Search results

  1. S

    Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hata mimi nashangaa. Kwenye Twitter account ya jamiiforums wametweet ameshindwa
  2. S

    MkikiMkiki: Mdahalo wa wagombea Urais Oktoba 18, 2015

    Ukisoma ilani ya ACT wanazungumzia hifadhi ya jamii, yaani social security. Kuna mifuko kama CHF au community health fund inayofanya kazi sasa hivi. Huu ni mfano wa social security scheme.ACT wanakusudia ku-design social security schemes za aina mbali mbali kushugulikia matatizo kama ya afya na...
  3. S

    Kwa utaratibu uleule, Kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo awaambie vyanzo vya mapato ya Chama

    We kijana kama una "ushahidi" wa gharama za mikutano ACT una shindwaje kuwa na "ushaidi" wa wafadhili na kiasi wanachochangia? Au hivyo vianzo vya mapato vya ACT? Wewe sio mwanachama wa ACT vyanzo vyake vya mapato vina kuhusu nini? There are better things to do with your time aisee.
  4. S

    Kwa utaratibu uleule, Kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo awaambie vyanzo vya mapato ya Chama

    :lol::lol::lol::lol: Hivi kwa mfano huyu Yericko akisha wajua wafadhili wa ACT itasaidia nini? What does it change?
  5. S

    Wapinzani walipokubali kushiriki mchakato wa Katiba Mpya walifikiri nini na kwanini?

    Exactly. Participating demonstrates to the public that a new constitution is necessary,whether Chadema leads the process or not neither does the party intend to dominate or monopolize the constitution process. From the beginning, Chadema supported the urgent need for a new constitution, but...
  6. S

    Wamiliki shule binafsi waiangukia serikali kupandisha vibali walimu wa kigeni $ 2000

    Wamiliki wa shule binafsi hawaja lalamika kuhusu kuendeleza walimu. Wame lalmikia work permit fees. Yaani pamoja ya work permit fees kubwa hivyo una tegemea watapata wapi fedha za kuwaendeleza walimu? Ada zitapanda mara dufu!!!!! Narudia tena...sio core acivity ya shule binafsi za sekondari au...
  7. S

    Wamiliki shule binafsi waiangukia serikali kupandisha vibali walimu wa kigeni $ 2000

    Mkuu una hoja nzuri Kwenye hii post watu wengi wanajibu bila hata kuelewa tatizo vizuri. Work permit fees ni kubwa ajabu. Hivi kuna vigezo gani vimetumika kuweka viwango hivi? Katika dunia ya sasa kuna ushindani mkali wa skilled human resources. Katika mazingira yetu ya upungufu mkubwa wa...
  8. S

    Wamiliki shule binafsi waiangukia serikali kupandisha vibali walimu wa kigeni $ 2000

    Kuendeleza au kutoendeleza sio issue wanalolalamikia wamiliki wa shule binafsi. Wao wanataka ada ipungue,na wana hoja ya msingi. Infact kama ni issue basi ni suala la muda mrefu. Hiyo inakuwa long term plan ya shule, siyo jukumu la msingi na kuna utaratibu maalumu. In the short run wanahitaji...
  9. S

    Wamiliki shule binafsi waiangukia serikali kupandisha vibali walimu wa kigeni $ 2000

    Hiyo si kazi ya shule za primary au secondary. Mawazo wako yangekwa mantiki kama ni chuo cha ualimu. Jukumu la shule ni kusomesha watoto, sio ku-train walimu. Ku-train walimu nje ya nchi ni gharama zaidi na ni usumbufu (Kuwekeana mikataba n.k.)Point hapa ni kwamba tuna skills shortage nchi hii...
  10. S

    Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

    Kwakweli tatizo ndo hilo. Jamaa walikuwa hawana determination ya kupenya ngome. Wa Ivory coast walikuwa ni wakubwa, lakini ukiangalia pale stars walijiamini na kupenya kwa nguvu ndani ya kumi na nane beki ya iovry coast ili weweseka. Leo kwa kweli ilitakiwa waoneshe determination the whole game...
  11. S

    Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

    Link ya game hii hapa http://www.youtube.com/user/MyAfricanFootball?v=F1g957OK18c
  12. S

    Live Updates: Morocco Vs Tanzania leo, 8 June 2013 uwanja wa Stade de Marrakech

    Stars wanahitaji mtu wa kupenyeza pasi ndefu
  13. S

    Live Updates: Morocco Vs Tanzania leo, 8 June 2013 uwanja wa Stade de Marrakech

    format an tactic ilibidi zibadilike. ngassa ana kadi. Hatuna center half na tunahitaji kulinda na kufunga
  14. S

    Kwa hili la simu, Anne Makinda ameonewa..!

    I could not have said it better
  15. S

    Swali la Ugomvi: Kwanini unaikataa CCM?

    Mitazamo ya wanachama na wake ni tofauti na mtazamo wangu. Mimi ni mwana mageuzi. CCM na mageuzi ni vitu viwili tofauti. I believe in freedom, human rights, the rule of law, the right of the people to own their natural resources, equal opportunity and social justice. To me CCM does not in any...
  16. S

    Kibanda: Kinana ni Kimbunga

    Sasa kibanda angeeeleza haya kwenye ile makala yake ya kwanza. Hoja zake kwenye ile makala zilikuwa nyepesi mno. Nadhani ndo maana watu wengi wanamlalamikia.
  17. S

    Kibanda: Kinana ni Kimbunga

    Tatizo iliaanza kwenye makala ya kwanza. Makala haikumjadili Kinana (As a political strategist) kwa undani. Taarifa zilikuwa juu juu tu. Kibanda could have and should have done a through analysis, with proper reasoning as to why Kinana is a force to reckon with in the current political...
  18. S

    Tafsiri na uchambuzi wa matokeo ya udiwani

    Kuunganisha nguvu makes sense kama kuungana huko can make a difference. Kumbuka Chadema walishawahi kuungana na CUF uchaguzi wa 2005, what difference did it make? Also when you combine for example two parties to form an alliance there has to be something that one party has and another does not...
  19. S

    Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

    Chadema inahitaji zaidi ya mashabiki sasa hivi. Chadema wanahitaji wanachama ambao wanaweza (a) kutambua viongozi kwenye jamii yao, wenye uwezo wa kuleta mageuzi na kuongoza wananchi kupata madabiliko wanayohitaji na (b) kushawishi na kutia hamasa watu wajitokeze kupiga kura kuchagua wagombea...
  20. S

    Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

    Nadhani Zitto ana maanisha transparency in the sense that after negotiations, before signing the contact, the contract should be made public, preferably through Bunge. Most developed countries have mechanisms that allow contracts on strategic national assets be ratified by parliament or...
Back
Top Bottom