Search results

  1. G

    Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

    Wazee kijijini kwa Askofu Mkuu Zachary Kakobe wamesema kwamba, Askofu Kakobe na yeye ni Muyango Mzilankende. ANGALIA HAPA: Uhamiaji waenda kuchunguza uraia wa Askofu Mkuu Kakobe kijijini kwake, wazee mashuhuri kijijini wathibitisha uraia wake Kumbe Rais John Pombe Magufuli na Askofu Kakobe ni...
  2. G

    Uhamiaji waenda kuchunguza uraia wa Askofu Mkuu Kakobe kijijini kwake, wazee mashuhuri kijijini wathibitisha uraia wake

    Kumbe Askofu Kakobe ni Muyango Mzilankende! Rais John Pombe Magufuli, na yeye aliwahi kusema ni Muyango Mzilankende. ANGALIA HAPA UZI NA VIDEO: Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango Kumbe Askofu Kakobe na Rais Magufuli, ni ndugu wa ukoo mmoja! Wote ni Wayango Wazilankende. HILI NALO NENO!
  3. G

    Tetesi: Askofu Kakobe aitwa tena kuhojiwa TRA tarehe 24/01/2018 saa 4 asubuhi

    Majira ya saa 11.45 jioni ya leo, mfanyakazi mmoja wa TRA amewasilisha barua katika ofisi ya mapokezi ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), lililoko barabara ya Sam Nujoma, Dar-Es-Salaam. Ingawa mtu aliyekuwa mapokezi hakuwa tayari kuzungumzia barua hiyo, kwa kuwa yeye siyo Msemaji...
  4. G

    Askofu Kakobe kesho atatoa mrejesho wa uchunguzi wa TRA kuhusu utajiri wake

    Kesho Jumapili 14.1.2018, Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe, atatoa mrejesho wa uchunguzi wa TRA kuhusu utajiri wake. Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika, zinaeleza kwamba, Askofu Kakobe atatoa mrejesho huo wakati wa Ibada Kuu itakayoanza saa 4 asubuhi...
  5. G

    Lwakatare aomba Bukoba wapunguziwe kodi vifaa vya ujenzi, Magufuli amjibu ajenge kiwanda awapunguzie

    Hasira zimempanda Magufuli mpaka anamwambia Lwakatare, "Jenga kiwanda chako cha bati, uuze matofali shilingi 500 kwa bati!" ..... Angalia na kusikiliza mwenyewe video hapo juu. Nimebaki nimepigwa butwaa!
  6. G

    Mzee wa Upako awatimua waandishi

    Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo jijini Dar es Salaam, Anthony Lusekelo maarufu 'Mzee wa Upako', jana aliwagomea waandishi wa habari kusikiliza hotuba yake ya Ibada ya Krismasi, na kutuma wasaidizi wake wawaondoe waandishi hao. "Samahani tunaomba muondoke kwani Mchungaji amesema...
  7. G

    Rais Dkt. Magufuli ahudhuria ibada ya Christmas mjini Singida, atoa Siri ya Ushindi wake wa 2015

    Hivi Magufuli alishinda Uchaguzi Mkuu 2015? Kama kweli alishinda, mbona hajiamini, kiasi cha kuzuia mikutano ya kisiasa ya hadhara, ya wapinzani "walioshindwa"? Hivi wapinzani "walioshindwa", wana nini cha kumuogofya katika mikutano yao?
  8. G

    Mahakama Kuu yafuta kesi ya madai dhidi ya Askofu Kakobe kwa kukosa mashiko

    Juzi, Alhamisi 1.12.2016, Jaji Mwandambo wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar-Es-Salaam; alifuta kesi ya madai Na.79 ya mwaka 2011 dhidi ya Askofu Mkuu Zachary Kakobe wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), kwa kuona kwamba haina mashiko. Wadai katika kesi hiyo walikuwa watatu...
  9. G

