Search results

  1. Joseph

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Mpe papuchi yako aionje kwa raha zake then unogewe na game yake usahau kuwa umeolewa, lahaula mume kajua ndoa huna na kazini wote wanajua umeachika kwa kugawa papuchi kwa huyo jamaa yako unayedhani u amfeel kama vile katoka peponi, fanya hima genye zizidi ili ujue kwanini ulizaliwa mwanamke na...
  2. Joseph

    Kiongozi wa dini asiyejua kusamehe, vyeti vyetí mpaka lini

    Ukijua maana ya kusamehe basi hutopata shida,unaweza kumsamehe mtu na ukaendelea kuongelea mabaya yake ili jamii ijue,maana unapomsamehe mwizi yafaa uyaseme matendo yake ili wengine wajue kuwa ni mwizi na moyoni unakuwa umemsamehe kwa kutokufanya kisasi kwa mwizi husika.Daudi aweke vyeti tu kama...
  3. Joseph

    Nitampataje huyu binti wa kibosile!

    Endelea kuogoap hivyo hivyo maana gut yako inaweza kukuponya na siku zote amini hisia zako maana zinakulinda,endelea kumtazama zaidi kila mkikutana maana kwa kuwa kujui hata zile sign za kutumia kichwa kuwasiliana basi tulia tu siku utakuja kumkuta kifuani kwako ukiwa unaota ndoto ya mchana
  4. Joseph

    Ngono/mapenzi kabla ya Ndoa: Faida na Madhara yake...

    Kama unadhani heshima ni kufanya ngono sawa ila kwa ufahamu wangu kufanya au kutokufanya haikufanyi ukose heshima,nadhani yafaa tupanue zaidi uelewa wetu kwenye maisha
  5. Joseph

    Kina baba wanene na tabia za kutongoza vibinti vidogo

    Ukishakuwa na kitambi maana yake maisha yako yana changamoto nyingi ikiwemo chakula,mwenye kitambi anakula si masihara hivyo lazima uwe unajitosheleza kupakia chakula kwatumbo,pia mavazi hubadilika na kuwa na over size ambazo hazipatikani hovyo tofauti na size za kawaida. Mwenye kitambi lala...
  6. Joseph

    Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

    Hizi zilikuwa promo za kupata wasikilizaji maana redio iko hoi kipondi hiki kupata wasikilizaji,sasa wamebaki kukumbatia na kujipendekeza kwa watendaji wa Serikali ili wapate wadau wa kuwasikiliza,unatangazaje mtu kuwa studio wakati huna uhakika? Mkuu wa mkoa ana rayiba na huwa hakutupuki tu...
  7. Joseph

    Mipangilio ya kazi serikalini ikoje? Naona mwezi mzima tunaimba bange,kokeni,bange,kokeni

    Uongozi wetu wa sasa ni kanyaga twende,bila kanyaga twende utasikia jamaa kajiuzuru ukuu. Ukitaka mipango nenda nchi nyingine sisi hatuhitaji mipango maana inapoteza muda na rasilimali fedha wakati sisi tunabana matumizi,si umeona hata tulivyohamia Dodoma wizara nyingine tumezipeleka pale UDOM...
  8. Joseph

    Ridhiwani Kikwete: Fedha za maendeleo zinasuasua, serikali inasema Makusanyo hayajakaa vizuri

    Subiri bajeti ijayo ndio utajua kama fedha ipo au ilikuwa maigizo,povu la wabunge wa CCM ambao waliahidiwa miradi na hela hazijaenda ndio watatupa picha halisi maana wakisema wabunge wa upinzani huwa wengine hawaamini.
  9. Joseph

    Sababu ya Gazeti la Jambo leo kuingia vitani na RC Makonda ni Manji kutajwa kwenye dawa za kulevya

    Nashangaa mnaanza kubwabwaja bila sababu,kazi ya gazeti ni nini kama sio kutafuta na kutoa habari? Makonda wenu si ajibu tu kama wengine wanavyojibu tuhuma kuwa wanasinhiziwa na kwa kuwa vyeti anavyo ambavyo ndio anaulizwa navyo aviweke ushahidi,sioni tatizo la gazeti kwenye hili,ajibu tu hakuna...
  10. Joseph

    Makonda anaonekana kuwa tishio kwa nafasi za wenzie CCM

    Kuna wakati huwa nashangaa,hivi Dar wanakaa wpinzani pekee?Mtoa mada anasema Makonda kawapoteza wapinzani Dar yaani alichokuwa akikifanya makonda ni siasampaka wapinzani wapotee? Mtoa mada hajaweka mlinganisho wa namna Makonda alivyowapoteza wapinzani maana katupa tu sahani yake mezani ambayo...
  11. Joseph

    Tunahitaji nini, maarifa ya mtu, cheti au jina?

