Search results

  1. Mwawado

    Ngoma nzito majimbo haya

    Muheza (Tanga) Kinyanga'anyiro ni kati ya Mzee Adadi Rajabu kutoka CCM atakayeshindana na Bwana mdogo machachari Ernest Msingwa wa CHADEMA (UKAWA).Siasa za Upinzani hazina nguvu sana Muheza lakini ni vyema kuanza sasa,na uzuri ni kwamba wagombea wote wawili ni mara yao ya kwanza kuingia katika...
  2. Mwawado

    Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

    You said it all Mr. Samurai..... Kila la Heri Ben, ni wazi uwezo unao, Utumishi wako uliotukuka unajulikana kwa uwazi ndani ya Chama chako.Omba ridhaa ndani ya chama chako na pengine kwenye Jumuiya ya UKAWA. Jizatiti kwa kampeini,Ushindani ni mkubwa lakini ni wazi utashinda sote wapenda...
  3. Mwawado

    Kinana ampongeza Lukuvi, Nape amtaka Nyalandu kuacha kutafuta watu wa kumtetea

    Manyerere wewe ni muandishi jaribu kufanya vizuri research yako kabla ya kuandika,sidhani kama maneno aliyoyasema Mzee Mkapa yalikuwa yanamlenga Mh.Nyalandu.Hapo alipofikia Nyalandu ni kwa ajili ya nguvu na Ushawishi wa Mzee Mkapa na Mama Anna Mkapa.Mh.Nyalandu ana mahusiano mazuri na ya karibu...
  4. Mwawado

    Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    Sikutegemea Ngeleja anaweza kujitetea Kitoto namna hiyo! Wala siamini kama huo ni Utetezi wa Ngeleja,Kumekuwa na habari za kupikwa mno humu.Mtu mzima mwenye akili hawezi kujitetea kwa namna hiyo.Unatoa vithibitisho na sio kusema Mbona fulani nae kapewa!
  5. Mwawado

    Deusdedit Kahangwa atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Karagwe kwa tiketi ya CHADEMA

    Kila la Heri Kahangwa,Tumia njia sahihi za Chama kuomba ridhaa ya kusimamishwa kugombea Ubunge Karagwe.Tupo pamoja nihesabu kwenye orodha ya supporter wako na nipo tayari kutoa pesa kidogo kwa ajili ya kampeini yako.Demokrasia ya kweli inataka washiriki kama wewe,Tumia ushawishi wako kuwaomba...
  6. Mwawado

    Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

    Mnapenda sana Hadithi za Vijiweni.Huu uoga wenu wa Usalama wa Taifa unatoka wapi? Kila mtu siku hizi anakuja na mambo ya ajabu,baada ya kuangaliwa kama yeye watu wanajiuliza kama ni Usalama wa Taifa.Who is Usalama wa Taifa? Hakuna yeyote leo anayeweza kusimama na kujitapa kuwa yeye ni Usalama wa...
  7. Mwawado

    Tanzania yaangalia uwezekano wa Diaspora kupiga kura

    Vichwa vya viongozi wetu vina matatizo.Hili suala la Diaspora kupiga kura lisikubalike,hii ni mbinu nyingine ya kutaka kuiba kura.Hakuna mtu yeyote anayejua idadi kamili ya Watanzania waliopo Diaspora.Nchi nyingine zenye mifumo mizuri na ya kueleweka ya kidiplomasia kama...
  8. Mwawado

    Dr Shein apendekezwa na CCM Zanzibar kuchukua fomu ya Uraisi Zanzibar

    Yericko, Kuandika hivi ni kupotosha. Ukweli wa mambo ni kwamba CC ya CCM imemkubali kwa pamoja Mzee Shein kuchukua form tena kwa ajili ya kuomba ridhaa ya Wananchi kugombea Urais wa Zanzibar na Sio Tanzania kama mleta Mada anavyoandika. Kwa mtazamo wangu nafikiri bado kitendo hicho ni...
  9. Mwawado

    Msuya atueleze aliko Sokoine

    Ndugu yangu Mleta mada angalia tena vyanzo vyako vya habari kuhusu Kifo cha Marehemu Sokoine,Hizi taarifa unaloleta humu zinasababisha usumbufu kwa baadhi ya ndugu na jamaa wa Marehemu na sisi wengine ambao tunawafahamu hao Wazee wote na utumishi wao Serikalini.Jioni ile ya Jumatano,April...
  10. Mwawado

    Did President Mugabe reach a deal to handover power in Zimbabwe?

    Hivyo anavyofanya ndio njia sahihi kwake,Vinginevyo katika umri huo angejishtukia wanampeleka The Hague.
  11. Mwawado

    Maria Sarungi: Independent Candidate?

