Search results

  1. Angel Msoffe

    Tanzia: Johanes Kanani apata ajali na kufariki

    R.i.p Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Angel Msoffe

    Mjue Mtoboaji macho, Salum Njwete (Scorpion) na watu wake

    Kwamba shindano lilikua la wahalifu au?
  3. Angel Msoffe

    Abiria aamua kuishitaki Emirates Airlines Kwa kukaa karibu na mtu mnene Kwenye siti

    Alifariki kabla ya kupelekwa India. ITV walionyesha
  4. Angel Msoffe

    Edward Lowassa na Maalim Seif kuhudhuria mechi ya mpira baina ya Simba na Yanga

    Balaa ni pale jezi z simba Na yanga hazitavaliwa, zitavaliwa za chadema. Hii mechi ya kihistoria.
  5. Angel Msoffe

    Kwa mnaohitaji kununua magari - tukutane hapa

    Toyota rav 4milango mi3 sh. Ngapi
  6. Angel Msoffe

    Mtanie wa juu yako

    Pua kama nyumba ya mdudu
  7. Angel Msoffe

    Wasichana wa siku hizi kila jogoo wanalitaka

    Nimefurah ufafanuzi wako, Uliyosema ni kweli
  8. Angel Msoffe

    Upareni hadi Moshi enzi hizo

    Nimeipanda sana nikienda lembeni
  9. Angel Msoffe

    Muuguzi adaiwa kumpiga mgonjwa wakati akimuhudumia jijini Mbeya

    Pande zote mbili wasikilizwe kwa umakini sana, Swala la kusukuma mtoto kabla ya muda muafaka linaweza kusababisha kifo cha mtoto, Na swala la kulabua mjamzito kofi la uso nalo linaweza kumchanganya mjamzito network ikakata, Hapa wasikilizwe wote kwa umakini mkubwa
  10. Angel Msoffe

    Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Kwani lengo la mumewe kutembea na mdogo wake lilikua mtoto au tamaa tuu, Km ni mtoto kwanini alikua anamlazmisha atoe mimba?? Swala la leah kusoma ni makubaliano yake na mume. Na swala la mume kutembea na mdogo mtu ni tamaa tuu. Usimuhukumu,
  11. Angel Msoffe

    Naota Nimekufa.....

    mimi kwa zaid ya miaka 10 nilikua naota niko shule, ndoto hii ilinipa maswali kwann niote niko shule, siku moja mwalim mwakasege alikuja kuhubiri mJini kwetu, Nikaamua kwenda. Alichoniambia ni kuhusu ndoto hii na kuitafsiri kwamba, nilipokua shule kuna mwanamke aliyeniendea kwa mganga kwa ajili...
  12. Angel Msoffe

    Natafuta mwalimu wa kuoa

    Unaoa ajira ya ualimu au unaoa mke mnayeendana??
  13. Angel Msoffe

    Wazazi wananichanganya

    Hamia facebook
Back
Top Bottom