Search results

  1. chavka

    Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

    Shukrani sana ndugu zangu japo hatujuani kwa sura lkn jamii forum imenieka karibu n nyie. Nashukuru kwakuwa nilipokwama nimepajua na nini natakiwa kufanya nimejua na naimani sikuja humu ili kujikweza au kujidhalilisha bali nilitaka mawazo juu ya nn nifanye nikiwa na taadhira ya kutambua...
  2. chavka

    Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

    Dada pesa hainunui kila kitu na sijapenda kupoteza Mke niliezaanae na sijasema yy mkosefu na sitosema hilo. Tungekuwa tuna mwaka mmoja sawa lkn ni miaka. Na ningekuwa nahisi pesa ni kila kitu tunakutana na madadapoa wengi kwenye kazi zetu ndani na nje ya nchi lkn siko interest na wao. Tena...
  3. chavka

    Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

    Shukrani kwa kunipa ukumbusho naimani hakuna anaependa kupotea Mungu atuongoze sote tusipotee
  4. chavka

    Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

    Shukrani huwenda ni huruma niliokuwanayo namuonea kulingana na Historia yake. Nikaona kumfanyia wema ndio njia sahihi ya kumtoa alipo. Nikihisi mateso na misukosuko aliopitia nikaona anastahiki kufanyiwa wema. Kwakuwa Historia yake haikuachana mbali sana na yangu kwamba wote tulipoteza wazazi...
  5. chavka

    Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

    Miaka 9 nimingi kukaa na mwenza na kwahekima ya ndoa nilikaa vikao vyakukanyana na Kunakipindi nilimrudisha kwao kwa miezi 6. Nilitaraji akirudi atatambua na kujua namna ya kuishi na majukumu ya familia na sio ukoo. Lkn sikuwa nimetibu bali niliongeza shida. Ndipo nikamuacha
  6. chavka

    Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

    Nimefurahi japo sio vya kufurahi tatizo nipo mji tofauti na yy na nimtumishi japo ni shirika binafsi
  7. chavka

    Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

    Nilikuelewa ndugu na huwa naheshimu mawazo yamtu nikijua natakiwa kujifunza na sio kuhamaki.
  8. chavka

    Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

    Shukrani sana ndugu zangu kiukweli nimepata unafuu mkubwa kiakili kwa mawazo yenu. Na namuomba Mungu nisimame kwenye njia ilio sahihi kama mnavyonipa mawazo. Na kiukweli nimejikuta naona nilivyo wapunja hata wanangu kwa kutoa kiwanja ambacho kama ningekuwa muulizaji tangu mwanzo basi ingekuwa...
  9. chavka

    Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

    Shukrani kwa ushauri. Hakuna aliekamilika ndio maana nimekujaomba ushauri. Labda nikweli mshamba ndio maana nilifanya yote hayo. Ila sikuwa na fikra ya hayo niliona natimiza majukumu. Huyo wa pili sijamjengea ni kiwanja tu. Na naimani kama ningekuwa na usahihi basi huko kutumia vibaya kipato...
  10. chavka

    Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

    Shukrani ndugu na ndio maana najiuliza wapi nitakuwa sahihi.
  11. chavka

    Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

    Nashukuru kwa ukumbusho na nashukuru kwa Mungu nimewekeza huko kwenye uzee
  12. chavka

    Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

    Kuposa sio kuoa ndio maana natafuta uyakini wa matendo yangu kabla sijaumia zaidi
  13. chavka

    Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

    Nashukuru kwa ushauri. Nimeelewa na ndio maana nimeona nimekwama kifikra Kwani naimani kuanza upya sio ujinga bali kujua hatua nilizopiga vibaya. Na sikutumia pesa ili nipate kupendwa bali nilikuwa naona natimiza majukumu ila shukrani kuna mambo nayapata kwa mawazo yenu
  14. chavka

    Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

    Sawa ila sikutumia kama fimbo bali nilikuwa naona natimiza wajibu wangu
  15. chavka

    Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

    Ndugu natafuta mawazo na aaamin humu kuna watu wa fikra yakinifu.
  16. chavka

    Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

    Ahsante. Japo furaha ya nafsi ni bora kuliko kumiliki dunia
  17. chavka

    Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

    Ahsante naandika mpaka naona hayatoshi nimekwama kifkra
Back
Top Bottom