Search results

  1. SHIGELLA

    KAFULILA haya unayafaham au huyafaham?

    NB: kazi ya mbunge ni kutunga sheria pale mjengoni, kuwawakilisha wapiga kura wake mjengoni. Kujua matatizo na changamoto zilizopo jimboni nakuziwasilisha kwenye mamlaka husika, kufuatilia na kuchagiza shughuli za maendeleo jimboni, ..n.k
  2. SHIGELLA

    Zitto careful: Possible assassination: Wivu wa kisiasa

    Siku laumu huo ndio ukomo wako wakufikiri! Mchango wa zzk kwa taifa hili na kwa chama chake ni wa kiwango cha kupigiwa mifano, badala yakumtia moyo au kujifunza na kufanya vizuri zaidi yake.. wengi wenu inawauma kwa wivu wa kijinga.....!Acheni porojo, majungu na unafiki! Propaganda na Ushabiki...
  3. SHIGELLA

    Zitto careful: Possible assassination: Wivu wa kisiasa

    Kuwaondo wenye mawazo tofauti na mabos zenu..eti kuimarisha taasisi/chama..eti usaliti..unaushahidi? yakuambiwa changanya na yako! Mchango wa zzk kwa taifa hili na kwa chama chake ni wa kiwango cha kupigiwa mifano, badala yakumtia moyo au kujifunza na kufanya vizuri zaidi yake.. wengi wenu...
  4. SHIGELLA

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Mchango wa zzk kwa taifa hili na kwa chama chake ni wa kiwango cha kupigiwa mifano, badala yakumtia moyo au kujifunza na kufanya vizuri zaidi yake.. wengi wenu inawauma kwa wivu wa kijinga.....!Acheni porojo, majungu na unafiki! Propaganda na Ushabiki wakujipendekeza upande wa wenye...
  5. SHIGELLA

    Mkutano wa Zitto & Dr Kitila Mkumbo kuwa streamed LIVE

    Haya si mawazo yako, ni maneno yakujipendekeza kwa wenye pesa ndan ya CDM!
  6. SHIGELLA

    Mkutano wa Zitto & Dr Kitila Mkumbo kuwa streamed LIVE

    hayo si mawazo yako ni ushabiki wa kujipendekeza kwa wenye pesa!
  7. SHIGELLA

    King'amzi kipi kizuri kwa hapa Tanzania

    Kama matakwa yako ni local channel zaidi, kiukweli kwa sasa startimes ni bora na hasa ukiwa na antena ya nje ndio balaaa jirani zangu wana-enjoy tu na kama hakuna game basi kwangu wanakuja kutusabahi! kama wahitaji world sports zaidi kama mimi huna budi kuchukua dstv ndio mwake ila ndio jipange...
  8. SHIGELLA

    CHADEMA ilifoji sahihi ya msajili wa vyama vya siasa?

    Naomba tusimajdili huyu maana naona tayari anatokwa na povu mdomoni pia haelewi anachokifanya,MUNGU amsaidie ili akili imukae vizuri na aweze kuendelea na ujenzi wa taifa vinginevyo tunamajanga ya watu kama hawa
  9. SHIGELLA

    ANGALIENI UBAGUZI HUU Ndani ya CHADEMA

    Kweli kazi tunayo nilifikiri utaanza na serikali kuwa inatakiwa kuboresha mazingira ya hospitali zetu ili viongozi wetu watibiwe hapa na sio nje ya nchi. Sasa unaanza na mtu ambaye yeye pia ni muhanga wa tatizo na ndie ambaye anapiga kelele kila siku kuwa pesa nyingi zinatumika ndivyo...
  10. SHIGELLA

    Hawa Erolink ni akina nan?

    Vijana wakiTZ tubadilike, kulalamika tu haitotusaidia kitu tuanze kuchukua hatua na kutenda! Peleka hii kesi kwa wanasheria muandae tuhuma za kampuni ya udalali na kampuni iliyokuajiri mkawafungulie kesi mahakamani.
  11. SHIGELLA

    NNE BILA! (4-0) ndio habari ya MJINI. . . Hureee!

    Hongera sana CHADEMA.
  12. SHIGELLA

    Majina saba ya askari walio uwawa Sudan

    Mungu awapumzishe kwa amani Makamanda hawa waliopoteza uhai na awaponye majeruhi! Natoa wito kwa vikosi vyetu vyote vilivyokwenda kulinda amani chini ya mwamvuli wa UN au AU (kuongeza umakini, jiepusheni kufanya kazi kwa mazoea, jiepusheni na wamawake wa watu, epukeni ulevi mbwa na anasa za...
  13. SHIGELLA

    Je unajua "hili" kuhusu Tume ya Warioba?

    Tuendelee kujadili ili kupata kilicho bora
  14. SHIGELLA

    Je unajua "hili" kuhusu Tume ya Warioba?

    Katiba haitoweza kuwa na maoni na matakwa ya kila Mtanzania! ni lazima tukubaliane na mtengamano wa mgongano wa mawazo, Rasimu iliyotolewa na tume ya warioba bado inatuhitaji sisi wananchi tuijadili na kutoa mapendekezo yetu kupitia mabaraza ya wilaya au babaraza ya makundi mbalimbali, pia...
  15. SHIGELLA

    Unapenda mwanao ajue vitu gani?

    Wanangu nawafundisha Upendo kwa Mungu na kwa watu wote. Napenda wamjue Mungu na kutekeleza yale mema aliyotuamuru kuyatenda na kuyaacha mabaya (dhambi) aliyotukataza. Nawafundisha wanangu wazijue haki zao na kutimiza wajibu wao. Pia napenda watoto wangu wakue wakiwa na uthubutu na wasiwe watu...
  16. SHIGELLA

    Clouds fm what do you learn from this

    Hakuna kituo cha redio nisichokipenda kama hiki kituo cha redio. Yaani ni matatizo sana kwa wasanii,mimi sio msanii ila na waonea sana huruma hawa wasanii kwasababu hawajifunzi kama jide na wengine wengi jamaa hao wamewafanyia vitu ambavyo sio sahihi yaani dhuruma sasa hao wanaojipendekeza...
  17. SHIGELLA

    Mwakyembe na Tizeba wanarembua macho

    HAKUNA CHA KUREMBUA WALA NINI! BARAZANI tunajua "Bandari na Reli ni kwa uchumi na masilahi ya taifa" lakini mwananchi wakawaida hatoona mguso wake? na tunataka tuendelee kuchaguliwa.....ndio maana serikali sikivu ya ccm inatilia mkazo vipaumbele vinavyoonekana moja kwa moja na...
  18. SHIGELLA

    Yapo ya kusahau lakini sio hili!

    Hii ni nchi masikini haiwezi kujenga nyumba kiasi hicho....! hivyo basi serikali inayoongozwa na CCM ni sikivu. walimu si wanamishahara yao? Mnataka raisi anyeshewe mvua?..........ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Back
Top Bottom