Search results

  1. K

    Amina Mwidau wa CUF achaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Kamati ya PAC

    halafu nilikuwa naomba kama mtaniruhusu kusema kuwa ZITTO HAKUJIZULU ila AMEFUKUZWA au AMEJIFUKUZISHA CHADEMA... LOWASSA si WAZIRI MKUU MSTAAFU ila NI WAZIRI MKUU ALIYESTAAFISHWA...wakati ninasoma KISWAHILI...20+yrs ago walikuwa wanatufundisha KUTENDA na KUTENDEWA...do you know the difference...
  2. K

    Amina Mwidau wa CUF achaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Kamati ya PAC

    sorry....nchi inaendeshwa kwa SHERIA....nilikuwa na hasira sana a kilaza mpaka nikachapia kuandika lol
  3. K

    Amina Mwidau wa CUF achaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Kamati ya PAC

    Mr.Kilaza... unajua tofauti kati ya KANUNI na SHERIA???? just to provide an extra-orbital parabola ...NCHI INAENDESHWA KWA SHERIA ..... lakini...lakini BUNGE LINAENDESHWA ...linaendeshwa kwa....kwa...KANUNI...ambazo in any case hazipaswi kupingana na SHERIA ya uendeshaji wa nchi...yaani...
  4. K

    Tibaijuka: Nimepokea Bilioni ya Mbia wa IPTL! Malipo yalisimamiwa na BoT

    Tibaijuka...sitokuita Prof. kwasababu hauna hadhi ya kuitwa Prof BTW sina uhakika kuhusu tofauti yako na Prof Maji Marefu... the tunguli boy a.k.a witchdoctor!!! Waitaliano wanapotaka kudiscribe situatiaon yako huwa wana msemo kuwa la toppa è peggio del buco!!! ukitafsiri kwa kiswahili ni...
  5. K

    For Critical Thinkers Only: Nini tatizo la Waraka wa Mabadiliko 2013?

    Wakati ninasoma katika low schools na wakati huo internet haikuwa public domain.. watu walikuwa wanaogopa kuchaguliwa kuwa VIONGOZi maana uongozi ulimaanisha kuwatumikia watu na mara nyingi wenye sifa walikuwa wanajihisi hawana sifa za kutosha au walikuwa wanaona hawastahili heshima kubwa kama...
  6. K

    Said Arfi - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ajiuzulu rasmi!

    JE NI KWELI NA WEWE NI MUATHIRIKA WA VIRUSI VYA UKIMWI KAMA KAPUYA??? Je ni kweli na wewe ni mbakaji au ulivipata baada ya kubakwa?? waeleze wanaCCM ukweli.
  7. K

    CCM Kuanguka Kwa CHADEMA is not our Party Interest we should Help Them!!

    kweli duniani kuna mambo... hata malecela jr naye amekuwa ni political analyst? ninahakika wanaompa kichwa ni wale wanaoendeleza malumbamo naye..huwezi kubishana na mtu ambaye hana uwezo hata wa kuosha makalio yake baada ya kujisaidia!!! Mnababaika na hiyo surname yake au nini...maana...
  8. K

    Kapuya maji ya shingo.siku zake uraiani zahesabika kwa mkono mmoja

    mimi naomba kutumia fursa hii kumuomba Kikwete( for the first time I've written his name starting with a capital letter due to the solemnity of the moment!!!) kabla ya kudeal na kapuya (what a dumb of Prof!!) aanze kumfukuza kazi mara moja RPC wa Dar muhuni(sio ndugu) kova aliyewaeleza...
  9. K

    Sitta: Bilioni 10 zimeandaliwa kwa ajili ya rushwa urais 2015!

