Search results

  1. G

    Makapuku Forum

    Makapuku mnalala sana ndo shida.....:rolleyes:
  2. G

    Ni uzembe wa Madereva/Miundo au Sera zisizotekelezeka

    Kuna maswali nahisi huwa yanaweza kukosa majibu ! tunapolalamika kuhusu ubovu wa miundombinu ya barabara hususani hapa jijini Dar es salaam na zaidi kipindi hiki cha mvua. Barabara nyingi zinapata mashimo na pengine kuharibika kabisa na kulazimika kutumia pesa zetu walipa kodi kuzikarabati mara...
  3. G

    Vikosi maalumu 16 bora na hatarishi zaidi duniani, Tanzania ni ya tatu!

    saimon111 sorry unaweza share huo waraka au kwa link naweza ipata labda nadhani nimeanza kukuelewa
  4. G

    Vikosi maalumu 16 bora na hatarishi zaidi duniani, Tanzania ni ya tatu!

    lakini ni swali hilo au na wewe uko kwenye ubao wa kusadikika !!!!
  5. G

    Vikosi maalumu 16 bora na hatarishi zaidi duniani, Tanzania ni ya tatu!

    Habarini wana JF, kuna tetesi kuwa Jeshi la Wananchi Wa Tanzania (JWTZ) limekua miongoni mwa Majeshi Bora 30 Duniani, Kuna mwenye uthibitisho katika hili!!! na kama ni 30 kwa Afrika ama Dunia mzima Pia Msaada tafadhali ni vizuri taarifa nzuri kama hizi tukiwa tunazijua kwani ni sehemu ya sisi...
  6. G

    Maajabu ya khanga!

    Bitoz sikuwezi aisee na uzi wako huuu #heshimakwakhanga
  7. G

    Bulembo: Walioisaliti CCM wakati wa uchaguzi wajiondoe wenyewe

    chama kitajengwa acha tujenge nchi kwanza kazi bado ni kubwa sana kisepi
  8. G

    Bulembo: Walioisaliti CCM wakati wa uchaguzi wajiondoe wenyewe

    of course sasa hivi tupo kitaifa zaidi sio kivyama target ni kuona Mama Tanzania inasonga mbele, najua haiwezi fikia hatua tukalingana vipato lakini kutopishana kwa kiwango kilichopo sasa cha umiliki wa ardhi, mapato na kuongezeka kwa ( per capital income) imbayo inaweza kuwa angalau afadhali na...
  9. G

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mmiliki usiye na hati miliki na ulipi kodi..
  10. G

    Makapuku Forum

    Basi we kua rafiki yangu aka kapuku mkorofi
  11. G

    Makapuku Forum

    si naona mnaongelea mnara aisee ha ha ha
  12. G

    Makapuku Forum

    sijaelewa kwani Arusha kuna kasehemu unadownload App ya hela ama mtujuze aisee wengine tuko jotoni huku......
  13. G

    Hakika Pasco alikuwa sahihi kuhusu Magufuli

    Mkuu kumbuka na katibu nae hayupo ambaye ni mfano tosha kwa waliobaki.....
  14. G

    Majambazi watatu wauawa na Jeshi la Polisi Kahama, Shinyanga

    Ameongea kamanda mpya Mkoa Mwanza jana kwamba hakuna sababu ya kuwajeruhi maana wao lengo ni kukuua wewe ukicheka nao itakula kwako ua alafu taratibu zingine zitafuata lakini unajua ushapunguza,,,,, Hawa hawana uzuri wowote yaan ..... Mungu aendelee kuwasaidia aisee maana hata mishahara na...
  15. G

    Makapuku Forum

    ndo nshakaribia nipite ndani ama !!!!
  16. G

    Makapuku Forum

    duh Mbona najiona mi ndo head wa Makpuku sasa maana kama sifa zooote zinanihusu :):):):rolleyes::rolleyes::rolleyes:
  17. G

    Hakika Pasco alikuwa sahihi kuhusu Magufuli

    # HUU MCHEZO HAUTAKI MAHABA ##
  18. G

    Hakika Pasco alikuwa sahihi kuhusu Magufuli

    umenena Vyema kiongozi kuna watu hawaoni kwamba zaidi ya Milioni 300 zilikua zinateketea kwa watendaji hewa na mpaka jana kulikua na ongezeko na kufikia watumishi hewa 102 kwa wilaya zote za shinyanga. Sasa sijajua kutoa kuambiwa hakuna mpaka 100+ still tunaambiwa tunyamaze ili kesho waseme...
  19. G

    Hakika Pasco alikuwa sahihi kuhusu Magufuli

    kazi ya kuwafukuza wasaidizi wa Mkuu wa Mkoa ilipaswa ifanywe na mkuu wa Mkoa mwenyewe baada ya kugundua alichopewa sio sahihi badala ya kukimbilia kwenye vyombo vya habari na kutangaza kwa unabe, Ukaguzi wa watumishi hewa ni kazi kubwa waliyokabidhiwa wakuu wa mikoa na Raisi mwenyewe kama...
  20. G

    Hakika Pasco alikuwa sahihi kuhusu Magufuli

    Mkuu hiyo ilikua iwe kazi ya Mkuu wa mkoa kuhaikiki taarifa anazopewa na watendaji na kuwachukulia hatua endapo atabaini zipo kinyume kiutekelezwaji Nadhani upate wasaha wa kusikiliza alicho kisema Anna Kilango siku anakanusha kuhusu kutokua na watendaji hewa ........
Back
Top Bottom