Search results

  1. Ngaliba Dume

    SoC01 Ushuhuda wa jinsi UKIMWI ulivyotesa familia, kuongeza umasikini na mateso. Tushukuru ARV na wadau wa afya

    Ni yangu mkuu...nimeileta tu huku kuchagiza mijadala!!uki-search utaona ni yangu.Na nimefanya hivi kuonyesha kuwa sio COVID tu inaweza kukumbana na changamoto za kutojua namna ya kuikabili, hata UKIMWI uliahidi kuwa hivyo.Tuzidi kuelimishana na kukumbushana
  2. Ngaliba Dume

    SoC01 Ushuhuda wa jinsi UKIMWI ulivyotesa familia, kuongeza umasikini na mateso. Tushukuru ARV na wadau wa afya

    Hatukuwa tumewahi kufiwa na mmoja wa wanafamilia,kwa maana ya kaka au dada wa tumbo moja na baba mmoja.Misiba mingi ilikuwa ni kwa ndugu na jamaa tu wa karibu.Msiba huu wa dada yetu aliyekuwa "kichwa" na msaada mkubwa kwa familia ulitokea mwezi March 1993 wakati huo mimi nikiwa nimemaliza kidato...
  3. Ngaliba Dume

    NSSF mnawatesa Wajawazito wa Fao la Uzazi; Customer Care mbovu ofisi za Ubungo

    Yaani hawa NSSF ni ugoro mtupuuuuu....unaweza ukatandika mtu makofi.Ni bora waseme kama Fao la Uzazi au Bima ya Matibabu haipo ili ijulikane moja,ila sio huu uhuni
  4. Ngaliba Dume

    NSSF mnawatesa Wajawazito wa Fao la Uzazi; Customer Care mbovu ofisi za Ubungo

    Wanahangaisha sana wateja wao na tena wana lugha ya ovyoovyo sana
  5. Ngaliba Dume

    NSSF mnawatesa Wajawazito wa Fao la Uzazi; Customer Care mbovu ofisi za Ubungo

    Ni week ya sasa Wajawazito katika ofisi mbalimbali za jiji la Dar es Salaam hawapati huduma,iwe Ubungo au Ilala kwa wakazi wa Dar es Salaam. Inaenda karibu week ya pili sasa kwa wajawazito ukienda kwenye ofisi za NSSF kwa ajili ya Fao la Ujauzito ni kero tupu,sababu mara mtandao unasumbua mara...
  6. Ngaliba Dume

    Kwa uteuzi huu wa DC Longido, UKAWA wajiandae kupoteza Jimbo

    Kweli yametimia.Kumbe jamaa ni mjuzi wa siasa za ndani ya Chama
  7. Ngaliba Dume

    Hivi ndivyo nilivyomkomesha tapeli wangu,nadhani hatakuja kusahau. Una kisa cha kulipiza tapeli wako?Tujuze wana-JF

    Hii ilikuwa kama miaka 10 iliyopita,kuna jamaa alikuwa tapeli sana anakaa mitaa ya Kijitonyama njia ya Sayansi unakuja kutokea huku Tandale(Nimesahau jina).Huyu jamaa alikuwa anatapeli sana wanafunzi wa vyuo vikuu akisema anawatafutia kazi ile Taasisi ya Benjamini Mkapa. Aliwakusanya sana...
  8. Ngaliba Dume

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kabisaaa....nililipa kisasi mkuu
  9. Ngaliba Dume

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Jamaa alinyong'onyea sana...nilimkata bit sanaaa
  10. Ngaliba Dume

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hii naleta nyingine,baada ya ile niliowaletea ya kumla Sister(Mtawa) Hii ilikuwa kama miaka 10 iliyopita,kuna jamaa alikuwa tapeli sana anakaa mitaa ya Kijitonyama njia ya Sayansi unakuja kutokea huku Tandale(Nimesahau jina).Huyu jamaa alikuwa anatapeli sana wanafunzi wa vyuo vikuu akisema...
Back
Top Bottom