Search results

  1. M

    La kwenda Dar Arusha ndio kwanza limeningia nchini

    Ndugu zanguni ninaomba kama kuna mtu anayejua basi lenye choo ndani la kutoka Dar to Arusha anijulishe. Nina shida
  2. M

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    Jamaa anajipa hope wakati ccm inaharisha sasa.
  3. M

    Mwakilishi SSRA apewa vidonge ndani Geita Goldmine Ltd

    Nsa ipo siku wabunge wanaoitikia kila jambo hata kama ni baya, watakula kibano toka kwa wananchi. Saa imefika vijana kuitengeneza TZ.
  4. M

    Mwakilishi SSRA apewa vidonge ndani Geita Goldmine Ltd

    Aende na Resolute -Nzega akapigwe makombora aione kazi yake chungu. Wasichezee kabisa maslahi ya watu, Watu wamechoka kuburuzwa kama vilaza.
  5. M

    Mwakilishi SSRA apewa vidonge ndani Geita Goldmine Ltd

    Hao jamaa SSRA niwakupigwa mawe popote pale. Ili wajue wameudhi wafanyakazi. Pia waliojadili hili suala na kulipitisha Bungeni nao waandae majibu.
  6. M

    Dk. Slaa akamata nyaraka ya siri ya serikali

    Sheba ukweli unauma, usipindishe ukweli hapa, hakuna mtu mjinga humu
  7. M

    Waraka mwingine wa Mwigamba kwa Rais JK

    Kupanda kwa bei ya Umeme wa Tanesco, ndio mema ambayo tumendewa na Serikali hii ya CCM. Hivi kweli tunahitaji kusoma Phd ndio tujue au tuelewe kuwa Nchi hii imefikishwa mahali pabaya? Umeme leo umepanda, Mafuta nayo ndio usiseme, Elimu ndio hio wanafunzi wanafukuzwa wakati wakidai haki zao za...
  8. M

    Waraka mwingine wa Mwigamba kwa Rais JK

    Kupanda kwa bei ya Umeme wa Tanesco, ndio mema ambayo tumendewa na Serikali hii ya CCM. Hivi kweli tunahitaji kusoma Phd ndio tujue au tuelewe kuwa Nchi hii imefikishwa mahali pabaya? Umeme leo umepanda, Mafuta nayo ndio usiseme, Elimu ndio hio wanafunzi wanafukuzwa wakati wakidai haki zao za...
  9. M

    Ufaulu wa darasa la saba wapanda kwa asilimia 4.76%

    Jamani Nani anaweza nitumia matokeo ya darasa ka saba humu, msaada plse
  10. M

    LHRC yaitisha Maandamano nchi nzima kupinga malipo ya DOWANS

    Polisi wa TZ walivyokuwa wa ajabu, siku ya maandamano wakiambiwa na wakulu wao piga mabomu wananchi, watapiga. Utafilkiri wao hawana shida. Wakati wanaishi kwenye majumba yaliyoooza tena ya mabati.
  11. M

    Igunga: Jinsi wakala wa CHADEMA alivyouliwa...

    Leo hii wamehamia kwa Mwakyembe, kweli CCM nomaaaa, kuuua kwao halali tuu.
  12. M

    Igunga: Jinsi wakala wa CHADEMA alivyouliwa...

    Polisi wa Tanzania, inawezekana hawajui wajibu wao. Inakuaje hata kwenye uchaguzi wanaaamriwa na viongozi wa Chama Tawala wapige wapiga kura Mabomu kisa ni wa Upinzani? Hivi Polisi ya Tanzania niya Chama Tawala? au Niya serikali pamoja na Wananchi wote wa Tanzania?
  13. M

    Igunga: Jinsi wakala wa CHADEMA alivyouliwa...

    Ndugu zangu na Watanzania wenzangu, Tanzania sio Nchi yenye Amani hata Kidogo. Wanaosema Tanzania ni Kisiwa cha Amani niwanafiki tena wanafiki mbele za Mwenyezi Mungu. Tanzania imekuwa ikishutumiwa sana kwa mambo mabaya tena machafu yanayomchukiza Mwenyezi Mungu ikiwa pamoja na Wananchi wake...
  14. M

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Nchi hutafunwa na wenye Meno, Safari nyingi, zinagharimu pesa Nyingi pia, tena hizo pesa ni zetu sisi walalahoi na wavuja jasho. Tanzania ni nchi Masikini sana, kama kweli hizo safari zingepunguzwa jamanii, hizo pesa sizingesaidia hata kununulia Madawa mahospitalini au Vitabu mashuleni?
Back
Top Bottom