Search results

  1. CORAL

    Nalipiaje Poweramp Player Wakuu...?

    Tengeneza master card kwenye Vodacom Mpesa menu kipengele cha huduma za kifedha. Kisha ukimaliza weka pesa kwenye akaunti ya Mpesa. Baada ya hapo unaweza kuhamisha kiasi kinachohitajika kwenda kwenye kadi. Kisha lipia huduma unatihitaji.
  2. CORAL

    Nini chanzo cha sabufa kutoa sauti ya kukwaruza?

    Kuna uwezekano mkubwa kwamba kuna components zimelegea labda nati, screws, miguu ya cabinet nk. Kwa hiyo unapoigusa unasababisha vitu fulani kugusana ambapo havikutakiwa na hivyo kusababisha sauti ya mikwaruzo kwenye subwoofer. Kwa hiyo subwoofer inapaswa kukaguliwa na kukaza sehemu zilizolegea...
  3. CORAL

    Home theater inasumbua kupoteza twiter nakubakiza bass tu

    Sababu kubwa inaweza kuwa ni waya ambapo kama imekatika sauti ikiwa ndogo zinafanya kazi kwa kuwa vibration frequency ipo chini kwa hiyo connection inakuwepo bado lakini iukiongeza volume vibrations zinaongezeka na kufanya waya ziache connection.
  4. CORAL

    Nini chanzo cha sabufa kutoa sauti ya kukwaruza?

    SABABU ZA SUBWOOFERS KUTOA SAUTI YA KUKWARUZA Kuna sababu kadhaa zinazofanya subwoofer kutoa sauti ya kukwaruza. 1.Kulegea waya na vifaa vingine kama nati bolts nk. Inaweza kuwa sababu ya kukwaruza. Unahitaji wewe au fundi kukagua na kukaza sehemu zilizolegea. 2 Subwoofer kupokea power kidogo...
  5. CORAL

    Opera wameweka "Aria browser AI bot" kwenye opera browser kwa ajili ya chatting

    Watumiaji wa opera browser mnaarifiwa kuwa opera wameongeza Aria browser AI bot kwa ajili ya kuchat na wewe. Unauliza swali unapewa majibu. Ni kama ChatGPT lakini yenyewe haihitaji kulipiwa. Sijui kama ina uwezo kama ChatGPT labda muda utasema. Download update toka playstore halafu ukifungua...
  6. CORAL

    Sony na teknolojia ya S-Force Front Surround, Sound Pressure Horn

    Nimejitahidi kadri nilivyoweza. Thanks
  7. CORAL

    Sony na teknolojia ya S-Force Front Surround, Sound Pressure Horn

    Utazamaji wa filamu wa sasa sio kama ule wa zamani ambapo unasimuliwa matukio kwa kutumia picha zinazosonga (movie) na sauti kwenye mifumo ya stereo ukiwa umeketi sebuleni au kwenye ukumbi wa sinema bali sasa surround sound technology kujumlisha na video za 3D imewezesha mtu ‘kupelekwa kwenye...
  8. CORAL

    Natafuta ng’ombe wa maziwa pure breed

    Sioni chuga kwenye ramani ya Tanzania upo nchi gani?
  9. CORAL

    Nimemfuma mke wangu akicheza kwenye kigodoro. Nimeumia sana

    Tatizo lako ni kutatua hali ya kutoelewana kwa kutumia ngumi. Mnapaswa kukaa na kuzungumza sio kupigana. Na mazungumzo yafanyike muda muafaka sio wakati wote mna hasira. Kaa kimya hadi muda muafaka mzungumze. Jambo la pili huwezi kuomba na kupewa penzi wakati ni jana tu mmepigana hata vidonda...
  10. CORAL

    Mbwa azikwa kwa heshima zote za serikali nchini India

    Mbwa mmoja wa Polisi aitwaye Zanjeev amekuwa mbwa wa polisi nchini India kwa miaka mingi. Amewasaidia polisi kutatua kesi nyingi za jinai ambazo bila yeye wangeshindwa kuwatia hatiani wahalifu. Lakini tukio lililompa umaarufu mkubwa ni wakati magaidi toka Pakistan walipotega mabomu mjini...
  11. CORAL

    Shida katika Email

    Nenda settings-apps-email-force stop kisha rudi jaribu tena kufungua.
  12. CORAL

    Watu wengi siyo waaminifu wanapoazima vitu

    Mwingine anaazima chaja unaamua kuifuata mwenyewe halafu ukichomeka simu haipeleki tena 😌 . Unaingia mfukoni kununua nyingine unakuta huyo katuma mtoto kuazima chaja 🤗 Mmoja nilimwambia alete simu achajie kwangu akapotea mazima😃😄
  13. CORAL

    Wapenzi wa Muziki Mzuri: Home Theatre ya Sony vs Soundbar ya Hisense

    Utapata effects kupitia virtual surround. Hii ina maana kuna sauti utazisikia kutokea upande ambao hakuna spika. Soundbars zimetengenezwa zikiwa na uwezo wa kurusha sauti ukutani au darini (forward/upward firing)halafu inakufikia wewe ikitokea ukutani/darini . Kwa hiyo effects utazipata...
  14. CORAL

    Wapenzi wa Muziki Mzuri: Home Theatre ya Sony vs Soundbar ya Hisense

    Unaweza kufanya maamuzi kwa kuzingatia haya yafuatayo : Hiyo Sony ni ya kizamani ingawa ina real surround featues kwa kuwa ina 5.1 speaker configuration. Hiyo Hisense sound bar ingawa ni 2.1 channel ikimaanisha inategemea virtual surround na hivyo kuwa nyuma ya Sony upande wa movie lakini ina...
  15. CORAL

    Una experience gani mbaya au nzuri kuhusu kukaa kwa ndugu?

    Mtoto wao anamwaga sukari bila ya kukusudia Baba anamchapa kibao kisha ngonjera zinafutata. " Mgejua ninavyoteseka kutafuta hela, ninalala porini kwa ajili ya kuwahangikia nyinyi halafu mtu unaharibu vitu kirahisi tu? Mkianza kutafuta vya kwenu ndio mtajua shida tunazopata" Ukifikiria...
  16. CORAL

    VODACOM Tanzania wanaiba pesa kwenye line za simu

    Mimi laini ya Vodacom imebaki kwa ajili ya kupokea simu na sms. Siji kuweka tena salio na sasa nina miezi 6 kwa sababu ya huo wizi wao.
  17. CORAL

    Wapaka rangi kucha wanavyofaidi wanawake

    Ina maana kucha zipo hadi kwenye mapaja? Kazi yao ni kupaka rangi kucha sasa kwenye mapaja wanatafuta nini? 🤔
Back
Top Bottom