Search results

  1. mito

    Yanga leo kacheza vibaya na Namungo

    Anazingua
  2. mito

    Yanga leo kacheza vibaya na Namungo

    Acha utan aisee, yaan kabisa Sure boy aachwe
  3. mito

    Simba imeenda kuutumia uwanja wa Jamhuri bila kuujaribu

    Kwanin hawakufanya mazoezi kwenye uwanja huo
  4. mito

    FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. mito

    FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

    Daah refa analize mpira bhana wengine tunakaa mbali
  6. mito

    FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

    Huu uzi wenyewe hawajaukimbia kweli
  7. mito

    Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba

    Hivi hao wanaobisha watwambie kwa bongo hii striker gan anamzidi Dube
  8. mito

    Tunamtaka Hersi ampe mshahara mzuri Mudathir Yahya

    Tutaboresha mkataba wake mpya kama akiendekea kupafomu vizuri Ila kuweni makini msijemuaribia kama Feisal, maneno yalianza ivi hivi
  9. mito

    Tunamtaka Hersi ampe mshahara mzuri Mudathir Yahya

    Tunafanya kazi kwa mkataba ndugu siyo mihemko kama hii. Na je siku akiflop mtakuja hapa kudai apunguziwe mshahara au?
  10. mito

    Angalizo kwa Simba: Jwaneng Gallaxy sio team nyepesi kama mnavodhani

    Kumbe unafuatilia mpira bila ushabiki mkuu. Niko hapa naombea Yanga apange na timu kutoka hili kundi bovu la Simba
  11. mito

    Haya majamaa yatatuzika kabisa game ya mzunguko wa pili

    Uko na mtazamo kama wangu, hata mim naona timu pekee ya kumsumbua Yanga ni Mamelodi Sundown, hawa wengine wasubiri vichapo tu
  12. mito

    Anachokifanya Yanga, anafanya mashindano ya CAF yaonekane ni marahisi, tungemuomba asifanye hivi tena

    Nasikia FIFA wanafikiria kuijumuisha Yanga kwenye mashindano ya vilabu ya Dunia kama timu alikwa
  13. mito

    Uchambuzi wangu Yanga sc 4 - 0 CR Belouizdad

    Tuwekee link hapa mkuu
  14. mito

    Yanga kufungwa Jumamosi na CR Belouzdad

    Mchawi mwingine huyu
  15. mito

    Kutoka kwenye official page ya CAF: Yanga to the quarter final

    Haina haja ya kuwekeza nguvu mkuu, game ya kutimiza tu ratiba hiyo, wacheze kina Nkane, Shehan n.k wapate uzoefu
Back
Top Bottom