Search results

  1. M

    Rafiki wa mume wangu ananitaka

    Unavyosema "bora hata angekua simjui au hana ukaribu na familia sasa huyu wako marafiki na ni mtu tunaemvalue kama rafiki kumbe ajenda zake mbovu" unamaanisha kwamba angekuwa ni mtu ambaye huwa unawakubalia wakulambe wanaume ambao hawana relationship na familia yenu
  2. M

    Hizi simu....mmmh!

    Hahahaa, mimi kuna siku nilikuwa nimekaa na rafiki yangu tunakula weekend mahali, Sinza. Jamaa siku hiyo alikuwa na furaha sana maana alikuwa amelipwa hela kwenye tender fulani aliyokuwa ameifanya. Akaniambia "leo fulani (akamtaja msichana ambaye amekuwa akimsumbua kila siku) lazima anikome...
  3. M

    Utani na Msichana ninaye fanya naye kazi unataka kunivunjia ndoa yangu

    Unajua kilichonifanya mimi niondoke nyumbani ilikuwa ni kunusuru ule ugonvi usije ukaanza kukusanya watu pale nyumbani. Mkuu jitahidi sana masuala ya ndani kwako yasitoke nje. Kwa gharama yoyote ile. Suala la ugomvi ndani ya nyumba yako na mkeo likakusanya watu nyumbani kwako mpaka wanavunja...
  4. M

    Utani na Msichana ninaye fanya naye kazi unataka kunivunjia ndoa yangu

    Ndugu ni vigumu sana kumzuia mke kutokuperuzi kwenye simu. Mfano unaweza ukawa umelala na mama watoto jumamosi/jumapili mchana mkifurahia mapumziko ya week end. Ghafla mtoto anakuja na kuanza kulia mlangoni. Mama anakwambia kambeleze acheze na dada yake. Kwa kuwa wewe unataka kuutumia huo mchana...
  5. M

    Utani na Msichana ninaye fanya naye kazi unataka kunivunjia ndoa yangu

    Kuna msichana nafanya naye kazi katika kampuni moja. Sasa tumezoea kweli kutaniana na kuitana majina ya Kimahaba huku kukiwa hakuna uhusiano wowote wa Kimapenzi. Jana saa nne usiku nikiwa nafanya kazi zangu kwenye kompyuta sebuleni na simu ikiwa chumbani akanitumia ujumbe unaosomeka "Honey, its...
  6. M

    Nimfanyeje kiumbe huyu.....?

    Kulingana na wasifu ulioutoa kuhusu huyo jamaa (kwamba ni kiwembe) lazima utakuwa umeliwa tu, tena sana. Nakushauri ukapate ushauri nasaha pale AMREF, then upime ngoma ili ujue namna ya kuanza maisha mapya yenye mawazo.
  7. M

    M-PESA na Tigo-pesa zinavyowabana wanaume wasishindwe kukwepa kupigwa mizinga

    Siku hizi ukiwa na kisingizio cha kukwepa kupigwa mzinga na wapenda kuomba hela (mabinti) kwa sababu ya kuwa mbali (but within Tanzania) utasikia, "Nitumie basi 20,000/, 50,000/=, 100,000/=, etc. kwa M-PESA/TIGO-PESA, nasubiria sasa hivi honey wangu, mwaaaa, i love you baby". Teknolojia hiyo...
  8. M

    M-pesa na Tigo pesa zinavyowabana zinavyowabana wanaume washindwe kukwepa kupigwa mizinga

    Siku hizi ukiwa na Kisingizio cha kukwepa kupigwa mzinga na wapenda kuomba hela (mabinti) kwa sababu ya kuwa mbali (but within Tanzania) utasikia, "Nitumie basi 20,000/, 50,000/=, 100,000/= kwa M-PESA/TIGO-PESA, nasubiria sasa hivi honey wangu, mwaaaa, i love you baby". Teknolojia hiyo jamani.
  9. M

    Njaa ya Mabinti Bwana

    Dawa ndo hiyo tu. Unamwacha aagize vya bei ya juu na huyo rafiki yake aliyekuja naye then unaweka simu sikioni na kusema hallooo, hallooo, sikusikii ngoja ntoke nje, ukitoka unasepa zako huku ukimwacha akivuliwa chupi na wengine ili wampe msaada. Unaagizaje vya bei ya juu bila kujua kama mwenzio...
  10. M

    Nimfanyeje kiumbe huyu.....?

