Search results

  1. RICHEST

    Balozi wa Libya Tanzania akaidi kushusha bendera ya NTC!

    Purely double standard.Kwa nini Tanzania inaitambua Serikali ya Somalia.Wakati vigezo vyote vilivyotajwa hapo juu haifikii.Waziri Membe Kachemka.Membe atofautishe Freedom fighters na rebels.Wale ni wapigania uhuru kuwaita rebels ndio kunamfanya membe achanganyikiwe.Nilimsikiliza naona kwenye...
  2. RICHEST

    Makampuni kuchangia vyama vya siasa ruksa

    Ni kweli hayapigi kura lakini ndiyo yamebeba hatima ya maisha ya wapiga kura baada ya chaguzi kwa kupitia ajira na kodi kama nilivyosema.Wananchi wakitaka barabara utajengea nini? kodi na kodi kubwa si zile ndogo.Kampuni ndio zina hizo hela za kodi.Ndio maana marekani na usomi wao wanasiasa...
  3. RICHEST

    Makampuni kuchangia vyama vya siasa ruksa

    Makampuni marekani ndio mwajiri mkubwa wa raia wa marekani usipoongea naye na usipolinda maslahi yake unadhani marekani itaishi? Tanzania walipa kodi wakubwa ni makampuni sio raia wapiga kura sasa serikali isipoangalia maslahi ya makampuni na kuyalinda hizo kodi kubwa za kutengeneza barabara na...
  4. RICHEST

    Makampuni kuchangia vyama vya siasa ruksa

    Kampuni yoyote katika nchi yoyote ni corporate citizen yenye haki kama raia yoyote. Yana uhuru wa kuchangia michango chama chochote inachoona kitasimamia maslahi yake kikiingia madarakani. Kwa Tanzania CCM ni chama ambacho kwa ufahamu wangu ndicho kinajali na kuwasikiliza Corporate Citizen...
  5. RICHEST

    Njia ya kuendesha nchi bila kodi hii hapa

    Nakubaliana na wewe kuwa Nyerere ilibidi aweke misingi kuanzia mwanzoni lakini naamini Uongozi wa nchi ni kama mbio za kukimbizana vijiti anayepokea inabidi aanzie mwenzie alipoishia na kutimua mbio zaidi ikiwezekana kuliko aliyetangulia.Nyerere alianzisha wengine walitakiwa waendeleze...
  6. RICHEST

    Njia ya kuendesha nchi bila kodi hii hapa

    Kuna watu wengi wanaamini nchi ili iende unahitaji utoze kodi.Si kweli.Korea ya Kaskazini inaenendeshwa bila kodi kwa miaka mingi sasa .Na ni marufuku kulipa kodi ya mapato korea.Wanachofanya wao wanaamini serikali haziwezi kuendesha nchi kwa kujiamini kama haina vitega uchumi vyake vya maana...
  7. RICHEST

    Kwanini watanzania wengi hawakai karibu na mito?

    Kwa viwango vya usafi vya India na wahindi ni misafi ila kwa viwango vya usafi vya Tanzania Na dunia sijui.Kwani Tanzania ni ya ngapi kwa usafi duniani? Kwa viwango vya dunia?
  8. RICHEST

    Kwanini watanzania wengi hawakai karibu na mito?

    It is better to poor in thinking than being poor in answering questions properly because you can land in jail one day.
  9. RICHEST

    Kwanini watanzania wengi hawakai karibu na mito?

    Maji tunaambiwa ni uhai. Ukikaa mbali nayo hutaki uhai. Nimetembea sehemu nyingi Tanzania unakuta mito inatiririka maporini ikiwa yatima bila watu karibu wakiwa wanakaa mbali na mito wengine kilomita hata 10 au zaidi toka mto ulipo. Halafu kitu cha ajabu unakuta wanatuma wabunge wakaombe...
  10. RICHEST

    Njia ya dini kuongeza mauzo ya bidhaa nje hii hapa

    Kwa nini wasijaribu kwanza kuwaona viongozi wenzao wa dini.Waone kama watakubali au watakataa.Sisemi wakamwone OBAMA wala wala kiongozi wa kiserikali nataka watumie ushawioshi wa kidini ku-win soko.Mbona kawaida vitu hivi.Hata Mabenki yanatumia (Islamic Banking) kuuza product zao kidini.hATA...
  11. RICHEST

    Watanzania wengi ni wamebobea uchumi lala (sleeping economics)

