Search results

  1. G

    Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    tunaelekea dunia ya pili kutoka ya tatu!!!!
  2. G

    Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    rwanda walianza hivi hivi!
  3. G

    Zitto: Tunaomba radhi kwa mapungufu yaliojitokeza

    sidhani kama hiyo ndiyo maana, ninacho kiona hapo ni kwamba figure zilizoko hapo ziko katika mamilion, ina maana uongeze sifuli kadhaa hapo mbele.
  4. G

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    UPDATES: Naam Hoja ya kwanza ndio inaelekea ukingoni kuna dalili za jaji kuitupa nje! Pamoja sanaaaa! HOJA zenyewe ni hizi: 1)Kwamba Mnyika alimtuhumu kuuza nyumba za UWT 2)Kutumia Laptop za Mnyika Kuhesabu kura 3)Kuingia watu wengi wa CHADEMA ktk chumba cha kuhesabia kura 4)Kuzidi kwa kura...
  5. G

    Sakata la Lulu na Kifo cha Kanumba, what does the Law say?

    kizungu ni noomaa!!! ngoja niende darasani kwanza nikajifunze!!
  6. G

    The best photoz ever....zina maana kubwa sana....

    huyo wa kati kanikumbusha mbali duu, mguu sawa!!!!!!!
  7. G

    Ndugu watanzania ushindi wa chadema Arumeru umetufundisha nini ?

    haha kazi kwelikweli!!!!!!!!!!!!! CCM ni muda wa kutoa pamba masikioni walete umeme na maji sasa kabla wananchi hawajawatoa manundu ifikapo 2015.
  8. G

    mnh mwanamke make up eeh?!

    ni mizimwi!
  9. G

    Kimwana kutoka bukoba hicho

    :flypig: kama siyo kwao sasa katoka wapi mkuu!!
  10. G

    Uwoya live, abarikiwe

    upuuzi wakati wenzio hata hatuwezi kuamuka kwenye meza zetu. unatumia masaburi
  11. G

    Tangu ubadilishe ushakutana inayozuia kwenda?

    hapo penye kijani duuu!
  12. G

    Kumbe Halima Mdee ni breki ya Pinda.......................

    muchika: pinda maliza basi na mimi nichukue kiganja. pinda: nasikia umeme unapita kwe kwe kwe
  13. G

    HILI SOFA LA UKWELI jamani

    pale ubungo maeneo ya riverside
  14. G

    DC aendelea na kuifanyia CCM kampeni Igunga

    haha haha hawa dawa yao kuondoa hicho kiti ili wapasuke vizazi!!
  15. G

    DC aendelea na kuifanyia CCM kampeni Igunga

    mbona serikali yenyewe ilipotezea rufaa ya wana CUF, au waliogopa Kafumu naye kupigwa chini tehe tehe.....
  16. G

    Benjamin Mkapa Aids Foundation wanalipaje mishahara?

    wewe thamani yako shilingi ngapi? hapo ulipo bila shaka una ACCA, CPA, MBA, ETC bado unataka kujua wanalipaje! kawaambie unachotaka wewe ili uende kule, hivi vitu vinakuwa wazi kwenye usaili, Ila kama uliko sasa hakieleweki then huitaji kujua wanalipaje, unatakiwa uombe kazi na usali ili uipate...
  17. G

    Mgomo mkubwa wa wenye vituo vya mafuta 2011!

    nasikia kuna vituo vinavyouza bado, ni vipi hivyo walau tupate vijilita vitatu. Serikali ya JK inakamuliwa kin**** na wauza mafuta, asubiri mgomo wa dalala nao waja!
  18. G

    Mikakati ya Tanesco kuhusu mgao wa umeme

    hizo nguvu za maji ndo zinaleta shida bado naona ziko kwenye mipango ya muda mrefu! kweli sikio la kufa halisikii dawa. halafu huo muda mrefu unaaisha lini? tangu enzi za mwinyi kuna miradi ipo kwenye miradi ya muda wa kati!!
Back
Top Bottom