Siku zote mnalaumu vijana tu, we umeona kabisa serikali imejidhatiti kabisa kwenye suala la technology ila vijana wanazingua!?
Haya tuje kwenye mfano mdogo tu uliotoa kuhusu anuani za makazi, haya niambie hizo anuani za makazi zitamsaidia nini kijana anayetengeneza software!? Tulitegemea...
May kama kuna watu wamewalenga lakini VPN haizuiliki, wamewashindwa watu "Tuma namba hii jinalitatokee....." ndo sembuse watu wa VPN na hizi dynamic IP? [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂 Sina uhakika japo nakumbuka kuna mama mmoja nilikuwa nakula free na kupiga shoo tu, nakumbuka nilimpaga ada ya shule nikasingizia kwa baba nimeibiwa🤣🤣🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.