb shockup, itakaa poa
  7. 1

    Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

    Subaru zenye turbo late ya gasket failure ni ndogo,non turbo zilikuwa na tatizo,ila fix ni gharama ya kawaida tu,unajua boxer engine zina gerate heat mno,ni gari nzuri kwa price yake,engine strong mno,ni ngumu sana kufa engine hizi gari,ila ulaji wa mafuta sio mzuri,anayekuambia anapata 11kml...
  8. 1

    MADA: Fahamu kuhusu matumizi au ulaji wa mafuta kwenye gari aina ya Toyota harrier 3.0L (2990CC)

    Hapa angalau data zinaendana na ukweli,kwa mjini hasa dsm huwa ni 6kml kwa gari za cc3000,na ukikanyaga vibaya inarud 5kml ambayo ni kawaida,hata rav4 mjini hapa naona ni 6kml,sijuh tatizo nn
  9. 1

    Ingawa Mark X na Crown zinatumia engine moja, Mark X inatumia mafuta vizuri zaidi

    Labda highway, cc4500 huwezi kupata 8kml,gari bado mpya umenunua 0km?nadhan humu kuna tatizo la watu kutojua kupima ulaji wa mafuta,kila mtu ana data za kufirika,gari ya cc2000 used japan na tanzania,ulaji wake hauwezi kuwa mzuri kihivyo
  10. 1

    Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

    Mkuu,hata impreza ya cc1490 haifiki 9kml,uliza hata mtu wa ist anatumiaje mafuta,kwanza wengi hatuweki records za utumiani msfuta,alafu tunatoa data za uongo
  11. 1

    Mwendokasi yawaka moto... Hakuna vifo wala majeruhi

    Mshana kwa heshima sikutegemea uzushe
  12. 1

    Fundi simu Dar Es Salaam

    Tuelewane hapa hapa ndio nilete simu,nina note 8,kioo cha juu tu ndio kina kreki nataka kubadilisha,nipe gharama,pia nina sony xperia xa ultra, kioo kilikufa,cost zikoje kwa kioo original?
  13. 1

    Hoja kuu mbili kuhusu taarifa iliyosambazwa na ubalozi wa Marekani, Tanzania

    Pascal,kwa level yako sikutegemea ulichukulie hili kisiasa,polisi wamesema taarifa wanazo na wamesha suppress, hawa jamaa mbona huwa wanatoa taarifa mara nyingi,hii si mara ya kwanza kwao,tuache serikali ifanye kazi,wanajua cha kufanya,sisi tuache kusambaza uoga kwa watu,lakini inawezekana hizi...
  14. 1

    Huyu kijana hakuwaacha wazazi wake ambao ni vikongwe nyuma

    Wewe umeongelea dini na si principal, naona unajimix tu,upendo ndio principal kwakuwa hauna dini,ukitaja messiah tayari unetaja dini,kukiri tu kwa kinywa hakukupeleki mbinguni,soma biblia vzuri,imani bila matendo ni imani mfu
  15. 1

    Tanzania is considered a higher risk jurisdiction and (Acacia) hasn’t been functioning as a company should be, otherwise we wouldn’t be interfering

    Mkuu,300m usd is nothing tuki compare na madhara ya kuchafuliwa kiasi kile,na huu mchezo nahisi unachezwa na barrick,nadhani barrick wanataka kutoka kwenye biashara ya madini Tanzania kijanja na tusipokuwa makini hiyo kampuni mpya itaachwa nyeupe na madeni juu,acacia na barrick wanatuchezea...
  16. 1

    Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

    Nilisahau kuuliza,mimi huwa natumia 5.4kml ila ni dsm,sasa wewe sijuh ni mkoa gan
  17. 1

    Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

    Sometimes ni kweli,ukifanya modification tu lazma uwe na undugu na garage,watu wanadanganywa,kama wewe sio mtu wa racing huna sababu ya kugusa ecu kabisa
  18. 1

    Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

    From 0,ni kawaida kwa hizi gari mkuu,nimebadilisha tu uppipe,exhaust,air filter na fuel pump,vyote ni bei ya kawaida tu
  19. 1

    Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

    Niliwahi kuwa na b4,forester inakula kidogo zaidi,nadhani uzito unachangia au chasis,kwanza b4 uliyonayo ni ipi?subaru za 2006 kurudi chini zinakula sana wese, naona from 2008 nyingi zinakula kawaida ila performance sio kubwa pia labda uchangue special editions
  20. 1

    Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

    Huna hii gari mkuu,hizi gari wastani ni 5km per litre,hata ufanyeje,tatizo 2litre inawazuga wengi,ni kama rotary engine ya 1.3cc,boxer engine zinakula sana wese,hapa utaambiwa 7kml to 10kml,7kml unaipata kwenye non turbo tena na yenyewe uendeshe taratibu,ukifanya fuel management mods unaweza...
Back
Top Bottom