Search results

  1. M

    Udom, udom, udom. Hivi hii ni kweli?

    Binafsi mengine yote nayapinga ila nina uhakika 100% kwamba baadhi ya courses hazina field practicals hasa social sciences na humanities. Elimu ya tz kwa ujumla ni feki tu, uwe ud au popote
  2. M

    Reshuffles UDOM zinatisha

    Mamkwe inaonekana una hasira na huyo mkereketwa kupindukia. Lakini Mkereketwa ana mapoint not 2b ignored kam hili la Aziza ambae sasa ni janga la udom kwa upande wetu sisi wanafunzi wa social. Tunalalmika kila uchao lakini hakuna mabadiliko. udom inahitaji kuangaliwa upya
  3. M

    Naomba ufafanuzi wa neno the board has appelate powers

    Wana JF hasa wale wenye utaalamu wa sheria, naomba msaada wenu wa neno tajwa hapo juu yaani tafsiri sahihi au maana ya neno APPELATE POWERS ni nini? Asanteni sana
  4. M

    Ufisadi UDOM..

    Mdogo wangu alimaliza hapo UDOM mwaka jana, nae hadi sasa hivi hajrudishiwa elfu 20. Unaweza kuona uhusiano uliopo kati ya vitu hivi viwili vifuatavyo; 1. Elfu 20 ya joho ya waliomaliza 2010 hadi sasa haijarudishwa kwa wahusika (Mwenye makosa UDOM au hazina haijatoa pesa?) 2. Wahadhiri wao...
  5. M

    Wahadhiri udom waendelea kulalama na maisha ya kunyanyaswa.....

    Kwa taarifa tunazopewa na wahusika, kale kajamaa (Mlacha) kana nguvu sana kwa sababu ni rafiki wa karibu na JK. Hata Kikula anamgwaya, Kinabo ndio kabisaaa. Tusubiri tuone mwisho wake
  6. M

    Kusoma mastaz

    Akasome International Relations (IR) labda itamsaidia
  7. M

    CHADEMA msihuzunike kwa matokeo ya Igunga

    Uchaguzi umemalizika Igunga na matokeo ndio hayo. Mimi nashauri CDM ijiandae kwa ajili ya 2015. Naamini Igunga itakuwa kama ilivyokuwa Biharamulo. Maandalizi pia yafanyike kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwani ni sehemu muhimu ya kuelekea 2015. Nawasilisha wana jf.
  8. M

    Sad story of varsity student who failed to secure loan

    Kwa mujibu wa HESLB, wanafunzi takriban elfu 37 (37,000) wanastahili kupata mkopo mwaka huu. Bodi ina uwezo wa kuwalipia wanafunzi takriban elfu 24 (24,000). Wengine wote waliobaki, yaani 37,000-24,000=13,000 hawatapata. Hakika huu ni utani. Kwa taarifa ambazo sijathibitisha, Mke wa RIDHIWANI...
  9. M

    Serikali yatangaza kiama kwa wapenda migomo vyuoni

    Wanaofanya siasa vyuoni ni wana CCM. Chunguzeni mtaona. Wao ndio waache na wengine bila shaka wataacha tu.
  10. M

    Prof. KIKULA atoa mpya

    Huyu KIKULA ameshajioneesha wazi kuwa anapendelea Waislamu. Naamini anachokizungumza hawezi kuthibitisha. Mf alipoongea na kamati ya Bunge huduma za jamii, alisema eti wanafunzi walikua wanawapiga wanafunzi wa KIISLAMu, pia eti migomo hii inachochewa na wanasiasa wa upinzani. Hakika huyu mzee...
  11. M

    Maskini Rostam!

    RA analazimika kwenda huko kwa manufaa ya maisha yake na kibiashara pia. CCM nao wanafiki wa kutupwa. Iweje wamvue gamba halafu wanamtumia tena.
  12. M

    Ajali ya Meli: "Taifa Msibani, Umoja wetu na Utu wetu shakani!" - Zitto Kabwe

    TBC na VODACOM wanastahili adhabu. Pia ni wakati muafaka serikali kujifunza kuwa makini. Kuna mabo mengi yanatokea
  13. M

    PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

    Asanteni sana wananchi wa ars pamoja na viongozi wetu wa chadema. Asante kwa alieweka picha maana binafsi sikubahatika kuona hata kwenye tv. People's power, mapambano yanaendelea, ccm mtajiju.
  14. M

    PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

    Asanteni sana wananchi wa ars pamoja na viongozi wetu wa chadema. Asante kwa aliyeweka picha maana binafsi sikubahatika kuona hata kwenye tv. People's power, mapambano yanaendelea, CCM mtajiju.
  15. M

    Wauza mafuta: Wameshinikizwa na CHADEMA?

    Tumezoea kusikia wanasiasa wa chama tawala CCM wakishutumu chama cha Demokrasia na Maendeleo CDM kuwa ndicho kinachochea migomo vyuo vikuu. Naomba kuuliza, hawa wauza mafuta waliogoma nao wameshinikizwa na chadema? Ningependa sana wana CCM wenzangu mnijibu. Nawasilisha
  16. M

    Mtatiro Julius apata ajali mbaya Morogoro

    poleni wote kwa ajali. Naamini Allah amewanusuru na ajali mbaya. Poleni tena na muendelee na mapambano
  17. M

    Jengo la Mahakama ya Rufaa Kubomolewa kupisha Upanuzi wa Hoteli ya Hyatt Regency – Kilimanjaro

    Wana jf, Inaonekana ukiwa mwekezaji serikali inakujali sana kwani utaruhusiwa kubomoa hata majengo ya kihistoria ilimradi unawekeza. Natoa pendekezo la kuuza mbuga za wanyama na madini yote ili tupate mtaji, tugawane, kila m1 apate chake tuende sudan kusini kuwezekeza sababu ina fursa nyingi...
  18. M

    Jengo la Mahakama ya Rufaa Kubomolewa kupisha Upanuzi wa Hoteli ya Hyatt Regency – Kilimanjaro

    Naipa heko kubwa serikali kwa kuwajali wawekezaji. Nawasihi waendelee kubomoa na mengine na waendelee kuruhusu jamaa hawa kubadili umiliki wa kampuni (mf Airtel nk) wakishachota faida. Nafikiri kwa njia hii serikali itakuwa imetimiza kauli mbiu yake ya siku zote eti "Serikali sikivu kwa Wananchi"
  19. M

    Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi

    nawatakia kila laheri makamanda wote. Mapambano yanendelea. Kwanza nina hasira sana, mgao mkali sana
  20. M

    UDOM kutovumilia ufuasi wa vyama vya siasa - Prof. Kikula

    Kama ni siasa UDOM, mhusika namba moja ni CCM. Hili ni rahisi sana kuthibitisha wakati wa uchaguzi wa wanafunzi. Utaona jinsi ccm inavyomwaga pesa. Kuna tetesi kwamba ilitumia m 50 kuhakikisha makada wanapita bila mafanikio. Hawa wanawawinda tu vijana wa CDM. Kumbukeni wale wakuu wa wilaya...
Back
Top Bottom