Mi sioni sababu ya kumuona mkapa lulu wakati ana kashifa kibao,mara meremeta,mara kiwila,mara EPA,wanini huyo?hupaswi kumwamini mwongo hata kama ameongea ukweli,mwizi ni mwizi tu hata kama ameiba buku,hatupaswi hum judge in positive way unles arudishe alichotuibia na akaungame kwa imani yake...mp'ya
Ukitaka kujua ni vp m2 flan anakufikiria bac jitahidi umuuzi,kama anakupenda atakuonya na kukuomba usimfanyie uliomfanyia na kama hakupendi,dah?utaona moto wake jinsi utakavyochambuliwa,so jitahidi ujue ni vp rafiki yako wa CCM anakuchukulia hasa ktk uchaguzi wa huko igunga,fanyeni kampen za...
Hivi y al da tym pipo ar talkin'abt udini?jaman jengeni hoja za msingi huko igunga na c ku2gawa kwa iman zenu haba ka chembe haradani,2nataka kiongoz safi,mwadirifu na muajibikaji kwa uma wa watanzania wote na kwaajili ya interest za wa2 flan,MUNGU IBARIKI TANZANIA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.