Search results

  1. K

    Gairo wamafagilia kikwete

    Wananchi wa jimbo la Gairo mkoani Morogoro wamempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kutekeleza ilani ya uchaguzi sambamba na ahadi zake alizotoa mwaka 2008 katika jimbo hilo, ikiwemo ya kuifanya Gairo kuwa wilaya inayojitegemea, ujenzi wa barabara, pamoja na visima vya maji vitakavyosaidia kuondoa...
  2. K

    Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

    Duuuuuuuuu, ndivyo hivyo, taarifa muhimu hizo
  3. K

    Miezi 6 tu,pesa za ubunge zilivyomuharibu mbunge huyu kijana na kuwa kero jimboni kwake

    sasa jamani kama wakati huo hakuweza kunywa hakuwa na hela sasa afanyaje.mwache anywe ilimradi atakeleze ahadi zake
  4. K

    Nchi kwanza chama baadae na kinachoendelea Arusha

    Kwani Nape hujui mgogoro wa arusha ni huyo Chatanda alieyevuruga morogoro kwa ubabe wake mkampeleka arusha , kule kafika uababe hukohuko pale watu wanafedha zao, tatizo kubwa ni kila mmmoja kwenu CCM yuko karibu na mkubwa wa nchi, kule mvomero mbunge rafiki wa mkuu, DC kazaliwa ikulu shida ni...
  5. K

    Nchi kwanza chama baadae na kinachoendelea Arusha

    Nape nyie wenyewe mnajali viongozi kwanza wananchi badae ndio maana hata pale morogoro viongozi wanapeana madaraka kienyeji kisa kiongozi kwanza wanachama badae, inamaana hujui kama wenyewe kwa wenyewe kule K, ndege wanatoana roho? hujui yule katibu Ali isaa amefukuzwa kwa nchimbi mmempeleka...
  6. K

    Kutoka Bungeni: June 30, 2011

    sas wewe Nkamia ubunge ndio unakulevya au? hujui sasa ni utandawazi , hebu tupishe wenzako twataka kukimbizana na wakati
  7. K

    Mh. Juma Nkamia (MB) ni mshari na mtu mwenye dharau

    yaani hapo umenigusa hata mie maana huyo mtu anadharau sana anajiona yeye ndiye kuliko, na sasa anasahau hata alikotoka kwa maana ya kuwadharau wanafani wenzake
Back
Top Bottom