Search results

  1. S

    Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

    yaliyovujishwa kwny wikileaks kuhusu serikali kuibania pccb kupeleka vigogo mahakamani imedhihirishwa jana bungeni.
  2. S

    CHADEMA Jibuni Hoja hii...!!

    Mi nadhani uyu mama hajasoma uchumi par se, bali amesoma political economy kama shemejiye Jakaya.
  3. S

    Mbowe ndiye tatizo CHADEMA

    Ndio maana uliomba thread yako isifutwe kwasababu unajua umeandika ujinga!
  4. S

    Kamati Teule ya Bunge Iundwe kuhusu Kashfa ya Rada

    Jamani ili swala la rada ushahidi upo wazi, kinachotakiwa watu wapelekwe mahakamani! Barua kutoka SFO kwenda AG-URT inatamka wazi kabisa maofisa wa serikali ya tz waliohusika ktk sakata hili, uchunguzi mwingine wa nn?! Mengine yatabumbuluka ukouko makamani.
  5. S

    TGIF: Aliyeandika habari hii anahitaji kufungwa!

    Vithlani alihongwa heka na BAE ili awaconvince viongozi wa tz wanunue radar kwa bei ya juu, mahakama ikaamuru BAE wailipe tz kama charity paundi mil 29. Hii cyo chenji bali ni tozo ambayo BAe imeamriwa na mahakama ilipe kwa watz na cyo serikali ya tz ndio maana BAE wanataka wachannel hii ela...
Back
Top Bottom