Search results

  1. F

    Tatizo la mwanamke kukosa hormon

    pliz mamndenyi help me ulitumia mbinu gani kutatua hili tatizo
  2. F

    Tatizo la mwanamke kukosa hormon

    thank,inaweza kuwa kweli mana kila msichana alinipenda kiukweli,kila niliemuacha alinililia sio kama nnapesa no niliwaonyesha mapenzi ya dhati bila ya wao kujua kama wapo wengi kwangu,baadhi yao walikuwa wakiniudumia,na wengine wlinizidi umri.unayosema yaweza kuwa kweli,asante bra.
  3. F

    Tatizo la mwanamke kukosa hormon

    Naomba ushauri wenu,mimi mvulana nina umri wa miaka 27 nilianza kufanya mapenzi nikiwa mdogo sana,hadi hivi sasa sijui idadi ya wnwwake niliowapitia,in short ni mtaalam wa kuwapa haki zao hawa kina dada,kwa sasa nna miaka 4 tangu niachane na huu uhuni baada ya kmpata binti niliempenda na kuamua...
Back
Top Bottom