Search results

  1. O

    Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Dah kaka hilo jibu lako mwisho kabisa umeona nastahili kupewa? Nimetokea huko mwanzo nikafata link ya Download km alivyoeleza mtoa mada lkn sijafanikiwa so km kuuliza ni kudandia post nisamehewe bure kwa usumbufu
  2. O

    Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Application inaitwaje na nahipataje
  3. O

    Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Mm sijafanikiwa bado Msaada Mkuu
  4. O

    Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Sijafanikiwa mm Mkuu msaada tafadhali
  5. O

    Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Mbona nikibonyeza Download pale haidownload MSAADA PLEASE
  6. O

    Kulikuwa na sababu Magufuli kutoa amri kwa Mawaziri wake mbele ya Vyombo vya Habari?

    Ulieanzisha hii thred mm naona kama umekurupuka mno. Hii style ya uongozi ndio haswa tumekuwa tukiipigia kelele kwa miaka mingi hapa nchini kwetu sasa kwa bahati nzuri imekuja kwenye PRACTICE unaponda... Hii nchi ili ipige hatua hakuna kinachoitajika kwa kiwango kikubwa kama UWAZI. Mambo...
  7. O

    Madiwani wote wa CCM manispaa ya Tabora, leo wamehamia CHADEMA

    Bado sn just waiting for more to happen
  8. O

    Kinana apata aibu Bukoba mjini baada ya CCM kukataliwa na wana Bukoba

    Tupe pichaaaaaa tupate raha ndugu
  9. O

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Waziri Mkuu aliejiuzulu Edward Lowassa amesafirisha wahariri wakuu wa vyombo vyote vya habari toka Dar es salaam na kufanya nao mkutano maalum leo nyumbani kwake mjini Dodoma. Katika mkutano huo kwa ufupi Lowassa amesema yafuatayo; 1. Amesema Hahusiki lolote na sakata la Richmond na ndio sababu...
  10. O

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Mm sipati picha sinema inayokuja kutokea katika siasa za nchi hii mwaka huu.
  11. O

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Waziri Mkuu aliejiuzulu Edward Lowassa amesafirisha wahariri wakuu wa vyombo vyote vya habari toka Dar es salaam na kufanya nao mkutano maalum leo nyumbani kwake mjini Dodoma. Katika mkutano huo kwa ufupi Lowassa amesema yafuatayo; 1. Amesema Hahusiki lolote na sakata la Richmond na ndio sababu...
  12. O

    Baraka Obama lazima alitafutiwa huyu Mwanamke!

    Aisee huyo mwanamke ni mzuri kuliko unavyofikiria haujajua sema ni mtu wa zoezi sn km mumewe
  13. O

    Serikali ya Jamhuri ya Korea kutoa fedha ya ujenzi wa daraja jipya la Salenda

    Safi sn kwa Wazir wetu na team yake nzima kwa ubunifu wa kutafuta solution mmbadala wa matatizo ya watanzania.
  14. O

    Mwizi wa kutumia pikipiki achomwa moto

    Safi sn wamewachosha wananchi kwa kweli
  15. O

    Msanii Songa ashikilia nafasi ya 10, kwa nyimbo zake kupakuliwa mdundo.com

    Mungu azidi kuwafungulia njia wasanii wa hip hop tz kwani kazi mnazofanya ni za thamani ya kutambuliwa na ulimwengu mzima na hili litadhihirika soon, ongeza jitihada kadri muwezavyo.
Back
Top Bottom