Search results

  1. L

    Soma kitabu cha Robert Kiyosaki "Guide to investment"

    ndg,nami leo 11/8 ndio naona ujumbe wko huu naomba nami ntumie vyote 3 kupitia email yngu jsangova@gmail.com.
  2. L

    NEC yatoa ratiba Uchaguzi Mdogo Ubunge Arumeru Mashariki na Udiwani Kata 18

    Hizo fedha za kufanyia uchaguzi zitapatikana wapi,wakati serikali yalia haina fedha?mgomo wa madaktari unaoendelea ni matokeo hayohayo ya serikali kutokuwa na fedha tuambieni hzo zitatoka wapi?ni kweli uchaguzi ni muhimu sana lakini si kama ilivyo maisha ya watu.
  3. L

    Mwakyembe aipasua serikali; Pinda amtaka azungumzie hali yake!

    Hoja anayoitumia pinda kutetea posho kwa wabunge ni nyepesi mno,na haina ukweli ndani yake,hatuna wabunge wa wanamna hiyo ya kubakia hana kitu mwisho wa mwezi eti kwa ajili ya kuwatumikia wapiga kura wake,kama tunao wa namna hiyo na ajitokeze yeyote humu kuwa list out.Kwnn afikirie posho kwa...
  4. L

    Ukweli kuhusu PHD aliyopewa kikwete!

    Hakuna cha wivu hapo,ukweli unabaki pale pale,hakuistahili heshima hiyo hata kidogo.Hivi ni lipi kubwa la maana kaifanyia nchi hii zaidi ya kusafiri nje na kusahau vijiji vyetu na watu wake wakiwa wamegubikwa na umaskini wa kutisha? Ni katika kipindi chake hiki tumeona serikali inashindwa...
  5. L

    Kwanini JK asiwe shupavu kama Rais Sata wa Zambia na kutoa maamuzi mazito kama haya ya Sata

    Tatizo ni kuwa wengi anaowateua ni rafiki zake wa karibu,na ndio waliomketisha hapo ikulu,kwa mantiki kuwa walimwezesha kwa kampeni,sasa ataanzia wapi kuchukua maamuzi mazito wakat washkaji wanataka kuresha fedha zao kupiti vyeo walivyopewa?
  6. L

    Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

    asamehewe huyoo,hajui anenalo,alichokiandika kina fanana na uwezo wake wa akili.Ndio walewale wa kuridhishwa kwa kofia na t-shirt,pamoja na shilingi elfu tano,wanasahau yote yanayowasiibu na yanayosababishwa na hao anaowafagilia.
  7. L

    Jeshi la polisi laipaisha Tanzania kwa rushwa Afrika Mashariki

    Kwa mujibu wa taarifa zilizotoka jana kutokana na utafit ulofanywa kuhusu rushwa Afrika mashariki na kati, Tanzania katika nchi tano za ukanda huo imepanda hadi kuwa ya tatu,tofauti na ambavyo ilikuwa mwaka jana ambapo ilikuwa ya nne.Miongoni mwa taasis zilizoifikisha hapo jeshi la polisi ndilo...
  8. L

    Nini mantiki ya Lowassa kuitisha mkutano na waandishi wa habari?

    Mpaka muda huu sijafahamu haswa mantiki ya kuitisha mkutano na waandishi wa habari, halafu asizungumze kuhusu Richmond, Dowans na mustakabali wa nchi yetu haswa katika kipindi hiki kigumu cha mgawo wa umeme. Watanzania walitegemea azungumze kuhusu kulipwa kwa Dowans, kujivua gamba na msimamo...
  9. L

    JK na miaka 50 ya UDSM: Nipo hivi nilivyo sababu ya UDSM

    Hiyo ni habari njema sana,amelalamikiwa sana kupitia njia mbalimbali kujaribu kumwonesha jinsi watanzania wasivyoridhishwa na anavyoiongoza nchi yao,lakini hakuonekani dalili kuwa anajali,anasikia na anathamini mawazo yao,sasa wameamua kumwonesha kuwa wamemchoka tena mbele ya wageni,hii ni aibu...
  10. L

    Lissu kumjibu Nape kesho

    Nape hauwezi muziki wa LISSU ,na kwa namna yeyote,huwezi kuwalinganisha.Kuhusu ni muda gani anawatembelea wapiga kura wake yakuhusu nini wewe?kazi ya ngoswe mwachie ngoswe,we isubirie kesho.
  11. L

