Search results

  1. M

    Natamani kurudi home

    Rudi home mkuu 2nakukaribisha sana2, ila usisahau mafuta ya taa,na tochi kubwa,kuna giza mkuu huku,rudi hm mkuu uone nchi ilivyo.
  2. M

    Wakristo na waislam tupendane

    Asante sana mkuu kwa hi mada coz c waislamu wote 2nawaita wakristu makafiri mi binafsi sipendi kabisa kumwita m2 hivyo,coz km kumtafuta Mungu wote 2namwomba Mungu m1 ila njia za kuomba ndo tofauti, waislamu na wakristu 2pendane jamani,tofauti za kidini zisitujengee chuki baina yetu ila dini ndo...
  3. M

    Heart broken again

    Dah! Pole sana masaki bt amini yote yanapita2 utasahau na utapata m2 atakayekupnda kiukweli na hatokuumiza kamwe! Pole sana Mungu akusaidie pia.
  4. M

    Udomasa(udom),yatoa msimamo wake juu ya migomo inayoendelea chuoni hapa

    Yac wasomi wanazungumza mambo ya msingi,nawapongeza sana kwa hilo wawasaidie vijana warudi fasta kwny buku coz wanachodai ni haki yao.
  5. M

    Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    Ni kweli mkuu namba ya cm nimesaidiwa2 kujiunga! Vp nataka nibadilishe vp inawezekana nisaidie mkuu!
  6. M

    Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    Yani hela wanazo yeye na mapacha wanzake ndo anamaanisha hvyo!
  7. M

    Maalim Seif: CHADEMA wako sahihi kwenye suala la posho

    Safi maalim Seif nakupongeza kwa hilo ila kukubali kuungana na cc...dah mzee ulipotea!
  8. M

    Jenerali Ulimwengu amfananisha Pinda na mbwa wa PAVLOV

    Asante ulimwengu natamani kama ningekuwa na Mzee pinda hapa 2some wote hi makala alf nimwulize amejifunza nn?
  9. M

    Mrema awaponda CHADEMA live Bungeni

    Licha ya kunywa kikombe kwa mzee mwasapile lakn fikra za mrema bado finyu2! Wadau huyu mzee ndo bac tena hana jipya.
  10. M

    Tido Mhando aula Al Jazeeera

    Achana na masuala kidini bwana yani dic time we bado una fikiria udini2 kwani watangazaji wote wa Aljazeera ni waislamu?au wote ni waarabu?embu tujitahidi kuepuka kuzungumzia haya masuala ya udini.
  11. M

    Tido Mhando aula Al Jazeeera

    Dah! Hongera zake bwana braza kazi anaiweza namkubali sana braza tido
  12. M

    Salaam kwa watani Simba Sc kutoka kwa vijana wa Jangwani Yanga africa

    Kwa ujumla Tz soka halina mipango soka letu bora liende2! Cc ni wa hapahapa kwny soka!
  13. M

    Ianzishwe vita- Rage.na mimi namuunga mkono

    Kama vp naye ajivue gamba2 tatizo rage maneno mengi alf hakuna ki2 apunguze usanii bwana! Aya akate rufaa tena!
Back
Top Bottom