Search results

  1. B

    Mnyaa athibitisha kuwa CUF ni CCM B!

    Wewe ni mjinga inabidi wapenda maendeleo na ustawi wa taifa hili wakuelimishe na ukigoma utakuwa mpumbafu au utakuwa either fisadi au anayefaidika na ufisadi. Acha fikra mgando fikiria ustawi wa taifa hili kwa kizazi cha sasa na vijavyo na usijiangalie wewe tu.
  2. B

    mume mnoko

    kama unapata huduma zote vizuri na vumilia ila why aje usiku? Kuna pesa za manane? Ila angalia asije akaleta balaa kwa kujua jf?
  3. B

    je mahakama ni ya wahaya?

    kweli kabisa wahaya noma kwa sheria na hasa ktk idara ya mahakama. Hata uku Kondoa Incharge ni mhaya anahitwa Kato.
  4. B

    Public Prosecution by Police Officers

    Wanajf wenzangu naomba mnieleweshe hili, ni vifungu gani vya Criminal Procedures Act vinawapa Police wenye rank ndogo kuendesha mashtaka as Public Prosecutors tofauti na sheria inavyotaka eti kuwa PP lazima awe na rank kuanzia Assistance Inspector na kuendelea. Make naona hata CONSTABLES...
  5. B

    Serikali haina hela za kuwalipa Mishahara Askari Polisi

    Mkuu kwa jinsi walivyoupokea walaka huo, nadhani siku sijazo 2taona ya Libya coz askari wanasema eti wamechoka na mishahara midogo, midogo yenyewe haiji kwa wakati. Lakn serikali inasahau, inampa askari silaha na risasi 30 anaenda lindo pekeyake, akiamua kuua raia kwa hasira wangapi watakufa...
  6. B

    Teddy Kalonga TK apata mtoto wa kike

    Hongera zake
  7. B

    I need a girl friend

    dogo asome kwanza. Uko 1st year na ndo umefika hata utambulisho wa chuo hujamaliza umeshaanza kufikiria mademu! aah ndio 2takaosikia mmejirusha kule Mabibo Hostel!
  8. B

    Haya mabasi ya MJ yanakera!!

    Mimi ni miongoni mwa abiria wanaosafiri na mabasi ya MJ ya Kondoa to Dar. Haya magari kwa nje yanaoneka bomba lakn ni mabovu kuliko hata DCM za Mbagala 2 Kivukoni. Kwa usafiri wenye uhakika basi likitoka Dar. saa12asub. Kondoa linaingia saa12:30 jioni. Lakn siku hizi yanaingia mpaka saa5 usiku...
  9. B

    Wanaume wenye vitambi na ufanisi wao.......

    Wanaosupport vitambi eti sio issue wana2cheat! Imagine mtu ana mzigo km mimba ataweza wapi kumkunjaje na kumkuna vizuri mwanamke ilhali anapumua kwa shida! Kwanza fimbo ilishakuwa fupi coz kitambi, mbaya ana presha, huwezi mziki hata wa pushapu hata 40! Lakn ukiwa na kakitambi kadogo kakuuzia...
  10. B

    Nini faida ya mirungi na hasara zake?

    Mmm! Mmenikumbusha huku Kondoa, warangi wanakula km mbuzi akulavyo majani. @ siku kesi polisi haziishi na ni kesi zinazoongoza
  11. B

    Hii issue mnaionaje wanajf wenzangu?

    Habari gani wanajf? Me nina tatizo na hawa wa2 wa design hii! 2najua usiku ni mda wa kupumzika, mipango ya future kwa wahusika, kupeana uroda whether wa halali au usio wa halali. Ktk hili la uroda unakuta wahusika wanafanya mapenzi huku wakipiga kelele tena mapema tu saa2 pengine hata watoto wa...
  12. B

    Eti ushindi lazima!

    Habari wanajf wenzangu. Mie nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni ya CCM Igunga ila nimesikitishwa wanavosema eti ushindi lazima wachukue! Je, why wanajihaminisha?
  13. B

    Wana JF upi ni muda mzuri haswaa?

    Mu wazima wanajf wenzangu. Nimekuwa naona watu wakibishana eti ni wakati gani wa kula malavilavi wakati wa usiku. Je, ni wakati wa kulala baada ya chakula, usiku wa manane au alfajiri na kibaridi kile? And why?
  14. B

    Kwanini kizazi hiki kinapenda sana chips mayai na kuku?

    Ndo maana akili zao pia ni rojo.
  15. B

    Wanawake.....huwa mnajisikiaje?

    Wakuu mmesahau na neno la kusuguliwa.
  16. B

    Wanawake ambao HAWAJATUMIKA: Vyuoni wapo wengi tu

    Ndg wanajf, me nakubaliana na mleta mada. Tufahamu kuwa vyuoni kuna mabinti wenye misimamo thabiti ya kutokupenda kuchakachua bila kujua future ya anayetaka mzigo, so inatokea unamkuta mtoto ni SEALED ila ni wachache. Mbona nami mkewangu tena pale Udsm nilimkuta sealed kabisa bila kufoji.
  17. B

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Mimi ni Polisi na ni Graduate of Bachelor of Laws, what I know is that a person is paid according 2 his level of education. For instance a graduate's basic salary ranges from 440,720 & take home is 349,000 then plus 100,000 monthly allowance. So msidanganyane. Thanks
Back
Top Bottom