Search results

  1. M

    Maandamano kudai babu ODM aka Asprin atolewe gerezani!!!

    Sijawahi kuona babu akitukana. Unaweza kutuwekea post yake japo moja hapa aliyoandika matusi.
  2. M

    Maandamano kudai babu ODM aka Asprin atolewe gerezani!!!

    Bango langu lisomeke mode aliyemfunga babu abadilishwe jinsia.
  3. M

    Maandamano kudai babu ODM aka Asprin atolewe gerezani!!!

    Free ODM wajukuu wanataka haki yao ya kukaguliwa na babu.
  4. M

    Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na ODM Babu Asprin~~~!

    Hili swali mpelekee jela huko. Mode ameshakula kichwa cha babu
  5. M

    Ahsante gfsonwin, nimepona!!!

    cacico asprin kafanya nini mpaka wamemlima ban. Nayamisi mambwembwe yake jamani.
  6. M

    Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na ODM Babu Asprin~~~!

    wamemban babu yetu. Ongea na mode wamuachie babu yetu atupe mauhondo. Sijui kawakosea nini jamani.
  7. M

    Babu Aspirin

    hahah nimecheka sana. Kweli JF Kiboko.
  8. M

    Ahsante gfsonwin, nimepona!!!

    Hii kali. Natamani sana nimwone huyo babu manake anavosifiwa nahisi atakuwa si babu kiviiile.
  9. M

    Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na ODM Babu Asprin~~~!

    Na AshaDii naye kapotelea wapi?
  10. M

    Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na ODM Babu Asprin~~~!

    Huyo Paw ndio nani. Amfungulie babu yetu. JF is not the same to me bila huyu mzee.
  11. M

    Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na ODM Babu Asprin~~~!

    Mungu wangu. Mimi ni mshabiki mkubwa wa huyu babu. Amefanya nini naona yuko banned. Hii thread haina mashiko tena.
  12. M

    Banned: Asprin....

    Jamani, yani hata aspirini anapigwa ban jamani.
  13. M

    Nimevumilia nimeshindwa

    nyie jamani hata siwaelewi. mimi sina jinsia yoyote
  14. M

    Rafiki wa mume wangu ananitaka

    asante sana mwanajamiione. mie huyo mtu simjui. natamani nibadili jina hili sasa. Mazandu ni jina la ukoo wetu
  15. M

    Rafiki wa mume wangu ananitaka

    mwanajamiione hivi mbona kila mtu ananisema? au hili jina ni matuc. unabadilishaje jina isiwe tabu.
  16. M

    Nimevumilia nimeshindwa

    Ahsante sana bubu ataka kusema.
  17. M

    Nimevumilia nimeshindwa

    Mhh nyie watu jamani. Mna lenu jambo.
  18. M

    Rafiki wa mume wangu ananitaka

    mwanajamiione umesema vzr. naunga mkono hoja.
Back
Top Bottom