Search results

  1. Ngwanakilala

    Kuhakiki taarifa za mpiga kura kwa kutumia simu yako ukiwa nyumbani bila kwenda mahali popote

    Fuata Hatua Zifuatazo Kuhakiki Taarifa za Mpiga Kura Kwa Kutumia Simu Yako Ukiwa Nyumbani Bila Kwenda Mahali Popote. Ni vyema kila mtu ahakiki na mwezi wa kumi aende kupiga kura ili kuamua mustakabali wa nchi yetu na future yetu sisi na watoto wetu Chagua namba 9 Chagua namba moja Weka...
  2. Ngwanakilala

    Uchambuzi na Majibu: Kitabu cha Mkapa my life my Purpose by Padre Privatus Karugendo

    KITABU CHA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU BENJAMIN WILLIAM MKAPA. Nimefurahi sana kumaliza kukisoma kitabu cha Mheshimiwa Rais wa awamu ya tatu ya uongozi wa Taifa letu la Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa: My Life, My Purpose; A Tanzanian President Remembers. Nilitamani sana kukisoma kitabu...
  3. Ngwanakilala

    Augustine Mahiga: Mwanadiplomasi anayeheshimiwa kuliko wote Tanzania

    Daaah Nchi imepoteza rasilimali watu kubwa sana Huyu bwana alitakiwa aandike vitabu vingi kuhusu diplomasia na ushirikiano wa kimataifa
  4. Ngwanakilala

    Kwa wale tuliowahi kwenda kwa waganga wa kienyeji, tukutane hapa

    Huyu jamaa anaandaa mazingira ya kuwaibia watu kwakujidai anajua waganga wazuri you have been warned
  5. Ngwanakilala

    Nilivyoaribu maisha ya rafiki yangu kwa nguvu za giza

    Huyu jamaa anaandaa mazingira ya kuwaibia watu kwakujidai anajua waganga wazuri wakati mganga ni yeye mwenyewe ana ID fake kibao humu JF you have been warned
  6. Ngwanakilala

    Fredrick Mchauru - Mtanzania wa kwanza kupata scholarship atimiza miaka 100. Alikuwa Katibu Mkuu katika Serikali ya Awamu ya Kwanza ya Tanganyika

    Lawi Nangwanda Sijaona Huyu naona alisoma na mzee Mchauru na walifanya kazi pamoja based na hii historia hapa Lawi Sijaona was born in 1928 at Mnima in Newala district in the far south-east near the Mozambique border. Educated at St Andrews College, Minaki to Senior Cambridge Overseas...
Back
Top Bottom