Search results

  1. K

    St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    Hujakosea hata kidogo,Watanzania wengi tumeumbwa na roho za ajabu sana,kupongeza juhudi na mafanikio ya mtu ni nadra sana,mtu akiwa tajiri ni mwizi au freemason anaua ndugu zake wakati wewe unashinda kutwa Simba ,Yanga. Nimewahi kusikia wakati wa Ndalichako hizi St kuwa zilikuwa...
  2. K

    Wananchi: Maridhiano ni Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote

    Inawezekana Bi Tozo anayo dhamira ya dhati ya kuitaka katiba Mpya lakini anazongwa na wahafidhina ya Chama Twawala
  3. K

    Baada ya ACP Kingai kuonja joto la kutoa ushahidi, tutegemee nini toka kwa ushahidi wa IGP Sirro?

    Tanzania nchi ya ajabu sana Huku Hangaya anatangaza kuogombea 2025 Huku Mbowe mahakamani uhujumu uchumi na ugaidi Huku Gwajima na chanjo Huku baraza la mawaziri limefanyiwa marekebisho Jua linazama na kiza kitafunika anga huku tukitegemea mapambazuko
  4. K

    Kwanini nchi za Afrika ikiwemo Tanzania bado maskini licha ya kupokea Misaada na Mikopo ya mamilioni ya Fedha kutoka nchi zilizoendelea? - Part I

    Tatizo fedha nyingi zinazopatikana iwe kwenye makusanyo ya kodi au Misaada na mikopo kutoka nje zinaishia kwenye kuhudumia tabaka dogo la watawala(rulling class) Hebu fikiria kwenye jimbo au Wilaya moja kuna 1.Mkuu wa Wilaya 2.Mkurugenzi 3.MBUNGE 4.Katibu Tawala 5.Mwenyekiti wa Halmashauri na...
  5. K

    Rais Samia anatarajia kuanza ziara ya kikazi nchini Marekani

    Walisifiwa kukimbia wakapitiliza kwao
  6. K

    Adui hatari nambari wani wa taifa letu Tanzania ni CCM, je unaafiki?

    Hata Ndugai nae kaja na yake......Mwenyeji wa Galilaya,Kapernaumu,Nazareth na Bethlehemu
  7. K

    Paul Kagame: Dikteta katili anayefugwa na Wamarekani

    PK anawawinda wapinzani wake kama kuku Kumbuka mauaji ya Patrick Karegeya aliekutwa kanyongwa hotelini nchini Afrika kusini Sasa hivi anamshikilia Paul Rusesebagina aliecheza filamu ya Hotel Rwanda, Ukikaa na wacongoman ukiwauliza kwa nini waasi hawaishi nchini mwao wanakiri kuwa wao hawana uasi...
  8. K

    Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

    Mkuu kojoa ulale Kesho ukiamka kanunue luku ukatwe buku ya kodi ya jengo japo unaishi chumba kimoja cha kupanga. Asie nacho hata kile kidogo alichonacho ataporwa,hapa ndipo mlegeza macho alipotufikisha
  9. K

    CCM Mwaka 2025, mtamruhusu Rais Samia achukue fomu pamoja na wagombea wengine ndani ya chama chenu?

    Ninachokiona ni hivi 1.Ikiwa utaratibu utafuatwa basi itabidi wenye nia wote wachukue form na washindanishwe kwenye mizania moja. 2.Kama Mwenyekiti wa sasa atachukua form na yeye itabidi apitie kwenye mchujo.(atahesabiwa katika wapya) 3.Ukweli ni kuwa Samia ni Rais kwa mujibu wa Katiba ya...
  10. K

    Dotto Bulendu: Tathmini yangu juu ya mahojiano kati ya BBC na Rais Samia Suluhu

    Salim alikuwa anaonyesha hofu kuu Pili yeye ni mtangazaji kwa maana kile anachotangaza mara nyingi huwa ameandaliwa Yule Mzungu Sucker aliemuhoji Tundu Lissu alitakiwa afanye mahojiano na SSH
  11. K

    #COVID19 Kihongosi: Polepole uwe na nidhamu na adabu kama ulivyokuwa Awamu ya Tano

    Maisha yanaenda kasi sana Polepole was the front Runner...leo mkosoaji
  12. K

    Rais Samia: Mashtaka dhidi ya Mbowe sidhani kama yamechochewa kisiasa. Natamani kukutana na Wapinzani

    Muda utasema Hata hizi tozo zimetuchosha sana Ukweli tunatumia gharama kubwa sana kuhudumia Rulling Class Natamani ifike 2025 nione mtifuano ndani ya chama tawala
  13. K

    Ni suala la muda tu jimbo la Kawe kutangazwa kuwa lipo wazi

    Natamani Kayafa arudi ajionee kwa macho yake hizi sarakasi
  14. K

    Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Hivi ile Ikulu ya Dodoma bado inaendelea kujengwa?
  15. K

    Rais Samia Suluhu, usiige yote aliyofanya mtangulizi wako, wala ushauri wa wachache ndani ya chama chako. Fanya matakwa ya Wananchi na sheria

    Kuna maoni kuwa SSH achague kuwa Rais wa Tanzania au wa CCM Tatizo huwezi tengenisha taasisi ya urais na ccm...yuko pale kutimiza matakwa ya MACCM Ili awe Rais wa Watanzania wote lazima ashupaze shingo kweli kweli, Anaweza kuwa na nia njema lakini siwaoni ccm wakimpa hiyo nafasi
  16. K

    Rais Samia chagua upande wa Haki au Dhuluma, huwezi kwenda na vyote

    Tatizo ninaloliona kwa sasa ni kuwa SSH anashindwa kujipambanua kama mtenda haki moja kwa moja, kuna maslahi ya ccm wenzake,wananchi wa kawaida na wapinzani,SSH hajajua au kuamua asimame wapi, Tatizo katika nchi hii kitu cha kwanza kinacholindwa ni maslahi ya wana ccm,sio wananchi(wanasiasa wa...
  17. K

    Bungeni: Bajeti Kuu ya Serikali Mwaka wa Fedha 2021/22

    Kuna maeneo kodi haikusanywi Eneo la wafugaji,maziwa na nyama Biashara ndogo zisizo rasmi kama mitumba ya nguo na viatu Biashara za kuku na mayai Iweje mshahara wa laki tatu ukatwe kodi wakati kuna watu wanafanya biashara kubwa na hawakatwi hata shilingi moja?
  18. K

    Uchaguzi wa Wanafunzi Kidato cha Tano na vyuo ni kilio kwa Wazazi masikini

    Tatizo lingine ni umbali wa shule walizopangiwa hawa wanafunzi, Mtoto yupo Arusha anapelekwa Ruvuma au Biharamulo Kwa mzazi asie na uwezo hiyo nauli tu ni kizungumkuti Kuna haja ya kutafuta pesa upeleke mtoto wako unapopataka wewe kuliko kusubiri kupangiwa na hoizi akili za Maccm
Back
Top Bottom