Search results

  1. Buganzi

    Hivi mtaji wa 30,000/= unaweza kufanyia biashara ipi?

    Ushawahi wazia Kahawa. Mtaji wa mbuni ni 1600 ki pakti. Jana nilibahatika kukaa kijiwe cha kahawa jirani na Mwanza food. Alikuja askari mtaafu ana utani uliokithiri ila niliambiwa amelewa. Kwa utani wake nilipenda sana ika bidi nimwongeze kilaji nikalipia 2000 nikamwambia akachukue alichopenda...
  2. Buganzi

    Hivi mtaji wa 30,000/= unaweza kufanyia biashara ipi?

    Mbona hakuna utani wowote ndugu?? Ameambiwa mahindi ya kuchoma. Mhindi mmoja unauzwa 200 -300 mbichi anauza 1000 hapo kuanzia mwenge kuja Mbezi bei ni moja. Akichoma mhindi mmoja anakata vipande 4 kwa 300ni 1200. Toa mtaji wa hindi moja 250=950 faida mara mahindi 30=faida tu 46,500 only to...
  3. Buganzi

    Biashara ya kuku wa kuchoma vs Biashara ya kuku wa kukaanga

    Supply follows demand mzee. Ukiona una supply kitu hakiko in demand ni sawa na Kupeleka Kambi ya jeshi Kanisani wakiwa full beto. Wanajeshi yako vitani. Kikubwa ni anzisha hiyo hiyo ya mafuta na kiasi y Kuchoma maana unaambiwa upendacho wewe ni mapenzi yako biashara inaangalia wapendacho...
  4. Buganzi

    Unawekeza Tsh 30m unapata kodi 300k kwa mwezi. Mwenzio kawekeza Tsh 2m anapata hiyo hiyo

    Alie nacho hakimtoshi. Huyo mzee anakupima akili tu. Kama anafremu 50 kila fremu kwa mwezi mfano barabarani Dar au za kariakoo M3 kwa mwezi hDi 4m je anajutia?? Kama anajuta mwambie aje Mwaloni tuuze Dagaa tuone kama atakuja
  5. Buganzi

    Chadema wamtimua m/kiti wa serikali ya mtaa

    chama makini ni kile kinachojali na kufata katiba yao. Big up CHadema. Uamuzi at fingertips
Back
Top Bottom