Search results

  1. B

    Mjengwa Blog na Ujambazi Wa Kifikra, JF Imekushinda?

    utaendaje wakati ubongo wako hauhitaji challenge!!! kila siku unapenda kuona na kusikia mambo yanayoendana na mawazo yako mgando, kwa mtu kama we ni rahisi hata kuvitabiri vituo vya TV unavyoangalia na magazeti unayosoma... mwisho wa siku unakuwa hijui kweli na unabaki kuwa mtumwa wa fikra...
  2. B

    Butiku: Sikufurahia ushindi wa Igunga

    ungejua nini kinachoendelea ndani ya MWALIMU NYERE FOUNDATION!!! wala usingemsikiliza huyu mzee. siasa wengi wetu hatuziwezi
  3. B

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Tanzania,tanzaniaaa...nakupenda kwa moyo woteeeeeee. tayarisha silaha yako kaka ili kuwaangamiza waislamu wote ndani ya TZ.. ukishatumaliza,, utakuja kugundua kumbe hata ninyi sio wamoja bali kuna katholic,lutheran, anglican e.t.c. na mwisho wa siku utataka ubaki wewe peke yako katika tz yetu.
  4. B

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    maandishi ya bluu... imba kwa nguvu zako zote..""""" tazama ramani utaona nchi nzuriiiiii,yene mito na mabonde mengi ya nafakaaaaaa""""" maamdishi mekundu.......''nenda klabu kila siku za mwisho wa wiki uone waTZ wanavyopenda kula bata.. cha ajabu nini????"""" maandishi ya kijani''''''''''''''...
  5. B

    Haya majimbo yatakuwa wazi kabla ya 2015

    aaaah... huu upuuzi kutoka kwa kiranja wa upuuzi haustahili kuwemo humu.. au unadhani na sisi ni wauuzi kama wewe!!!! ahhhh... INAKERA
  6. B

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    nafurahi kuwa zile hoja zinazostahili kujadiliwa na watu wenye hadhi ya forum hii zimeanza kujitokeza tena na kwa kweli zinachokonoa bongo na fikra za watu hadi inatia msisimko. kuna ushahidi wa wazi kuwa kuna vipande vya historia vimezuiwa ama kupotoshwa kwa makusudi(sielewi ni kwa maslahi ya...
  7. B

    Benno Malisa awa jasiri, awageuka CCM na kuwatetea CHADEMA Arusha

    sijaipenda... haina mvuto, haina utaalamu,imejaa siasa, inatetea mafisadi, inawavunja moyo wapambanaji, imejaa uoga wa kuiogopa CDM, haiwajengi vijana wa CCM, inawapa jeuri CDM, haieleweki kwa ujumla wake inazungumzia mambo gani ya msingi,sijui alilenga kufikisha ujumbe...
  8. B

    Zitto Kabwe aondolewe nafasi ya naibu katibu mkuu

    hayo maandishi MEKUNDU ni kiashiria cha hatari. na viashiria hivyo ndio vinavyoicost CDM na ofcourse ndio kaburi la CDM. wenye akili zao ndani ya CDM wameshaanza kuchukua hatua ya kubadilisha mfumo ,mtazamo na hata mtindo wa chama katika kufikia malengo.Ila walikokosea ni hapa tuuuuuu:- HATUA...
  9. B

    Tumuenzi Kikwete Historia isije Ikamsahau

    Kwani watz mna maana??? nikikumbuka mlivyokuwa mnamshangilia nyerere na kumkashifu Mwinyi kipindi cha utawala wa awamu ya pili!!! na nikikumbuka jinsi mlivyokuwa mnamshangilia MWINY na kumtukana MKAPA kipindi cha utawala awamu ya tatu na mnavyoMSHANGILIA MKAPA na kumkashifu KIKWETWE kwenye...
  10. B

    Kitendawili cha nani mwenye vurugu kati ya wabunge wa CCM na CHADEMA chateguliwa

    UMESAHAU YAFUATAYO 11.udini uliokithiri 12. ukabila wa waziwazi 13. uchochezi na uvunjifu wa amani na 14. uzushi na uongo wenye mrengo wa kuandaa mazingira ya kupata uungwaji mkono
  11. B

    Ni JK au GT wa JF ndio wasiojua ?

    kwani dhamira si kujua ndugu zao walioko hai ili wafu wale waweze kutambulika walikotoka???? data base ya nini wakati ndugu zao wapo??????
  12. B

    Ephrahim Kibonde ana CHEO gani CCM?

    MAADILI ya uandishi wa habari!!!!!!!!!!!! peleka huo usemi kwa vyombo vyote vinavyoisuport CDM kiisha utakachoambiwa ukiwakilishe hapa jamvini
  13. B

    Siri nyingine ya Ngeleja: Wamarekani tayari wanachimba Uranium Tunduru kisiri siri?

    We jidanganye tuu.. wasomi ndio wakurupukaji wakubwa kuliko kada zote nchi hii( rejea maandishi ya bluu hapo juu)
Back
Top Bottom