    Mwalimu nimeisoma Post yako na majibu mengi ya hii Post.Ni kweli Maria amejitokeza kuwa Mtanzania anayetetea maslahi ya wengi bila Uoga wala kuegemea upande mmoja (Itikadi za vyama).Maria ni Mwanaharakati wa kutetea haki sawa kwa wote.Mimi binafsi nina Imani kubwa na huyu Dada kama ataingia...
  12. Mwawado

    Maisha ya mama Anna Tibaijuka kijijini Muleba

    Hapana Mumewe Marehemu Wilson Tibaijuka alikuwa Balozi Wa Tanzania wa mwisho katika Nchi ya Soviet Union kabla ya kuvunjika (Decemba/25/1991) katika Jamhuri nyingine 15 na kuitwa Russia.Balozi Tibaijuka alifariki mwanzoni mwa 2000.
  13. Mwawado

    Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

    Mkuu unaweza kukuta Hukumu ikawa ya miezi 15 tu. Kuna pesa za escrow zipo nje nje wanaweza kuwa na Lawyers wazuri.Si umeona hukumu ya Kitwara?
  14. Mwawado

    Mbunge Assumpter N. Mshama

    Ni kweli Mama Assumpter Nshunju kipindi chake chote cha ujana alikuwa Muhudumu wa Ndege za serikali,na huko ndiko alikokutana na Mumewe Mr. Mshama ambaye kwa sasa ni Senior VIP bodyguard,siku za karibuni alikuwa Mlinzi na msaidizi wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Mzee John Malecela. Mheshimiwa Mbunge...
  15. Mwawado

    Membe: Kachero, Mwanadiplomasia mtata na rafiki wa wasomi, muendelezo sehemu ya 2

    Suala lile la Ugomvi wa Membe na Dr. Hassy Kitine kwangu Mimi naona bado Membe alikuwa yupo sahihi kuripoti matumizi mabaya ya $63,000 ambazo zilitolewa na Wizara ya Afya kwa ajili ya matibabu ya mke wa Dr. Kitine ( Mrs Saada Mkwawa Kitine).Pesa hizo zilitolewa kwa matumizi ya Matibabu wakati...
  16. Mwawado

    DMV USA: Kumuona Kikwete ni $100 kumpongeza kwa kuzalisha 3000mega watts za umeme

    Hapo DC ndio penye makao makuu ya World Bank na IMF. Kipindi hichi cha General Assembly Vingozi wengi omba omba lazima wapite huko.
  17. Mwawado

    Serikali yapigilia msumari kwenye uraia pacha

    " Serikali wana mambo ya Ajabu.Suala hili la Uraia pacha halikwepeki,Ni suala la Wakati tu.Dunia imekuwa kijiji. Inapaswa Serikali waliangalie na kuliundia sheria ambazo zitalinda maslahi ya Nchi. Kumbukeni mwanzo wa Vyama vingi,Kila mtu alisema huo ni utamaduni wa kimagharibi na si rahisi...
  18. Mwawado

    Uraia pacha: Maslahi binafsi dhidi ya masilahi ya Taifa

    Nimekuelewa Ndugu yangu,Lakini wasiwasi wako wa Usalama wa Nchi unaouzungumza hauniingii akilini.Nchi yetu haina threat yoyote kwa majirani wanaotuzunguka hata kwa Upande wa Mashariki wenye mpaka mkubwa wa bahari ya Hindi.Kimsingi matatizo yetu madogo na majirani zetu ni kwa sababu ya EGO tu,ni...
  19. Mwawado

    Uraia pacha: Maslahi binafsi dhidi ya masilahi ya Taifa

    Ndugu Horseshoe Arch ni kweli unayoyasema.Bandiko la Ndg Kashishi limejaa mambo mengi ya maana ambayo inapaswa kuyajadili kwa kina kwa mustakhabali wa Taifa letu na si kutupa kashfa na kubezana kama ilivyo kawaida yetu kwa sasa.Ieleweke wazi kwamba Ndugu zetu waliopo Diaspora si kwamba ni...
  20. Mwawado

    Jaji Lewis Makame afariki Dunia katika Hospital ya AMI Trauma Center, Masaki - Dar

    Duuuh huku tulipofikia sasa sio Ustaarabu kabisa.Siku zote tumkumbuke Marehemu kwa yale mazuri yake,Haipaswi kumuhukumu kwa mabaya yake.pamoja na tofauti zetu alipokuwa Tume ya Uchaguzi lakini bado namchukulia Jaji Makame kama Kiongozi muadilifu katika nafasi zake zote alipokuwa Jaji.Ni mzalendo...
Back
Top Bottom