    Mchungaji Antony Lusekelo 'Mzee wa Upako' afunguka baada ya kashfa

    Haaaaah, "huwezi kusoma maelezo haya yote"! Lakini maelezo ya umbea unayasoma yote! Mtu mzima ovyoooooooooo!!!!!! Kumbe wewe ni mbishi kama kazi. UNA CHUKI BINAFSI! You just argue for the sake of arguing! Mark Twain said, "Never argue with a fool, onlookers may not be able to tell the...
  10. G

    Mchungaji Antony Lusekelo 'Mzee wa Upako' afunguka baada ya kashfa

    Mkuu lin, acha kuzungumza umbea wa kusikia mitaani. No research, no right to speak! Askofu Kakobe hajawahi kukimbia nchi, yupo Kanisani kwake miaka yote. Yeye pia ni Mhubiri wa Kimataifa, hivyo huenda kila mahali duniani kuhubiri, lakini baada ya mahubiri yake nje ya nchi, hurudi nyumbani. Hata...
  11. G

    Wagombea urais wanne Zanzibar wataka Maalim Seif kufutiwa uteuzi

    CCM acheni propaganda mfu, kubalini kushindwa. Rais wa Zanzibar ni Maaalim Seif, hapana shaka!
  12. G

    UKAWA tumuunge mkono Rais wetu Magufuli

    Huyo ni Rais wa ninyi wachache mliompa kura, kwa ajili ya maslahi yenu! Hiyo ndiyo hasara ya kulazimisha uongozi, kwa kuiba kura. Angalieni sasa jinsi mnavyotafuta support ya sisi tulio wengi! Waswahili waliona mbali, pale waliposema, "wengi wape"!
  13. G

    Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Eti Rais amepiga stop safari za nje za Makatibu Wakuu, UONGO MTUPU! Ukweli ni kwamba hazina imekombwa, fedha zote zimeishia kwenye kampeni, hivyo hakuna fedha! Kinachofuata, ni watumishi wa serikali kukosa mishahara! CCM ni wezi na waongo wakubwa!
  14. G

    Jakaya Mrisho Kikwete - Tanzania's Laughing Stock?

    This is the truth, and nothing but the truth! Kikwete is the worst President we have ever had in Tanzania, a professional liar and hypocrite!
  15. G

    Kweli TanZania Tuna Demokrasia Kubwa!

    Wezi wa kura ndiyo Mafisadi nambari moja, eti demokrasia!!!!??? Demokrasia ya wizi wa kura!!!!???? Rais wa mioyo ya Watanzania, ni Lowassa, na atawapa shida sana bado, ndiyo maana akisema anataka kufanya mkutano Jumapili hii Jangwani, mnahangaika kuzuia aibu!!!!!!!
  16. G

    Kanisa uchaguzi umeisha tuukomboe wakati

    Wewe ni mchanga kiroho!
  17. G

    Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru: Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania

    Nani ampende mwizi mkubwa huyo wa kura, labda wezi wenzie! Aende zake huyo, tunajuta kuwa na rais bogus kama huyo!
  18. G

    Kwanini T. B. Joshua kaikanyaga ardhi ya Tanzania Pekupeku?

    Mtawatambua manabii wa uongo kwa matunda yao!
  19. G

    Aliyemtabiri Magufuli ni Nabii Bendera wa Kanisa la Ufunuo

    Kushinda kwa wizi wa kura!!!!!!?????? Tehe tehe teheeeee!!!!! "manabii" wa Kimara, hawa!!!!!!!
  20. G

    Frederick Sumaye na kusaidia upinzani

    Wezi wakubwa nyie, mwizi wa kuku anatiwa kiberiti, hivyo ninyi mnastahili maradufu! Ukweli mchungu huu hapa: LOWASSA-62%, Mtu wenu-37%. Wizi ni fedheha, siyo jambo la kujionea fahari! Ndiyo maana mmekosa hata ujasiri wa kupita mitaani kushangilia!
Back
Top Bottom