Search results

  1. Deo Corleone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwani hauna mishe nyingine? Tuliwaambia huku Kanji sio ndugu yako akupe hela!!
  2. Deo Corleone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tunaomba mrebet mapema msichoke
  3. Deo Corleone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hujui kwanini? Kanji anapiga kazi ya kutukuka Sana katika kuhakikisha maafsa ubashiri wote wanafirisika
  4. Deo Corleone

    Happy birthday Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Saint Gaucho

    The Greatest ever. Wakati kina Mesi na wenzie wakijifunza mpira huku Duniani,Mungu alimtuma Gaucho aje awaburudishe watu huku Duniani
  5. Deo Corleone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo kumepoa kama msibani kwa Shoga!. Tutaelewana tu kuwa hii kazi ya kumtajirisha bwana Patel sio ya kuitegemea!! Usipokaa kitaalamu anakuacha maskini. Haya mdeposit wakuu
  6. Deo Corleone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tatizo Kanji anapiga jichoni tu Hadi hatuoni mbele
  7. Deo Corleone

    Utekaji umeanza tena? Imam Mkuu wa msikiti wa GPB Geita atekwa

    Polisi wanasema wanae jamaa pamoja na wenzie kwa tuhuma za kuongoza genge la uhalifu
  8. Deo Corleone

    Serikali kujenga uwanja wa mpira Arusha wa kuchukua watu 30,000 ni kukosa maono

    Naming rights huku umatumbini no nadharia tu!! Mbeya ikifanyika mbeya Derby mashabiki hawazidi 1000 Hadi hela irudi ni mwaka gani? Hivi unajua gate collection ya baadhi ya mechi huko mkoani haizidi laki2? Jana Yanga wamecheza hapo Chamazi na uwanja haujajaa.
  9. Deo Corleone

    Serikali kujenga uwanja wa mpira Arusha wa kuchukua watu 30,000 ni kukosa maono

    Ukiacha mechi ya Simba na Yanga ,mechi gani nyingine itaingiza hao mashabiki 30K. Hao wageni kutoka Nje huwa wanafuata mpira hapa Bongo? Huko Zanzibar Kuna wageni wengi kuliko Chuga ,ushwawi kuona hata wageni 200 wakienda Amani Complex kuangalia mpira? Gabon na Cameroon viwanja vyao vimebaki...
  10. Deo Corleone

    Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

    Nimeingia huko,nimewafumua hatari. Kuna bingwa huku?
  11. Deo Corleone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mechi pekee ya uhakika Leo ni mechi yaa man u Wekeni corner over 10.5
  12. Deo Corleone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo Kuna mechi zaidi ya 5000 ila kuotea mechi 10 tu mtihani
  13. Deo Corleone

    Kumbe kuna salamu maalumu ukikutana na mtu usiku mzito? Usiku wa leo mbio ndiyo zimeniokoa

    Kuna wezi wengine hata hizo salamu hakuna,unashtukia uShapigwa roba
  14. Deo Corleone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ila ungempa unashangaa angefungwa!! Mimi naamini kubet unakuwa unashindana na majini
Back
Top Bottom