Search results

  1. J

    We are Sexually Incompartible!! Ndoa itadumu

    majibu yapo kwenye thread yako mkuu...wewe unapenda kupiga mechi kama upo fainali ya kombe la dunia wakati mwenzio anawaza kwenda saluni...uamuzi ni wako. uishi nae hivyo hivyo au utafute mpenda ngono kama wewe uoe. ila kumbuka ndoa ni zaidi ya ngono mkuu
  2. J

    Jaffarai afunguka kuhusu fiesta mbeya kama bifu yeye na sugu

    Sugu amechemka kutoa kauli kama ile kwani chuki zake juu ya clouds hazitakiwi kuathiri burudani ya wananchi
  3. J

    Ndoa ya Kihistoria

    love birds
  4. J

    FYI: Maalim Seif havai viatu ofisini.....

    sidhani kama hii ni ishu kubwa kiasi hicho.
  5. J

    Jumanne kabwela

    asante mkuu
  6. J

    Jumanne kabwela

    nashukuru sana kwa kunikaribisha na kwa ushauri wako. ngoja nione hali itakavyokuwa.nikiona mkanganyiko wazidi basi sitakuwa na namna zaidi ya kubadili user ID.
  7. J

    Jumanne kabwela

    kama unajua kiswahili nadhani utakuwa umenielewa niliposema kwamba mie ni jumanne kabwela na sio jimmy kabwe.nimeona niseme hili ili watu msije changanya na kudhani mie ni huyo jimmy au nina mahusiano nae.
  8. J

    Jumanne kabwela

    asante mkubwa.
  9. J

    Jumanne kabwela

    wakuu mie jina langu sio jimmy kabwe. huyo jamaa nimeishia kumuona kwenye tv tu. hatufahamiani na wala hatuna uhusiano wowote.
  10. J

    Jumanne kabwela

    pole sana dada yangu kwani umechanganya madesa naona. Mie sie huyo jamaaa.
  11. J

    Jumanne kabwela

    hapana mkuu mimi sio jimmy kabwe,jina langu jumanne kabwela. Huyo jimmy kabwe nami namsikia tu. asante kwa kunikaribisha
  12. J

    Jumanne kabwela

    Mie mwenyewe ninaganga njaa tu mjini dada yangu. nimependa mkonyezo huo.
  13. J

    Jumanne kabwela

    asante sana.
  14. J

    Jumanne kabwela

    Jumanne mtoto wa mzee Kabwela naomba kukaribishwa katika jumba hili la Great thinkers.
Back
Top Bottom