Search results

  1. I

    Kwanini Wabongo hatupendi kutoka as a family, tunatoka tu na washikaji?

    Hapa labda kama unalenga aina fulani za familia,ila asilimia kubwa ya familia hawaendi mbali na maeneo wanayoishi
  2. I

    Kwanini Wabongo hatupendi kutoka as a family, tunatoka tu na washikaji?

    Kuna maeneo za kwenda na familia, uwezi ukatoka na mke na watoto mkaenda kukaa Bar,ila washikaji popote mnaweka maaskani
  3. I

    Unyunyu wa 2022 "psiii psiii"

    Ni utuuli wenye harufu ya kizungu haukerii
  4. I

    Ombi kwa makampuni ya soda Tanzania: Tubadilishieni vifungashio, hali ni tete

    kuna Hatua zinafuatwa kabla soda haijajazwa kwenye chupa,punguza wasiwasi.
  5. I

    Unyunyu wa 2022 "psiii psiii"

    Creed Aventure Matata saaana
  6. I

    Tukutane hapa ambao tulijihisi tuna maambukizi ya Corona lakini tulijitibia nyumbani na sasa tumepona

    Kutafuna Tangawizi Mara kwa Mara Umeiwezaje inaitaji ujasiri saana
  7. I

    Jamani mnaokunywa kila siku ela mnaipata wapi

    Wanakwambia iga kutafuta na sio kutumia
  8. I

    Hata kama kitanda hakizai haramu.

    Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia walengwa haswa
  9. I

    Ni wakati sahihi wa kuanza kuishi kulingana na kipato changu

    Fanya investment hela izidi kujizalisha kuangalia 9digits bank peke yake tu haina maana kwako unawapa tu bank faida kuzungushia pesa yako
  10. I

    Makonda vs mpango tubet nani atatumbuliwa na mkuu siku za usoni

    Huyo mwenyewe nae kateuliwa hana jimbo lolote la kwenda
Back
Top Bottom