Search results

  1. M

    Hivi Dodoma mjini kuna mbunge?

    namba yake ni 0765599023
  2. M

    Je ungependa JK azifute wizara zipi?

    ajifute yeye! hana alichoweza kukifanya naamini akishaiondoa ikulu na wizara zitajifuta outomatically
  3. M

    Ofisi waziri mkuu wizi mtupu.

    yeye kuwa mtoto wa mkulima sawa, ila atuambie yeye binafsi ni nani? mkulima, shoga, fisadi, changudoa, jamabazi, mfanyabihashara wa vioungo vya albino, muuwaji , firauni au ni nani. baba yake hakukosea yeye kuwa mkulima tatizo ni pinda mwenyewe mbona hayaishi matendo ya baba yake. mbona amekuwa...
  4. M

    Dr Slaa Tafadhali Kutana na Maalim Seif

    Dr. sii mtu wa kuburuzwa kiivyo, huyo sharf akiona inafaa asimamie maslai ya taifa ikimpendeza zaidi alinde ndoa yake. Chadema walipambana na CCM,na CUF bado wakashinda hivyo tunayo nafasi tutashinda kwenye haya mengine haipo shida. what is cuf after roo cuf inakufa muda sii mrefu.
  5. M

    Kafulila kuendelea na ubunge

    nyie kwani hamumjui zitto? Zitto ni muongo wa kutupwa kwani alikana kuhusika na migogoro ndani ya NCCR pamoja na kafulila leo hii huyohuyo Zitto anakuwa msemaji wa kafulila. ni nafasi nyingine ya kumfahamu Zitto kabwe kwa undani
  6. M

    Kwangu mimi, Regia Mtema ndio mbunge/mwanasiasa mahiri mwanamke mwaka 2011...

    ni kweli amepewa sifa zote hizo ni zake, ila akumbuke nidhamu yake iko chini kwani nikikumbuka Igunga aliwahi kumjibu majibu ya kunya Dr Slaa kwamba gari ni la ubunge wake na aliupata kwa jasho lake na kama ubunge ni rahisi hata dr angekuwa mbunge hivyo asione mtu akimfuatafuata kimsingi...
  7. M

    Lowassa adaiwa kutaka kuuawa!

    Nisaidieni jamani! mimi sijaelewa vyema! ni sababu gani inayomfanya lowasa atake kuuwawa? kwani sisi tunaweza kumsaidiaje ili asitishe lengo lake la kutaka kuuwawa?amepanga kuuwawa na nani? si atamlipa ghali ili afanikishe kazi hiyo? ila nadhani ufisadi wake nao ndio unamchanganya. kama mpo...
  8. M

    Lowassa adaiwa kutaka kuuawa!

    Nisaidieni jamani! mimi sijaelewa vyema! ni sababu gani inayomfanya lowasa atake kuuwawa? kwani sisi tunaweza kumsaidiaje ili asitishe lengo lake la kutaka kuuwawa?amepanaga kuuwawa na nani? si atamlipa ghali ili afanikishe kazi hiyo? ila nadhani ufisadi wake nao ndio unamchanganya. kama mpo...
  9. M

    Bungeni: CHADEMA yawavuruga wabunge, jazba zatawala na muswada wa katiba mpya haujadiliki

    nimekuwa nikifuatilia bunge na nimeona ni jinsi gani wabunge walipotoka bungeni mafisadi na matajiri wamekosa hoja za kujadili na matokeo yake wamebadilisha muswada wa katiba na kujadili hoja ya wabunge wa chadema kutoka bungeni.nashauri wakishamaliza kujadili hoja ya wabunge kutoka nje ya...
  10. M

    Bungeni: CHADEMA yawavuruga wabunge, jazba zatawala na muswada wa katiba mpya haujadiliki

    Nawashauri ndugu zangu wabunge miokubali kuchakachua na kuendelea kujadili muswada huu hebu mtushawishi ni kwanini watanzania tuwaamini kwamba mnafaa tuendelee kuwaamini tofauti na `wale wa chadema. Nalazimika kusema hivyo kwasababu tangu wabunge makini walipoamua kugomea muswada wabunge wote...
  11. M

