Search results

  1. M

    Asilimia kubwa ya wanafunzi wa udom kutosajiliwa mwaka wa masomo 2011/2012

    Wana jf wenzangu, sijui tunaelekea wapi na katika karne gani? ukiachilia mbali swala la wanafunzi wengi kutopata mkopo, uongozi wa chuo kikuu cha Dodoma ilitoa tangazo kwenye website yao www.udom.ac.tz kuwa mwisho wa kulipa gharama za accomodation pamoja na ada ni tarehe 30/09/2011, wameongeza...
  2. M

    hii imetokea dodoma

    nani kwa kuambia huu ndo utakuwa mwisho wa mgomo?
  3. M

    Utafanyaje baaaaaaaaaab?

    nahisi ndo utakuwa mwisho wa uhai wangu. ahela itaniita soon mana tiketi tayari nitakuwa nayo
  4. M

    Hii imekaa vipi

    duh! mi nanyamaza tu maaana mh......
  5. M

    Warembo katika Fashion Shows

    wanawake hawachoki kujidhalilisha wakidai fasheni, na bado tunakoelekea watatembea huku ****** yao na [NENO BAYA] wameacha nje mithili ya mbwa
  6. M

    Kwa nini warembo wanapenda kuweka simu kunako?

    Duh! kama warembo wenyewe ndo hawa, ninamashaka na huo mtaa unao kaa inaonyesha hakuna kiu!
  7. M

    jadili hii!!!!!!!

    tofauti ya maneno haya 1 ""sikia"" na ""sikiliza"" 2 ""aibu"" na ""haya"" 3 "shabaha" na "lenga" 4. "legelege, goigoi na mzembe"
  8. M

    naomba msaada wa maneno ya kifizikia,kemia, na baolojia kwa lugha ya kiswahili

    maneno yenyewe ni pamoja na 1 circular motion 2 acceleration 3 x-rays 4 molar mass 5 proton 6 chlorophyll 7 oxygen 8 carbon dioxide msaada pia kwa maneno mengine meeeeengi ambayo wewe unayafahamu kwa kutumia baobonya ya ngamizi yako ebu nijulishe!!!
  9. M

    Fahamu tafsiri sahihi ya "computer" kwa kiswahili.

    hii ni jibu sahihi """TANAKILISHI"""
  10. M

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    1 Kama shida ingekuwa sumu tungekufa wengi """""nimeipenda""""
  11. M

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    if possible ngereja aachie ngazi na hii ni aib kwa CCM na huyu ni wazir wao :: ili wananch 2elewe bila mjadala JAIRO ATOKE [NENO BAYA] hao. af 2jiulize kwan huyu ni nani ktk nch hii????? ni dalili kuwa sasa ni mwishowa CCM na ni mwanzo wa utawala mpya [CHAGUA] 2015
  12. M

    Niko dillema, mchumba wangu ni mchawi!!!

    pole sana! nakushauri ufanye utafiti wa kina juu ya hilo swala, na usipopata ukweli wa jambo ni heri kuachana naye sababu hata kama utataka kuishi naye kwa kupotezea maneno ya watu bado utajikuta unakuwa katika wakati mgumu maisha yako yate kwa hisia za kuw mchumba wako ni mchawi zitaendelea...
  13. M

    UDSM: Mgomo unaokuja nani alaumiwe?

    pig up UDSM! mgome tu maana wanafunzi wa vyo vikuu tz wamekuwa hawaheshimiki na viongozi wa serikali hii ya awamu ya 4, wameonekana ni watu wa kudanganywa kama watoto wadogo. U have a point guys
Back
Top Bottom