Search results

  1. King Nzomo

    Nipeni tafsiri ya 'Extreme Sports' kwa Kiswahili sanifu!

    Haya! N'tangoja majibu yako.
  2. King Nzomo

    Nipeni tafsiri ya 'Extreme Sports' kwa Kiswahili sanifu!

    Jamani extreme sports kwa Kiswahili ni nini? Fikiria michezo kama vile surfing, mountain climbing, bungy jumping, sky diving, na kadhalika!
  3. King Nzomo

    Misamiati mipya ya Kiswahili sanifu

    Sasa hapo nd'o umeanza kazi! Asante sana kwa mchango wako! Kwangu mimi mwandishi wa habari, nahitaji sana kujua misamiati mipya ya Kiswali kila inapochipuka! Siju nichangie lau neneo moja? Microwave ni wimbi mikro Laptop ni kompyuta ya kupakata Calculator ni kikokotoo Air conditioner (AC) ni...
Back
Top Bottom