Search results

  1. chrisman49

    Nini tofauti ya feni za kusimamisha na hizi Feni za kawaida?

    Habari wataalam, naomba kujua tofauti ya hivi vifaa, hasa hii tower feni sijawahi kuitumia kabisa.
  2. chrisman49

    Hii bidhaa naweza kuipata wapi ndugu zangu?

    Asante sana kaka.
  3. chrisman49

    Hii bidhaa naweza kuipata wapi ndugu zangu?

    Mtaa wa india upo sehem gani mkuu?
  4. chrisman49

    Hii bidhaa naweza kuipata wapi ndugu zangu?

    Habari poleni na kazi viongozi, nawasilisha kwenu. Ni ni waterproof iko katika form ya gundi, nahitaji ya ajili ya nyumba ya CONTEMPORARY.
  5. chrisman49

    Kila ikifika jioni socket breaker inaanza kuzima mara kwa mara

    Mkuu sasa ikitokea shida bila breaker utajuaje?si utachoma nyumba.
  6. chrisman49

    Kila ikifika jioni socket breaker inaanza kuzima mara kwa mara

    Nimeweka hii RCD sasa hivi umeme hauzimi, nimetoa hiyo EURO naskia za hovyo sana
  7. chrisman49

    Kila ikifika jioni socket breaker inaanza kuzima mara kwa mara

    Nimetoa ile breaker ya hovyo ambayo nilipost huko juu mwanzo, nimeweka RCD.
  8. chrisman49

    Kila ikifika jioni socket breaker inaanza kuzima mara kwa mara

    Sasa hivi hauzimi kaka kumbe ishu ilikuwa ni hizi breaker zetu za bei rahis za mtaani...
  9. chrisman49

    Kila ikifika jioni socket breaker inaanza kuzima mara kwa mara

    Nimechange breaker na kuweka breaker yenye quality kubwa sasa hivi hauzimi umeme.
  10. chrisman49

    Kila ikifika jioni socket breaker inaanza kuzima mara kwa mara

    Nimetibu ugonjwa tayari, kumbe umeme kuzima kila jioni shida inakuwa breaker, jion umeme unapungua kama breaker ina uwezo mdogo umeme utakuw unazima inakuwa inashindwa kumaintain umeme, tangu nibadili breaker na kuweka yenye quality haujazima.
  11. chrisman49

    Kila ikifika jioni socket breaker inaanza kuzima mara kwa mara

    Jioni kuanzia saa 11 mpaka saa2 na nusu ukiwasha circuit breaker inazima kila baada ya dakika kadhaa, ila muda mwingine wote umeme hauzimi. Wataalamu wa haya mambo naomba msaada.
  12. chrisman49

    Msaada kucrack windows 10 pro

    Maana inanihitaji niiactivate.
  13. chrisman49

    Msaada kucrack windows 10 pro

    maana nashindwa kupersonalize hata baadhi ya vitu.
  14. chrisman49

    Msaada kucrack windows 10 pro

    Habari wakuu, Naomba kujua jinsi ya kucrack windows 10 pro. Nawasilisha kwenu wataalamu.
  15. chrisman49

    Naomba kujuzwa namna sahihi ya kuandika nje ya bahasha ya kuomba kazi

    Samahani naomba kwa anaejua namna nzuri na sahihi ya kupangilia cha kuandika nje ya bahasha ya barua ya kuomba kazi Asante.
Back
Top Bottom