Wote hao ni viongozi wazuri, wanauzoevu, kwa mfano Mhe. L alipokuwa Waxiri alisisimamia kwa makini vizuri baadhi ya mipango mizuri ambayo iliachwa na awamu ya tatu, ikiwemo ujenzi wa shule za sekondari za kata, na mengine mengi, Pia na huyu Mh. mwingine naye kupumbuka ni mchapa kazi, kupunguka...
kwani anamuzia asigombee, wote ni viongozi wazuri, wazoefu, kikubwa tupate viongozi wazuri, kwa ajili ya maendeleo, upendo na amani ya nchi yetu, ubaguzi haufai "yeyote atakayechaguliwa atafaa kuwa kiongozi"
Convertion i uwe unasoma usiseme bila kusoma, D(2014)=E(2013)=1, E(2014)= S(2013)=0.5, HIVYO ANAWEZA KUPATA ADMISSION MAANA ANA PRINCIP ZENYE 2, ILA MKOPO LABDA AMUOMBE MAURANA. NAJUA NI WEWE MWENYEWE SIO MDOGO WAKO POLE SANA NDUGU, USIKATE TAMAA TRY
Kwa upande wangu kwanza nakupa pole kijana. Pia napenda kuungana na Mr. Mbumbumbu na comment yake nzuri sana ingawa sijui kwanini anajiita mbumbumbu. Kwenye usaili kikubwa ni ujasiri, relaxing, na umakini.
NAKUTAKIA SAFARI NJEMA UTAFANIKIWA KAKA. PAMOJA
Jamani acheni ukilaza, huko chuo waliwafundisha kumeza? sio kuelewa?
Shukuru kwa information alizowapa.
Jina lake ni:
Kama 2 Equevalent to 4
3 Equevalent to 6
info@azaniabank.com equevalent to Azania Bank na www.azaniabank.com
JE info@emiratealuminium.com equevalent to...
Wabongo fungukeni akili, acheni utoto, acheni kukopi. Nani kasema history haina application? Nyinyi wenye mawazo madogo pamoja na serikali yenu inayo copy sera toka marekani bila kuwa na historia ya malekani. Nataka ni wambie historia ni muhimu. kwanza kama hamjui inahusu mambo yalio pita...
Tanzania ina wasomi na watalaam wengi sana ambao wangeweza kuisadia inchi, chanzo cha vikwazo ni shamba la bibi ambalo kila mtu anataka avune halaka halaka, hivyo basi siasa ndio chanzo, siasa imewafanya wataalaam, wasomi kuwa wanafiki wanaishauri serikili kile inachokitaka ili kuifurahisha...
Kuna uhusiano gani kati ya hili jukwaa la kazi na mvua? Au unataka kuzungumzia vibarua vinavyotokea kukiwa na mafuriko? kama vip wafuate wenzako kwenye majukwaa ya siasa n.k
NAJIBU SWALI HILO SIO KUTETEA OMBI LA KAZI, NANI ALIKWAMBIA HILO SWALI? NAJUA ULIAMBIWA TU.
2+2=4, By distribution property is equal to 2(1+1)=4=2x2
But recall from your standard two and one that 1+1=2
Therefore instead of 1+1...
NDUGU WANA JF POLENI NA MISHEMISHE, NAOMBA MWENYE INFORMATION YA MAHALI NINAPOWEZA PATA KUFUNDISHA MATHEMATICS, NINA B.A. IN ECONDOMICS AND STATISTICS, LAKINI NAPENDA KUW ATEACHER, EMAIL YANGU isagajuba@gmail.com
thank you wana jf
acha uongo, kwani jimboni kwa kafulila yupo yeye tu, wengine hamna? Kama wanamkubali si agombee ubunge tena kupitia hata cuf, tadea au udp.
Hafai kabisa huyo jamaa bora hamadi rashid.
Eti anasema: Bora uwepo mfumo wa mgombea benafsi, alikuwa wapi kudai siku zote?
Je mnazungumzia vipi? Utungaji na usimamizi wa mitihani? Nafikiri ingekuwa safi mitihani iwe inatungwa na external examinars na kusimamia pia, husu gpa inatakiwa iwe uniform kwa vyuo vyote.
Kwamba hao watu wafanye mitihani sawa katika conditions sawa, namna watakavyofundishwa iwe juu ya vyuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.