    Maarifa na ukweli ndio yatakuweka huru,sasa kama hujawa mkweli basi maarifa yako hayana faida kwa jamii maana ipo siku utatumia maarifa hayo kuwaumiza wana jamii wenzako
  12. Joseph

    Paul Makonda kujibu tuhuma zilizoelekezwa kwake kupitia PB ya Clouds FM tar Februari 23, 2017

    Aje na vyeti vyake na aviweke wazi kwa waandishi wa habari kumaliza utata ila akijibu bila ushahidi basi hakuna atakalokuwa amelifanya,mengine yanajibika kihoja na kimkakati hivyo naamini atajipanga,namuonea huruma kijana huyu maana najua maumivu ya kashfa kwa moyo unakuwa huna amani moyoni wala...
  13. Joseph

    Kina baba wanene na tabia za kutongoza vibinti vidogo

    Mkuu hujui kuwa ukiweza kuhudumia kitambi pia unaweza kwa urahisi sana kumhudumia binti yeyote hap mjini? Halafu vibinti vyetu siku hizi havitaki vijana wenzao maana wkienda kwenye show vijana mnawatumia sana kiasi kwamba wanatoka wamechoka wakati wakitoka na wenye vitambi hupewa mahaba taratibu...
  14. Joseph

    Wale wakuingilia mapenzi ya watu

    Kuna wengine bila kuingilia mapenzi ya watu maisha yao hayana furaha,ukiwajua unakuwa makini nao tu na ikibidi unawaweka mtu kati na kuwapa live kuliko kukaa kimya. Mungu katuumba kila mtu na tabia yake ili tuweze kusoma kupitia wenzetu na kuishi nao kulingana na vilem vyao.
  15. Joseph

    Ngono/mapenzi kabla ya Ndoa: Faida na Madhara yake...

    Namba tano haina mantiki kwa sasa maana kwa mwenye uelewa wa namna bikira inavyotoka si lazima ufanye tendo la ndoa,thamani ya mwanamke haipo kwenye K bali katika ule ubinadamu alionao kwa anayempenda.
  16. Joseph

    Cocktail inatengenezwaje?

    Mambo ya pombe yana changamoto zake,tulianza na vibia vyetu vidogo dogo akaja jamaa akasema mbona mnapoteza raha ngoja niwaoneshe raha ya pombe,akaleta lile konyagi kubwa mil 750 na tonic water pamoja na ice,niliona raha tu maana sikuisikia radha ya konyagi maana tonic tamu mhm kumbe inanichukua...
  17. Joseph

    Cocktail inatengenezwaje?

    Yaani huwezi amini jumapili nimepiga bapa na jamaa si nikazima moja kwa moja mpaka j3 ile kuamka saa sita mchana,ataua watu huyu kwa mchanganyiko huo
  18. Joseph

    Cocktail inatengenezwaje?

    Joanah umenifanya nicheke maana mchanganyiko wako hauna gharama kabisa duh!
  19. Joseph

    Mmiliki wa Africa swahili Tv na Africa swahili Fm ni mmoja?

    Swahili nimesikia ni ya Mosha na ana mfanyakazi wake ambaye ni mpambe pia Le mnenez le akiliz kubwa matokeo ziros
  20. Joseph

    Mbowe ameshindwa kesi kabla hata haijaanza!

    Mramba na Yona wasingefungwa basi kama hoja ndio hiyo maana walikuwa wanatekeleza majukumu waliyopangiwa na Rais. Tusipende kupindisha mambo na tuache sheria ichukue mkondo wake maana wakati wanataja majina tulishangilia hivyo na sasa tushangilie tu hakuna namna
Back
Top Bottom