Search results

  1. M

    Waandishi wa Habari mtakuwa mmemsaliti Nape mkiwepo kesho wakiapishana

    Mkuu Nape ni Mbunge wa Mtama sio Mchinga. Swali; hivi waandishi wakigoma na wamiliki wakiwatuma wakaandike itakuwaje. Kimsingi tasnia hii inahitaji marekebisho makubwa ya kutambua nafasi yao. Kwa ufupi wana kazi ya kufanya kuepuka changamoto tuzionazo leo hii.
  2. M

    Updates: Wasanii Waitikia wito wa Makonda Kufika Polisi

    Acha ifanyike kwa uwazi kwa kuwa hawa wauza unga wana tabia ya kutangaza mafanikio yao hadharani na hatimaye kuwaathiri vijana kudhani maisha ni rahisirahisi
  3. M

    Muswada wa sheria ya madaktari waondolewa bungeni

    Wizara hii imepatwa. nilidhani wangejipanga kutumia muda kama huo kupeleka miswada ya kuboresha sekta upande wa huduma na wala sio miswada ya kutambuana kwa majina. Nawashauri warejee maoni ya wananchi kuhusu kulegalega kwa huduma za afya hapa nchini. kama anawaogopa wabunge watampa za uso kwa...
  4. M

    Hizi ni dalili kuwa Rais Magufuli ana mapungufu ya uongozi?

    Binadamu bwana! Haweshi maneno. Fungeni hakuli zenu. Jpm ana miaka mitano. Ndo kwanza ana siku 30 mshaanza vijineno. Afu pilipili usoila yakuwashiani? Hata asipofanya mtakavyo ndo tumemchagua ajenge barabara sio kukamata mafisadi. Kwani mamvi wenu hatopona
  5. M

    Hii ni kweli ya Magufuli au ni safisha UKAWA na visasi?

    Kalipie kontena lako usitafute huruma
  6. M

    Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Watu wengine bwana. Kazi kweli, eti mnamuombea ashindwe. Natabiri mtasubiri sana. Hizo ndo kanuni alizitumia alikopitana zikamletea tija. Kaeni na roho zenu mbaya. Aliyepewa kapewa,hata mkifanya chuki, bure mwajisumbua
  7. M

    Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

    Porojo za walioshindwa haziishi. Jipeni muda hamchoki kuramba matapishi? Jana sio leo, kajifunza kitu na leo ana sura tofauti
  8. M

    Kutoka Bungeni: Sugu ajibu tuhuma za kupora mtoto kutoka kwa mzazi mwenzake

    Nimeona wakati anatoa maelezo yake. Japo simuungi mkono kisiasa ila ni sahabiki wake kwenye game ya Hip Hop. Kiukweli imeniuma kushambuliwa kiasi kile na Martha (au alitumwa na akaingia kichwakichwa?) Faiza amekuwa si mstaarabu na yawezekana ana stress au depression akafikia hapo kuwa na vituko...
  9. M

    Kulikoni ITV hamuitangazi Startimes?

    Nimeangalia tangazo la ITV linaloelezea upatikanaji wake kwenye ving'amuzi mbalimbali na Satelite. Lakini nimestaajabu hawakuitaja Startimes. Najiuliza iwapo ni technical error au imekusudiwa? Je, kuna bifu au ndo kuchokana. Mwenye habari kamili atujuze
  10. M

    Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    Ni elimu tu ya mambo itakwambia unataka kusema nini hata kabla hujatamka. Hili si tatizo la kisiasa, wanasiasa kutaka kuvuna mtaji wa kisiasa ni kujichuuza wenyewe. Hapo mwenye mamlaka ndio atatoa jibu la manufaa au hasara. Wengineo watakupotezea muda
  11. M

    Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    Nina uhakika asilimia mia mbili. Jiulize tatizo ni nini. Kuondoa Traffic Officers barabarani amri inatolewa na Mbowe? Kusitisha mafunzo ya madereva, amri anatoa Mbowe?
  12. M

    Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    Maskini watz, shida kichwani unatibu mkono. Mbowe hata akizungumza nao hatotatua shida waliyonayo, mara ngapi wanasiasa wameishia kubeba popularity kwa ahadi zisizofanyiwa kazi na CCM? Napenda wachina na waisrael, Piga kwenye kiini cha tatizo na sio kuyumbayumba na vumbi
  13. M

    Taasisi tatu zinazolalamikiwa sana na watu

    Polisi na Mahakama ndio nambari 1 kisha hao wengine
  14. M

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Shukran sana Nilinusurika ajali kwa mwendo kasi kwenye kona. Nimemaizi umuhimu wa kuwa mvumilivu
  15. M

    Mwanasiasa anafadhili mgomo madereva wa mabasi

    Wangewahi darasani waje wawatoe nishai wasitaka kusoma. Tumechoka kuhudumiwa na watu wasiojuwa umuhimu wa taaluma yao, vifo na ulemavu ndio gharama za kuendeshwa na waendesha magari wasio na elimu
  16. M

    Muhongo anakubalika na watu jamani!

    Ptuu, humo nilimokoleza rangi ndio majibu ya thread yako. Kajipange upya. Mie hapa nipo gizani na ndio kawaida yetu huku Kigamboni kukosa umeme, sasa unataka na mie nikwambie kuwa kati ya watu wanaochukiwa na dunia ya Kigamboni ni Profesa Muongo? Teh teh teh teh, kumbe usipotembea unadani dunia...
  17. M

    Ushuru wa Magari

    Tusaidie kujua unakokotoaje mpaka kujua makisio hayo
  18. M

    Mwanafunzi auawa kikatili baada ya kubakwa, kuchinjwa shingo na kunyofolewa sehemu nyeti

    Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu. Familia yake wajaaliwe subira na wauwaji Mungu awalipe hapahapa duniani na siku ya mwisho wapate adhabu kali. Mwandishi Chachu Ombara umeweka picha zinazotaja jina lake, ulipoandika jina limehifadhiwa una maana gani?
  19. M

    Katika Ulimwengu huu - Haki za binadamu ni za wakristo pekee?

    Rejea Quran vizuri utapata jibu, hakuna la ajabu hapo. Wajibika kwa nafasi yako usitake huruma yao
Back
Top Bottom