Search results

  1. MaVa

    Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

    Hii ni kweli naikubali....maana mii mwenyewe nna ndevu...na niko km ivi ulivosema hapa.....
  2. MaVa

    Teddy Kalonga TK apata mtoto wa kike

    Hongera Teddy... Mii nakupendagaa
  3. MaVa

    Muigizaji/Mchekeshaji Maarufu Nchini Nigeria Afariki Dunia

    RIP.. Nilikuwa nampenda sana huyu baba!
  4. MaVa

    I think i'm in love ila sijui nifanyeje?

    ...yeye mwenyewe atakuwa kishaona hii post na atajua la kufanya...
  5. MaVa

    Joyce Kiria ajifungua Baby Boy

    Hongera kaka. Lincon amekua sana... km mtoto wa miezi mi4 vile! Na umetoa copy kbs! Hapo Joyce hajachakachua kabs!
  6. MaVa

    I am Dating Older Women

    Eeh Mungu, Utarudi lini jamani kutuhukumu? Dunia kushnehiii tayari! Bado wewe tu tunakungoja!
  7. MaVa

    Mustafa hasanali

    Ni kweli kaanza kuneneoa tena!
  8. MaVa

    hhaha!! Lady Gaga kuanzisha kanisa..sio kichekesho jamani...

    ...Hizi ni kazi za ki-freemason...!
  9. MaVa

    Kukuweka mkono kwenye nyeti

    Nilidhani unataka kuzungumzia wale wanaoshikaga hapo kwa dudu kama vile wasanii wa ubongo wa fleva! Ila hii sijawahi kuisikia kbs! Kweli ukistaajabu ya Musa....!
  10. MaVa

    nasuuuutwa na roho.....

    Acha kabisa kuzini... Umeshaisikia sauti ya roho akikusihi uache dhambi ya kuzini, basi na uifuate...! Be Blessed broda...
  11. MaVa

    Msaada huyu dada wajameni

    Ila kuna watu wengine wanajitafutiaga matatizo wenyewe! Mimba ya kwanza umeona umeambiwa uitoe... asa kwanini ajipeleke tena? afu kavikavu sasa! Kwa mtu mwingine...angeshtuka mapema baada ya kuona kilichotokea mara ya kwanza...au angeachana nae...au angekuwa na msimamo kuwa hakuna kufanya...
  12. MaVa

    Bonge wa clouds!!!

    ....hata mbuyu ulianza km mchicha... ...mbea haulizwi.... Wasioipenda clouds wana lao jambo... Inalenga wote, wakubwa, wadogo, vijana, wanasiasa/wanadiplomasia, wenye matatizo mbalimbali... Usipopenda kusikiliza kipindi flani basi utapata tu kunachokufaa kusikiliza... Clouds fm.....radio ya...
  13. MaVa

    "Natoa"

    Sorry kwa comment ya kwanza... i wanted to reply with this quote sio ile ya Zumbemkuu
  14. MaVa

    "Natoa"

    Kweli mwaya.... usi-judge kitabu through cover lakeee...!
  15. MaVa

    Usimfananishe mkeo na milupo pls

    U re right Pdidy... Thanx much
  16. MaVa

    Utii wa mwanamke ni dawa tosha ya nguvu za kiume

    Inawezekana kuna ukweli flani ndani yake... Ndoa nyingi ambazo wanawake wanawatii waume zao hudumu... tofauti na ndoa ambazo kila mtu anataka kuwa juu ya mwenzie! Mwanaume anapenda kusikilizwa na kujiona yeye siku zote ndio muamuzi, yeye siku zote hana kosa, yeye siku zote ni wa kuombwa msamaha...
  17. MaVa

    Naombeni msaada wenu wanaJF wenzangu

    Kwakweli km kweli unamfahamu huyo dada hana tabia inayofurahisha, mwambie tu huyo sugarbanana wako kuwa hutaki awe na mazoea na huyo dada...km kweli anakupenda na mnasikilizana atakuelewa na mambo yataisha!
  18. MaVa

    20% apata ajali KIGOMAA

    Bora tu 20 per kapona....maana nyimbo zake ni maujumbe tu!
Back
Top Bottom