    Mlima kilimanjaro kushindwa kwenyemaajabu saba nimeshukuru na nifundisho kwetu sote

    ndugu zangu inabidi mnivumilie kidogo kwa hili la kufurahia mlima kilimanjaro kushindwa kwenye maajabu saba ya Dunia.<BR>ninafanya hivi kwa nia nzuri kabisa nikizingatia kwamba hii itakuwa fundisho kwetu, tuache tabia ya kuendesha mambo yaumma kibaba na mama sasa tuwape watu wanaoweza majukumu...
  12. M

    Vurugu: Polisi na wanachuo wa Tumaini Makumira

    makamanda komaeni hawa polisi wameshazidiwa nguvu ngoja na sisi tunakuja kuwaongezea nguvu baada ya saa moja tutakuwa tumefika
  13. M

    Vipi tena huko Ndugumbi nasikia polisi wanapiga mafundi garage risasi? Salama

    kwani hujui tanzania? ccm wamelewa na madaraka sasa wameamua kupiga na kuuwa tuu. waganga wa kiwete sasa wanataka kafara na hiyo ndiyo stail ya kutoa kafara sii unajua nchi yetu yaongozwa kwa vibuyu
  14. M

    Kumbe kinachompa kiburi OCD wa Arusha Zuberi ni baba mkwe kamishna Mtweve

    nimepewa taarifa na hizi ni zakusikitisha kwani kunahabari inasema OCD zuberi ameoa kwa kamishina Mtweve na inasemekana a]hakuna wa kumsumbua kwani baba mkwe na mwema wako vizuri na hawawezi kumfanya kijana wao akafa njaa hata kama Arusha watakufa wote ila Zuberi hata hamishwa kwa hali yoyote...
  15. M

    Kamanda Lema kutoka selo Jumatatu

    wewe wilium malichela ni shoga tu mku-ndugu wewe!
  16. M

    Kamanda Lema kutoka selo Jumatatu

    wewe wilium malicela tunataarifa za tabia zako na shukuru waingereza wameshaanza kupigania haki zenu ili muweze kuja kuishi kwa amani hapatanzania vinginevyo ungepata shida. unamchukia lema kwasababu unajua kwamba anawachukia mashoga waziwazi hivyo anakunyima usingizi kwa wewe si bwabwa?
  17. M

    Norman Sigalla mkuu wa wilaya ya Hai, michango yetu ndio uliyotumia kuhonga wapigakura wa Makete?

    kwa niaba ya wana Hai hatukubaliani na kitendo alichofanya mkuu wa wilaya ya Hai ndg Sigalla kwani haiwezekani uchukue michango yetu na ashindwe kutupa taarifa za kina ni kiasi gani na ni nani aliyechangiana amefikia wapi mpaka sasa. pia ni vizuri ukatoa majibu ya kutosha inakuwaje uteue wajumbe...
  18. M

    Bwana Sigalla mkuu wa wilaya ya hai jisafishe kwenye ufisadi huu

    Sigalla kwa kashifa hii huwezi kuchomoka. hii ni kwasababu umekiuka taratibu pia kutokuwa na uwazi na kutoa taarifa ya kihuni huku ukishindwa kujibu maswali yetu ya msingi ilikuwaje ukosekane uwazi katika zoezi hili la kutafuta pesa ya kujenga kidato cha tano na sita. zoezi hili ambalo mh Rais...
  19. M

    Mkuu wa wilaya ya Hai Norman Sigalla afanya ufisadi jimboni hai

    Mkuu huyo alilazimika kupotea na kusingizia anakazi nyeti aliyopewa na mkuu wa mkoa hivyo asingeweza kuhudhuria kikao hicho cha wadau wa elimu chenye lengo la kupanga mkakati wa kujenga shule za kidato cha tano na sita jimboni Hai. Baadhi ya wajumbe walishangazwa na kutokutokea kwa mkuu huyo...
  20. M

    Freeman Mbowe: Nguzo na mhimili muhimu kwa ustawi wa CHADEMA

    mbowe ni jembe naomba aongeze muda wa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tumpe kipindi kingine ili akiimarishe kwani kuwapata viongozi makini ni Nadra sana hivyo kila mtu ahakikishe anafanya juu chini kumshawishi kamanda mbowe ili akubali kuchukuwa kipindi kingine kimoja.<BR>
Back
Top Bottom