    Kamanda Sirro kushika mikoba ya Tossi Oparesheni maalum

    jamani matusi ya nn humu,2we wastaarabu.wawe wamemwamisha kwa kutegemea itakuwa faida kwao wanajidanganya tu,kwn arusha wamefanikiwa sasa?mbona harakat ndo zimeshka kasi?
  12. L

    Tangazo la Wizara ya Nishati ni kichekesho

    Mi nafkir Vasco daGama alichemka kumstop J-iro peke yke,alipaswa kuagiza wote waloshrk mapokez na kuacha majukumu ya msingi wawajibishwe mara moja,lakini pia hyo ngeleja anapaswa kutupwa nje ya ofc now as toka amekuwa wzr hana la kujivunia alilolifaoya zaid ya usanii mtupu.
  13. L

    Madiwani waliofukuzwa kwa nini watetewe na serikali?

    suala la madiwani Arusha hakika ni tete na sio jepesi kias hcho serikali inavyofikiri.Serikali kwa kuwa inaonekana kuvutiwa na madiwn hao waitishe uchaguz na wawasimamishe madiwn hao kama wagombea wao.Watu wa Arusha wanaelewa na hawadanganyiki ng'o
  14. L

    Mawaziri na wabunge waliofanya vibaya katika bunge la bajeti...

    ktk mawaziri walofanya vbya:1.NGELEJA-Tatzo la umeme lililopo had ssa ni hstori mbya kwa nchi.2.Celina komban-kaonesha wazi kuwa kapewa wizara ya katba na sheria kama hisani tu.Hajui a.b,c za sheria.na kama co ungangar wa wanaharakati hata huu mchakato wa katiba ucngekuwepo..50%ya wbnge wa ccm...
  15. L

    Kwanini mkutano wa juzi wa CHADEMA Arusha hatukuona kwenye vituo vyote vya TV?

    Nimejaribu kucheki vyombo vya habari hivyo cku ambako viongozi wa cdm walifika arusha na kufanya mkutano kuhusu maamuzi ya kamati kuu ya kuwafukuza madiwani watano.Vyombo vya habari ambavyo vilipata ujasiri wa kuandika yaliyojiri ni magazeti tu,kulikoni? Je huu kweli haukuwa ni mpango wa...
  16. L

    Ngeleja, elewa kwamba rushwa si lazima utoe hela; mnachokifanya kupitia TBC1 hakifai

    suala la msingi tu wajue kwamba kujionesha kwenye TBC hakutoshi kumsafisha NGELEJA,amechafuka na alitakiwa nae apishe nafasi kwani haiwezekani katibu mkuu akakusanya kiasi kikubwa hivyo cha fedha bila idhini yake,na kama hakuwa na taarifa basi hii inadhihirisha wazi kuwa hata katibu mkuu wake...
  17. L

    CHADEMA yahaha kumaliza mgogoro Arusha

    Kama ni tarajio la cdm kufanya vema ktk uchaguzi ujao na hata chaguzi ndogo zinazojitokeza kama jimbo la igunga lililowazi kwa sasa,basi viongozi wa ngazi ya taifa msikurupuke kaeni na madiwani Arusha kujua kiini cha tatizo na kutafuta solution,otherwise mtakuwa mnatengeneza mwanya wa kushindwa...
  18. L

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    jamiani kina lowassa nchi hii tunao wengi kwanini tunamkariri wa monduli,ambaye tumeshampa nafasi akaitumia visivyo,huu ni wakati wa kina lowassa wengine kupewa nafasi,naamini wapo wenye uwezo wa kufanya makubwa zaidi ya hayo,tatizo hatujawapa tu nafasi.
  19. L

    Vijana CHADEMA kupigwa msasa Ujerumani

    hili ni jema sana kwa cdm,na ni ishara tosha kuwa cdm sasa inatanuka nje ya mipaka ya nchi,lakini zaidi sana ni kuwa hii ni ishara nyingine nzuri kuwa cdm inatambulika na harakati zake zinakubalika hata na mataifa mengine,kwanini wasiwasaidie vijana wa sisiem?WANAJUA mtoto wa nyoka ni nyoka
  20. L

    Lema avuna wanachama ndani ya sherehe ya harusi

    katika kipindi hiki ambacho tunapambana kuutafuta uhuru wa kweli katika nchi yetu,uwanja wowote unaweza kuwa wa mapambano,hongera lema kwa kuitumia fursa kikamilifu,sio katika mikutano ya kisiasa tu ndipo ambapo wanachama hutafutwa.big up lema.
Back
Top Bottom