    Walijenga kwa pesa zao halali.Kama waliiba serikali ilipotaifisha mbona iliamua kuwalipa fidia ya kuzichukua? Au wewe kutaifisha unafikiri serikali ilichukua bure na kuwatimua? Au wewe una ushahidi kuwa kuna wamiliki wa hizo nyumba waliwahi pelekwa mahakamani kwa wizi wa pesa walizojengea hizo...
  12. RICHEST

    Watanzania wengi ni wamebobea uchumi lala (sleeping economics)

    Kwani hizo nyumba za NHC Wanazokaa nani alijenga? kama hujui ni wahindi walijenga serikali ikataifisha na sasa wamerudi kukaa tatitzo liko wapi? Ungeuliza waswahili wanaokaa NHC ndio wakajenge zao.Wahindi hayo maghorofa ya NHC kariakoo,upanga, katikati ya mji kalitafute lilojengwa na Mswahili...
  13. RICHEST

    Njia ya dini kuongeza mauzo ya bidhaa nje hii hapa

    Inafanya kazi.Mfano ukiwa na kiwanda cha kusindika nyama Tanzania usahau kupeleka hizo nyama kama hazijachinjwa kiislamu( halal food).Hivyo muislamu anaweza market vizuri kuliko mfanyabiashara ambaye si muislamu. Kuhusu Katiba hakuna katiba duniani iwe ya ulaya au marekani inayoagiza kuwa...
  14. RICHEST

    Watanzania wengi ni wamebobea uchumi lala (sleeping economics)

    Watanzania wanapenda sana kulala.Ukigombana naye tu atakuambia usinibabaishe nina kwangu (kwa kulala). Kuna wimbo wa zamani niliimba shule unasema "Wazee wa zamani walilala mapangoni katika nchi Tanzania" Walipenda sana kulala.Baadaye inasemekana wazee walikuwa wanalalia pesa. Leo hii miaka...
  15. RICHEST

    Njia ya dini kuongeza mauzo ya bidhaa nje hii hapa

    Tanzania ina dini kubwa nyingi ambazo makao yao makuu yako Asia,Ulaya na Marekani ambako kuna matajiri wakubwa ambao wamekuwa wakileta misaada kila mwaka nchini.Lakini misaada hii imekuwa katika vitu vidogo ambavyo havisaidii sana kuondoa umaskini wa mtu mmoja mmoja.<BR><BR>Njia moja nzuri ya...
  16. RICHEST

    Executive Solutions ndiyo inahusishwa na sakata la Jairo? - Marealle akanusha!

    mmh hata mimi nilitaka niandike kitu fulani lakini mmh najua itawekwa kapuni jamii forum ngoja nitaipeleka mahali wao wasubiri official report ya hiyo kamati teule halafu mbele kwa mbele kitaeleweka.
  17. RICHEST

    Marubani Watanzania Waliotoka Shuleni Waandaa maandamano.

    Kusoma fani yoyote ni ku-invest in yourself.Hivyo kabla ya kukopa ili usome chochote (u-invest in youself) ni vizuri kufanya feasibility study kama hicho usomacho mwisho wa siku una uhakika kitalipa.Hata kama utasomeshwa bure studies muhimu maana waweza poteza miaka mingi kusomea...
  18. RICHEST

    Tanzania iivamie somalia haraka

    Maharamia wa kisomali wamesababisha gharama za maisha Tanzania kupanda sana sababu gharama za kusafirisha mizigo kwa meli kuja bandari ya Dar es salaam zimepanda sababu ya wenye meli kuongeza gharama za bima na ulinzi wa meli zijazo za mafuta na mizigo zijazo bandari ya Dar es salaam gharama...
  19. RICHEST

    Hati miliki ardhi Tanzania za kitapeli kabisa zinaleta umaskini

    Hebu ona unapewa hati miliki ya ardhi ambayo inatambua kitu kilicho juu ya ardhi mfano jengo na mazao na maendelezo uliyofanya juu ya ardhi.Umiliki huu umetia umaskini watanzania. Hati miliki bora ya ardhi ni ile ambayo ingekuwa inatambua unamiliki ardhi ikiwa na maana unamiliki kila kitu...
  20. RICHEST

    Wahindi waajiriwe serikalini na wapewe uwaziri

    Nilikuwa naangalia documentary TBC siku moja wakionyesha harakati za uhuru wa Tanganyika wahindi na masingasinga walikuwa msitari wa mbele hata walikuwa wakijitokeza kwa wingi mikutano ya nyerere na kwenye sherehe za kitaifa kwenye viwanja. Na wengi waliajiriwa serikalini, majeshini na mashirika...
Back
Top Bottom