Search results

  1. H

    Kwa nini wasichana mko hivi?

    Kidudu mtu ndo we nn
  2. H

    Peter Msigwa Mbunge Wa Iringa Mjini Live On EATV Jioni hii

    video jamani ndio kila kitu
  3. H

    KODI sh,1000 ktk kila lain ya simu ni ndogo na ni bora kuliko hii!! Soma hapa chini!!

    Nilikua nanunua kabang kwa 9,000 kwa siku 7 sasa hivi ni 10,000 kwa siku saba Kwahio ongezeko ni 1,000 kwa siku 7 = 1,000x 4= 4,000 kwa mwezi. Hii si sahihi watz tuamke!!!!!!
  4. H

    Dk. Mwakyembe atoa misaada ya milioni 40/- jimboni

    Km ni cdm damu na nipo imara kwa chochote lkn huyu jamaa wamuache na ikiwezekana 2015 cdm wasiweke mgombea jimboni kwake kiutaifa ZAIDI!!!!!
  5. H

    Mwigulu: Membe, Sitta Hawatapata Urais

    Lowassa hawezi kuwa raisi hebu wamuweke ili kampeni ziwe easy
  6. H

    Mwigulu: Membe, Sitta Hawatapata Urais

    ?. Inasikitisha kuona wale wanaojiita viongozi wanapokua na mtazamo finyu kuhusiana na suala zima linalohusu maamuzi ya wananchi. Ni nani anayewapa haki ya kuamua kwamba fulani ndie raisi ajaye ikiwa hilo ni jukumu la wananchi? na je mnafikiri kwamba nchi hii ni mali yenu ambayo mnaweza...
  7. H

    Polisi Tanzania yamkamata gaidi raia wa Uingereza!

    Sawa lakini wasije na propaganda
  8. H

    Nitaisambaratisha CCM Kanda ya Pwani-Mabere Marando

    au kwenye magamba mnayovaa
  9. H

    Serikali yatenga sh 1bn kwa ajili ya mazishi ya viongozi wa taifa!

    Upuuzi kuproject matumizi ya watakao kufa sasa watatenga kiasi gani kwa ajili ya magorofa yatakayoanguka ?
  10. H

    Shortlist

    Naomba kama kuna mtu anayefahamu advans na akiba commercial bank wameshatoa shortlists zao anifahamishe kwasababu nimeapply lakini kimya
  11. H

    Nafasi za kazi

    Natafuta kazi kwenye finance, marketing na HR department nina Advanced/National Diploma kwa kila field kutoka South African University Of Technology.
Back
Top Bottom