Search results

  1. K

    Sheria yetu ya madini na wabunge wasioelewa dhima yao

    Mkuu hivi unatarajia mbunge wa upinzani alete mapendekezo yanayoonesha udhaifu wa sheria, halafu wabunge wa ccm waumge mkono? Si tumeona jinsi serikali inavyowaita wabunge wa ccm na kuweka misimamo? Serikali inatakiwa kuwasilisha mabadiliko hayo bungeni. Tusisubiri msonobari kudodosha maembe.
  2. K

    Ripoti ya pili ya mchanga itamuacha uchi Tundu Lissu

    Umeandika nini sasa? Yaani rais anataka kuhongwa, harafu wahongaji hawakamatwi? Tuambie what is the price tag of the president?
  3. K

    Rais Magufuli sasa huna jinsi, Toka nje ya nchi

    Acha uchokozi.
  4. K

    Ukweli ulio nyuma ya sakata la Makonda kupewa rushwa. Rais bado hajalielewa hili mpaka leo?

    Makonda mla rushwa. Magufuli ajue, kama hajui, kuwa makonda ni mla rushwa. Hahitaji ushahidi zaidi.
  5. K

    Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

    Mkuu, you have said it all. Lizabon and coy wenye mashaka waende mahakamani. Mbowe is not that low to argue with the frustrated.
  6. K

    Mbatia: Uhakiki wa vyeti feki uanzie kwa Rais na viongozi wengine

    Mbwembwe tu. Hoja yako ni ipi! Mipasho.........,mipasho ......mh
  7. K

    Bashe na mtazamo wake juu ya maandamano ya CHADEMA (UKUTA)

    Katibiwe kwanza ndipo uje usikilize busara na hekima za binadamu.
  8. K

    Taarifa ya Polisi Dar kuhusu wanaojihusisha na ‘UKUTA’

    Kumbuka vita havina macho. Mtego wa panya kuingia waliomo na wasiokuwemo.
  9. K

    ITV na Wosia wa Baba wa Taifa

    Aliyetoa list anazungumzia watu weusi. Sababu za kutaja watu weusi anazijua yeye. Kinachoongelewa hapa ni waafrika. Obama. Martin Luther Jr siyo waafrika. Aliye quote hiyo list kajichanganya.
  10. K

    Askofu Mkuu wa Anglikana asema vyombo vya dola vinapendelea chama kimoja na vinahatarisha amani

    Uvivu wa kusoma unakudharirisha. Hiyo siyo iyo. Mwisho utatukana kwa uandishi wa namna hii.
  11. K

    Mkuu wa Wilaya Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiuzulu

    Hata Generali Ulimwengu aliwahi kukataa udc. Huenda pia ameona udc haumfai.
  12. K

    Juliana Shonza: Viongozi wa CHADEMA ni kama Herode, naibu spika ni kama Yesu

    Kama maneno yake ni ya busara, tuna safari ndefu. Itoshe niseme yeye ni kama Pilato.
  13. K

    Wapinzani tutoke na kick ipi kupambana na Rais Magufuli maana kila tunalojaribu tunashindwa

    Njaa mbaya. Mlimsifu sana Kikwete, leo mnamponda. Ni suala la muda tu, mtamponda Magufuli.
  14. K

    Picha: Kuelekea Mikutano ya CHADEMA; Sugu Aliteka Mbeya Jana

    Nenda Mbeya uone, halafu waulize wanaMbeya. Usimwulize Sugu.
  15. K

    Picha: Kuelekea Mikutano ya CHADEMA; Sugu Aliteka Mbeya Jana

    Nenda Mbeya uone, halafu waulize wanaMbeya. Usimwulize Sugu.
Back
Top Bottom