Search results

  1. Esoterica

    Uso kwa uso na Lowassa: Jamani Lowassa ni bonge la Kiongozi

    Ngoja nipite kwanza, nitarudi baadae................
  2. Esoterica

    CHADEMA yaandaa mapokezi ya kifalme kwa Millya

    CDM inapaswa kuwa makini sana na UJIO wa Millya. Mtakuja kukubaliana nami wakati CDM imekwishasambaratishwa na MIllya kwani Millya ni MAMLUKI anakwenda CDM kukiua/kukivuruga ili siku moja ndoto ya sisiem kuichukua tena 'A-town' ifikie. HII NI STRATEGY KALI SANA YA SISIEM; huu ni mchezo kama na...
  3. Esoterica

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Wakuu mlioko huko heshima kwako Makene, Je hapo nje ya ukumbi vijana bado wapo wakilinda ushindi wao? Natamani ningeungana nao kama ningekuwa huko.................... hata hivyo, pamoja saaaaana............
  4. Esoterica

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    YAMETIMIA!!!Baba Mikononi Mwako Nakiweka Chama cha ........... (malizieni basi wakuu ......). hahaaaaaah!!! twatwatwaaaaaaaah!!! heheheheheeeeeeeeeeeeee!!!!! yayayayayaaaaaaaaaaaaa!! kwikwikwiiiiiii!! pripripriiiiii!!! NISIKIA RAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  5. Esoterica

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    :deadhorse: Dead sisi...............................e..................................................... !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa............................................aaaaah!!!!!, agh!
  6. Esoterica

    Elections 2010 Walimu wa Sekondari kutopigakura huko Igunga tarehe 2/9/2011

    Wanaoguswa na 'thread' hii ndiyo wanaojua UKWELI wa jambo hili
  7. Esoterica

    Elections 2010 Walimu wa Sekondari kutopigakura huko Igunga tarehe 2/9/2011

    Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
  8. Esoterica

    Elections 2010 Walimu wa Sekondari kutopigakura huko Igunga tarehe 2/9/2011

    Je tukubali kuwa kura zao zimepotea?
  9. Esoterica

    Elections 2010 Walimu wa Sekondari kutopigakura huko Igunga tarehe 2/9/2011

    Mkuu, Ni kweli kura zao ni muhimu lkn wanaweza wakapelekwa kwa magari ya serikali na wakalazimika kuondoka makao makuu ya wilaya asubuhi ya j2 wakipelekwa walikopangiwa kusimamia mtihani. Je wafanyeje?
  10. Esoterica

    Elections 2010 Walimu wa Sekondari kutopigakura huko Igunga tarehe 2/9/2011

    Heshima kwako mkuu, Ni kweli siyo wote. Lakini je walimu zaidi ya 60 wasipopiga kura hakuna 'impact' ktk kumuongezea mgombea ushindi? Kumbuka kwamba kuna mbunge mmoja wa bunge la 10 kutoka ktk Mkoa wa Shinyanga alishinda kwa tofauti ya kura moja. Je waifaham vema miundombinu ya barabara za...
  11. Esoterica

    Elections 2010 Walimu wa Sekondari kutopigakura huko Igunga tarehe 2/9/2011

    Wanafunzi wa Kidato cha 4 nchini kote watakuwa wakifanya MTIHANI WA TAIFA wa KUMALIZA KIDATO CHA 4 kuanzia tarehe 3/10/2011. Hivyo walimu kadhaa wa sekondari nchini kote watahusika kusimamia mtihani huo. Walimu wa Igunga nao watahusika kusimamia mtihani huo pia. Kwa taratibu za NECTA walimu...
  12. Esoterica

    Viongozi wa CHADEMA wavamiwa hotelini na Green guard wa CCM-Igunga

    Data anazo, tena zipo za kutosha sana. Je waliouawa kule NYAMONGO na majeneza yao kutupwa barabarani walikufa kwa maralia? siyo kwa kuuawa? wafikiri hatujui aliwaua nani? bishia na hilo ili hata watoto wa miaka 10 wakucheke. Watu wengine wapo kama wamelogwa vile.....................
  13. Esoterica

    Viongozi wa CHADEMA wavamiwa hotelini na Green guard wa CCM-Igunga

    Kumbe Mh. Bulaya naye ni CDM? Sasa mmeanza kuwakana hata wabunge wenu? Rage naye CDM? Poleeni nyie hahahaha........ Kwishney!!!
  14. Esoterica

    Viongozi wa CHADEMA wavamiwa hotelini na Green guard wa CCM-Igunga

    Huu ni UONEVU wa wazi kabisa. Hivi Utaisha lini?
  15. Esoterica

    Waziri Nchimbi akimbia na sanduku la kura wakati madiwani wakigombana

    Waziri Nchimbi akimbia na sanduku la kura Songea Madiwani warushiana makonde VURUGU kubwa zimezuka jana mjini hapa baada ya baadhi ya madiwani kurushiana makonde na kumlazimu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. John Nchimbi, kukimbia na sanduku la kura nje ya ukumbi baada ya...
  16. Esoterica

    Waziri Nchimbi akimbia na sanduku la kura wakati madiwani wakigombana

    Waziri Nchimbi akimbia na sanduku la kura Songea Madiwani warushiana makonde VURUGU kubwa zimezuka jana mjini hapa baada ya baadhi ya madiwani kurushiana makonde na kumlazimu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. John Nchimbi, kukimbia na sanduku la kura nje ya ukumbi baada...
  17. Esoterica

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    Asante Mkuu kwa kunijuza kwa hilo. Twasubiri picha na mpango mzima ulivyoenda. Jana ktk taarifa ya habari saa 2 usiku nimeona MTOTO MCHANGA HUKO SONGEA ANA UVIMBE MKUBWA KICHWANI LKN MAMA YAKE HANA HELA YA KUPELEKA HOSPITAL KUBWA KUMTIBIA. HOSPITAL YA HUKO ALIKO WAMEJITOLEA KUMPA SENTI KIDOGO...
Back
Top Bottom