    Sitta ni mnafiki sana... kama anajua hata hiyo budget basi anawajua hata hao wahusika kwa undani, sasa swali langu ni KWA NINI HASIWATAJE KWA MAJINA NA UBINI WAO, je anawaogopa?? kama ni ndiyo, ni aina gani ya ujumbe mnataka kuwapatia Watanzania kama WAZIRI anaogopa kuwataja WAHARIFU?? Hizi...
  10. K

    Third terminal at Dar es Salaam airport

    Hearthrow( LHT) unaijua au unaisikia??? Umewahi kufika?? watu kwa kuota hatuwawezi!!!
  11. K

    My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    wewe malecela jr naona kwa uhuni unamzidi hata baba yako...
  12. K

    My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    malecela jr... unazidi kuthibitisha ujinga wako... sasa umeandika nini maana ninashindwa hata namna ya kuanza kukupambanua cause I'm not used to fire on the red cross... huwa unayoandika ninayasoma lakiini siyajadili maana nina amini kuwa huwa hakuna cha kujadili kutokana na wepesi wa akili zako...
  13. K

    CCM yafurahia kapuya kubaka

    ahahahaha... mbona yeye kikwete amekwisha waambukiza wengi au yeye huwa anawaambukiza "kwa bahati mbaya"??? Unafiki utatumaliza!!!
  14. K

    KOVA: Mhe. Kapuya HANA Kosa la kuojiwa ni mambo yake binafsi

    mwili wangu unachemka kwa hasira na kwa kweli sina la kuongeza...nashukuru kwamba kuna watu wenye akili kama wewe na waliona hilo!! siongei zaidi ngoja nisome maoni ya watu mbali mbali na ninatafuta namba ya kova nitamuita na nitamrushia makomora mpaka atasema hiki nini...ninamuogopa Mungu tu na...
  15. K

    KOVA: Mhe. Kapuya HANA Kosa la kuojiwa ni mambo yake binafsi

    kova!! (Small letters intended) in primis,nataka nikukumbushe kuwa KUBAKA ni kosa la jinai regardless aliyetendewa hilo tendo ana umri gani! in secundis kufanya tendo la ngono na mtoto ni kosa la jinai it's what we call pedopornographic offence! in tertiis si lazima mtu ashtaki ndio polisi...
  16. K

    JK aenda safarini Sri Lanka

    kiwete kwa kutembea hakuwezi mtu... Sri Lanka hakuna kiongozi anatembelea huko laini kwa kuwa wewe ni kuku wa kienyeji kazi yako kuzurura umeamua uende hata uko...Tanzaia rais mnaye... Mimi bado ninaendelea kusali hako kandege anakotumia kaanguke... labda huu ndio wakati wa sala zangu...
  17. K

    Rais Kikwete arudisha zawadi ya dhahabu

    wewe ni mpuuzi kweli kweli ...anyway NIMEKUSIFIA!!! Honestly speaking wewe ni MPUMB@VU... ungekuwa unaongea kilatini ningekuambia..."Errare humanum est, perseverare autem diabolicum" ... naishia hapo, sitaki kukuonea!!
  18. K

    Arusha: Picha na maelezo za mkutano wa CHADEMA (13 Nov 2013)

    Mh. Lema Godbless... kwanini husitafute IMEI code ya hizo namba zilizotumiwa kukuchafua??? Ukishakuwa na IMEI code nitumie hata mimi nitakuambia ni nani anatumia hiyo simu iliyotumika kutuma huo ujumbe na kila atakapokuwa akibadilisha kadi ya simu nitakuwa ninakuambia ni kadi gani ameweka...
  19. K

    Mwigulu Nchemba ni tatizo-Balile

    "Mwigulu alifika mbali kusema kwamba serikali ifanye haraka kuchunguza pasi za kusafiria wale wote wanaopinga mswada huo wa kukandamiza waandishi wa habari.Kwani alidai yeyote anayepinga mswada huo sio mzalendo!" Hivi huyu kichaa kichwa chake ni hekalu la "UBONGO" au ndani kinatunza...
Back
Top Bottom