Mahakama inazuia akaunt na Mali za mdaiwa kwa Muda maalumu wakishindwa kutekeleza hukumu dalali anapewa kazi ya kuuza Mali ulipwe deni, au fedha za ac bank inapewa idhini ya kukulipa mdai
A garnishee order is an order made by the
court to allow you to recover the judgment
debt from: the debtor's bank account. the
debtor's wages. people who owe money to
the debtor.
Najuta kutoa pesa yangu kununua hiki kifaaa ukiweka flash video za mp4 inakwambia video frame not support ukiwe mp3 inakwambia Not Recognized naomba msaada kwa mwenye kujua jinsi ya trouble shoot ya hii
Hayo c maswali ya msingi Tunataka ajibu maswali ya watanzania yaliyo mshinda 1. kwanini tanzania ni masikini 2. atafanyaje ili umasikini huu tuondokane nao 3. kama akijibu suali la 2 tumuulize tena alikuwa wapi asishauri chama na serikari wakati wa uongozi wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.