Wakuu,
Manzese ni moja kati ya kata za kitambo sana, 1975 tayari ilikuwa ni kata kamili yenye miundombinu inayoekeweka, ndio eneo la kwanza Tanzania kuwa na Daraja la wavuka Kwa miguu ambalo liligeuka kuwa kivutio enzi zile, Kwa miaka mingi manzese imekuwa kitovu cha biashara, burudani Na soko...
Mkuu mimi sitafuti views na wala siishi kwa views! Nina onyesha changamoto tulizo nazo kwenye jamii na namna gani tunaweza tafuta jawabu la pamoja ili kuokoa kizazi kijacho.
Kumbuka kesho Na kesho kutwa mtoto wako au ndugu Yako anaweza dumbukia kwenye hii changamoto hivyo zungumza kama mtu...
Wakuu,
Inasiikitisha kuona eneo la Ubungo River Side kukizidi kukua na kushamiri biashara ya ukahaba tena mapema yaani kuanzia mida ya kumi na moja jioni. Mbaya zaidi watoto wadogo Na wanafunzi ndo unakuta wanapita hapo kutoka mashuleni ambapo kukutana na hawa dada zao na wengine wakiwa ni sawa...
Sasa kama ulikuwa mradi wa maharamia wa kisomalia basi wangeubakisha hata kwa serekali pageuzwe ile hata chuo cha uvuvi jamani kuliko kuyaacha yaendelee kuoza
Wadau kwema jamvini.
Huu mradi mkubwa kabisa hapa Ununio beach ambao umetelekezwa kwa zaidi ya miaka 12 sasa nini tatizo? Kuna tetesi nyingi sana ila jibu la uhakika hakuna. Nimeona kwa hii clip hapa
Nikakumbuka na mimi nimekuwa nikijiuliza swali hilo kwa miaka mingi sasa.
Wakuu ninatangaza kwa mara nyingine kuwa ninauza Friji kubwa na nzuri kwa matumizi ya familia aina ya Samsung kwa bei nxuri tu ya 400,00/=. For serious buyer only call 0654 788778.
Friji kubwa kabisa used aina ya Samsung yenye milango miwili inauzwa kwa bei nzuri tu ya shilingi laki 450,000/= pia mazungumzo yana ruhusiwa.Friji bado ipo kwenye hali kabisa.Kwa serious buy only pliz call 0654 788778.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.