    Nina wasiwasi na kauli yako kwamba "Hukuwa umepanua paja". Kwa hali ilivyo sasa, ni very rare watu kukaa hata mwezi mmoja wakiwa hawaja-make love, na ukizingatia huyo jamanaa ni fisadi wa mapenzi. Cha kukushauri kapime ngoma maana takwimu zinaonyesha mtu mmoja kati ya 10 hapa nchini ana ngoma...
  11. M

    Re.advertised. APPLICANTS FROM DSM,MBEYA,MWANZA,MORO AND WHO ALREADY APPLIED,SHOULDNT APPLY TWICE,

    Hii imekaa kiutapeli zaidi maana hata Kiingereza chenyewe ni cha kuungaunga. This cant be expected from a serious Institution.
  12. M

    Okoa ndoa hii

    Ukimwona mwanaume anakuletea mtoto wa nje dunia ya leo ujue huyo ni zuzu. Hii siyo dunia ya kumwamini mwanamke mpaka kulana naye pekupeku. Hofu ya Maambukizi na kuiepnda familia vinawatawala wanaume wengi wa dunia ya sasa. Huyo aliyekubali kuliwa pekupeku na rafiki anayezurura akitengeneza...
  13. M

    Okoa ndoa hii

    Ukimwona mwanaume anakuletea mtoto wa nje dunia ya leo ujue huyo ni zuzu. Hii siyo dunia ya kumwamini mwanamke mpaka kulana naye pekupeku. Hofu ya Maambukizi na kuiepnda familia vinawatawala wnaume wengi wa dunia ya sasa. Huyo aliyekubali kuliwa pekupeku na rafiki anayezurura akitengeneza...
  14. M

    Njaa ya Mabinti Bwana

    Hivi jamani ni kwa nini Mabinti/Wasichana huamini kuwa rafiki wa Kiume ni mtu wa kupigwa Mizinga kwenye kila kitu, kuanzia vocha, simu, mavazi, shida zingine za uongo, n.k? Ni kwa nini ukitoka naye anaagiza vitu vya thamani wakati hajui ulicho nacho mfukoni na wakati huohuo mfukoni anakuwa hana...
  15. M

    Okoa ndoa hii

    Hiyo ni element ya Umalaya. Alivyokuwa anajikumbushia kwa huyo chotara Zimbabwe nafsi ilikuwa haimsuti kwamba anamhujumu Mpenzi wake wa Ndoa? Akina dada acheni kutufanyia hivyo, kama unajua mme wako mtarajiwa ana mapungufu kwa nini ukubali kuolewa naye halafu unamsaliti kwenye ndoa? Mtachomwa...
  16. M

    Je DAWASCO na NHIF wameshaita/ajili/shortlist?

    Walikuita kwa Nafasi zipi Maana zilikuwa Nyingi?
  17. M

    Jee, duniani kuna nchi inayoendeshwa vibaya zaidi kuliko Tanzania

    Inavyoonekana wewe unazungumzia siasa hapa. Kompyuta ninayo tumia hapa ni moja ya indicators za maendeleo ukilinganisha na wakati wa uhuru wakati hata typewriter ilikuwa ni kitu adimu. Umesahau concept ya Comparative Advantage (kwamba mimi nitaagiza Kopyuta kwa kuwa ni ghali kuizalisha hapa...
  18. M

    Jee, duniani kuna nchi inayoendeshwa vibaya zaidi kuliko Tanzania

    Mkuu Tanzania ina mafanikio makubwa sana tangu uhuru ulipopatikana. Ni vyema ku-recognize kwanza hayo mafanikio kabla hujaanza kutoa shutuma za governance shortcomings ulizozitoa. Angalia jinsi ambavyo Serikali imeboresha huduma za kijamii kama vile Afya, Barabara n.k. Angalia Idadi ya vyuo...
  19. M

    Ukinywa pombe....utachelewa kufunga goli wakati wa mechi

    Ni kweli kwamba ukipiga ulabu sana, jamaa hatoi maji mapema, na kama unatumia kinga ambayo ni weak, utakuta umebakia na kale ka ring ka juu tu ka hiyo kinga, ngoma imepasuka muda mrefu. Mimi siku moja nilikuwa na event ya graduation yangu nikaweka mtungi sana, baada ya pilika nyingi za tukio...
  20. M

    Kwa nini wasichana wa siku hizi hupenda zaidi wanaume walio oa

    Nakubaliana na wewe. Mimi niliwahi kuwa na uhusiano wa namna hii, Binti kila wakati akipiga simu ni shida tu, mara gari inahitaji service na sina hela, ukiwa safari utamsikia "nna shida ya 50,000/= naomba unitumie kwa M-PESA", ukikutana naye yaani analia shida weeee, mpaka hamu ya kujifunika...
Back
Top Bottom