Search results

  1. R

    Neema: Bonde la Eyasi Wembere Wilayani Iramba limeonesha dalili ya uwepo wa Mafuta

    mnamaanisha mafuta au ufuta?msifanye mchezo na mambo ya kitaalam-----kila kitu mnakitazama kwa macho ya kisiasa. Get the guys on board give them money and let them show you where oil is....siyo hizo braaa....braaaa
  2. R

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), Bi. Juliet Kairuki atenguliwa

    I don't agree with you, kuitana pamoja na michakato ndo imetufikisha tulipo, a new way of leadership is mandatory. huyu dada anakataa mshahara huo yet anaendelea kufanya kazi....inamaana hana mkataba. elements za mkataba ni tatu 1. offer 2. acceptace 3. consideration kama kimoja kikosa hakuna...
  3. R

    Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    furaha yangu ni kuona lugha za michakato, nk zinatoweka......kama tukianza kuzungumza...nimetekeleza kwa asilimia flani nategemea kukamilisha asilimia fulani ndani ya muda flani hizo ndo speech ninazotaka...sio usanii wa kutumia lugha hatwendi popote. Magufuli naye ajue kila neno analosema lina...
  4. R

    Magufuli hatambuliki E.A.C?

    Kusherekea ama kukaa kimya has nothing to do with the fate of Tanzanians...ungekuwa mzalendo ungeungana na watanzania wengine kusherekea kuapishwa kwa rais Magufuli siyo kukaa humu una bwabwaja....maana hakuna namna ni kumpa ushirikiano...by the way nasikia marais 8 watahudhuria malofa wamesusia
  5. R

    Haya yanaweza kuwa mapungufu makubwa ya Rais wa awamu ya 5

    Magufuli hata hivo amejitahidi...kumbuka alisisitiza tangu day one ya kampeni kuwa atakuwa rais wa wote. Sijasikia wapi aliwagawa wananchi....mbona ndugu yetu alisema wamchague yeye kwa kuwa ni Mrutheli? na hiyo ndo blow iliyompata hata sahau.
  6. R

    Kwa hili tukio la leo, ITV wasiachwe hivi hivi, wachukuliwe hatua za kisheria

    Tena kuna huyu dogo anaitwa Spencer Lameck....nahisi alikuwa akilipwa na mgombea flani
  7. R

    Polisi wavamia Tallying Center ya UKAWA na kuizima

    Hayawani ni nani? au ni nini?
  8. R

    Polisi wavamia Tallying Center ya UKAWA na kuizima

    vituo vya vyama kuhesabu na kutangaza kura ni chanzo cha vurugu...sheria lazima izingatiwe.
  9. R

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    SI WANAJIITA WA..PU...MBA...VU ni kweli hawawezi kufikiria....mtu anaongea dakika 3 shida ipo wapi?nachojua atakuwa ali-stack mdomo kama kawaida yake....by the way namuombea sana awe na afya njema
  10. R

    Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

    ninapinga utabili wa tb Joshua .....kama Lowa akiwa mkulu nahama jamvi
  11. R

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Geita - Septemba 23, 2015

    Onyelile bhebhe ng'wenekele. #Henaha Milimo duhu
  12. R

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Geita - Septemba 23, 2015

    hahahaha....tusubirie tusikimbie majibu jama
  13. R

    UKAWA waongea na Waandishi wa Habari kuhusu Utafiti wa TWAWEZA

    Niliisha jizuia kumsikiliza MBA-TEAR maana kwa kuwa credibility yake ipo chini sana baada ya kuhusishwa na tuhuma za kuriwa.....
  14. R

    Picha: Magufuli atinga jikoni kusonga ugali

    hahahha....siwezi siasa.....kama mtu hawezi kujali afya yake kisa ikulu
  15. R

    Ama kweli Lowassa amekwaa kisiki hatari!

    mi mtawaliwa yeyote atakaye pita ruksa kula PAYE yangu... ONYO; PAYE yangu isitumike kwa ajili ya matibabu
  16. R

    Wanachama bandia Wakamatwa wakielekea Makao Makuu ya CHADEMA; Waandishi wa UHURU na STAR TV wapigwa!

    Chadema bwana....mwandishi wa habari akiwa kazini hata vitani huwa haguswi...ila kwa chadema ni tofauti, kwani hamjui nafasi ya waandishi wa habari?kama alikuwa kazini kama isomavyo post, mmemkosea sana... Hivi UKAWA-CHADEMA ni dhambi kuwa na mtazamao tofauti na uka express? Naanza kuona maisha...
  17. R

    Lowassa awadhihaki Watanzania eti TANU na CCM havijawasaidia

    Lowassa, Seif, Mbowe, Mbatia, Lissu, Mnyika et al. wamenifanya nichukie siasa. mwanangu Marufku kufanya siasa. Ni ubatili mtupu, asante Dr Slaa na Prof Lipumba......hapa ndipo shule na upu...mbavu vinadhihirika na kamwe haviwezi kukaa pamoja.....wapo watakao sema ...oooh wamehongwa blah...
Back
Top Bottom